DC Missenyi aahidi kufuata sheria, taratibu
MKUU mpya wa Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera, Fadhir Nkurlu amewaahidi wananchi wa wilaya hiyo na uongozi wa mkoa huo kufanya kazi kwa misingi ya sheria na taratibu za nchi pasipo kumuonea mtu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo05 Jan
Ridhiwani ataka wawekezaji kufuata sheria na taratibu
WAWEKEZAJI kwenye kijiji cha Changarikwa wametakiwa kufuata taratibu za kisheria ili kuondoa migogoro baina yao na wananchi.
10 years ago
MichuziWamiliki, Waombaji leseni za madini watakiwa kufuata Taratibu
10 years ago
MichuziMAKALA YA SHERIA: JE WAJUA SHERIA INAKURUHUSU RAIA KUKATAA KUKAMATWA NA ASKARI TARATIBU ZINAPOKIUKWA ?
Sio siri askari wamekuwa wakitumia nguvu na ubabe mno katika kuwakamata raia. Hata pale pasipo na haja yoyote ya kutumia nguvu bado wao wamekuwa wakilazimisha...
9 years ago
Habarileo07 Jan
Aahidi kufuata nyayo za Magufuli
MBUNGE wa Pangani, Jumaa Awesso (CCM), amepongeza utendaji kazi wa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli katika suala la ukusanyaji mapato na kuahidi kwamba atashirikiana na wadau wa wilaya yake kuendana na kasi hiyo kwa kubuni vyanzo vipya vya mapato na kusimamia vizuri vilivyopo.
9 years ago
MichuziWASIMAMIZI WAASWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU
10 years ago
Habarileo17 Mar
Waajiri watakiwa kufuata sheria
MWENYEKITI mpya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) amewataka waajiri na wafanyakazi wote nchini kufuata Sheria na Taratibu za Kazi, kwani uvunjwaji wake ndio chanzo kikubwa cha uwepo wa migogoro mingi inayowasilishwa kwenye tume hiyo.
10 years ago
Habarileo04 Oct
NGOs zatakiwa kufuata sheria
MASHIRIKA yasiyo ya serikali(NGOs) yamekumbushwa kufanya kazi bila ubaguzi na kuhakikisha yanafuata taratibu na sheria za usajili wake.
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
CCM watakiwa kufuata sheria
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amewataka wanasiasa wanaofanya mikutano ya hadhara katika majimbo yao kuacha mara moja kwani ni kuvunja sheria...