NGOs zatakiwa kufuata sheria
MASHIRIKA yasiyo ya serikali(NGOs) yamekumbushwa kufanya kazi bila ubaguzi na kuhakikisha yanafuata taratibu na sheria za usajili wake.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziTAASISI ZATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA UZAZI
Kina mama wakionyesha mfano wa kuwanyonyesha watoto wachanga katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya Unyonyeshaji Duniani yaliyofanyika kitaifa wilayani Mufundi mkoani Iringa
10 years ago
Habarileo17 Mar
Waajiri watakiwa kufuata sheria
MWENYEKITI mpya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) amewataka waajiri na wafanyakazi wote nchini kufuata Sheria na Taratibu za Kazi, kwani uvunjwaji wake ndio chanzo kikubwa cha uwepo wa migogoro mingi inayowasilishwa kwenye tume hiyo.
10 years ago
Habarileo02 Jan
Madereva wasisitizwa kufuata sheria
KAMPENI ya usalama barabarani ya kuwataka madereva nchini kuzingatia sheria za usalama barabarani iliyozinduliwa hivi karibuni na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe jana imeendelea katika mkoa wa Dodoma.
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
CCM watakiwa kufuata sheria
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amewataka wanasiasa wanaofanya mikutano ya hadhara katika majimbo yao kuacha mara moja kwani ni kuvunja sheria...
9 years ago
StarTV15 Nov
Wachimbaji watakiwa kufuata sheria ya uchimbaji
Kamati maalum iliyoundwa na Serikali kushughulikia tatizo la muingiliano ndani ya migodi ya madini katika machimbo ya Madini ya TANZANITE Mirerani, imetoa uamuzi wa kuwataka wachimbaji wote kufuata sheria ya uchimbaji kulingana na leseni zao.
Hatua hiyo inatazamiwa kwamba huwenda ikasaidia kutatua matatizo ya mara kwa mara baina ya wachimbaji wadogo na wakubwa wanapokutana chini ya ardhi tukio linalofahamika zaidi kwa jina la “MTOBOZANO”
Awali Serikali iliamua kuunda kamati maalumu...
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Bodaboda Geita watakiwa kufuata sheria
JESHI la Polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Geita, limewataka waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda na baiskeli kuacha tabia ya kuingia kwenye barabara kubwa bila kufuata sheria za barabarani. Akizungumza...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Sumatra yasisitiza UDA kufuata sheria
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa nchi Kavu na Majini (Sumatra), imesisitiza Kampuni ya Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) kutakiwa kufuata taratibu zote za usafirishaji kama ilivyo kwa daladala nyingine....
10 years ago
Habarileo26 Feb
DC Missenyi aahidi kufuata sheria, taratibu
MKUU mpya wa Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera, Fadhir Nkurlu amewaahidi wananchi wa wilaya hiyo na uongozi wa mkoa huo kufanya kazi kwa misingi ya sheria na taratibu za nchi pasipo kumuonea mtu.
9 years ago
StarTV12 Oct
Viongozi wa Dini wahimizwa kufuata sheria za nchi
Viongozi wa Dini nchini wametakiwa kufuata taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa sheria za nchi wakati wanapotaka kusajili taasisi zao kwa ajili ya kutoa huduma za kiroho.
Tamko hilo limetolewa kwa madai kuwa baadhi ya Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste ambao hawako kwenye Baraza la Makanisa nchini wanakiuka taratibu za usajilli.
Maaskofu hao wamelilaumu Baraza la Makanisa ya Kipentekoste na Serikali kuwa wanazuia usajili kukiwa na tetesi ya kutaka kufutwa kwa baadhi ya taasisi.
Akijibu...