Wachimbaji watakiwa kufuata sheria ya uchimbaji
Kamati maalum iliyoundwa na Serikali kushughulikia tatizo la muingiliano ndani ya migodi ya madini katika machimbo ya Madini ya TANZANITE Mirerani, imetoa uamuzi wa kuwataka wachimbaji wote kufuata sheria ya uchimbaji kulingana na leseni zao.
Hatua hiyo inatazamiwa kwamba huwenda ikasaidia kutatua matatizo ya mara kwa mara baina ya wachimbaji wadogo na wakubwa wanapokutana chini ya ardhi tukio linalofahamika zaidi kwa jina la “MTOBOZANO”
Awali Serikali iliamua kuunda kamati maalumu...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
CCM watakiwa kufuata sheria
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amewataka wanasiasa wanaofanya mikutano ya hadhara katika majimbo yao kuacha mara moja kwani ni kuvunja sheria...
10 years ago
Habarileo17 Mar
Waajiri watakiwa kufuata sheria
MWENYEKITI mpya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) amewataka waajiri na wafanyakazi wote nchini kufuata Sheria na Taratibu za Kazi, kwani uvunjwaji wake ndio chanzo kikubwa cha uwepo wa migogoro mingi inayowasilishwa kwenye tume hiyo.
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Bodaboda Geita watakiwa kufuata sheria
JESHI la Polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Geita, limewataka waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda na baiskeli kuacha tabia ya kuingia kwenye barabara kubwa bila kufuata sheria za barabarani. Akizungumza...
10 years ago
MichuziMakampuni, Wachimbaji madini watakiwa kuzingatia Sheria za Mazingira
Kampuni za uchimbaji madini, utafutaji mafuta na gesi wakiwemo wachimbaji wadogo nchini, wametakiwa kuzingatia sheria na kanuni za uhifadhi wa mazingira wakati wanapotekeleza shughuli zao, ili kuwezesha rasilimali zinazopatikana ardhini ziweze kuwa endelevu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Rai hiyo imetolewa na na Mhandisi wa Mazingira kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Ephraim Mushi wakati wa Maadhimisho ya siku ya Mazingira duniani yanayoendelea...
10 years ago
MichuziWAFUGAJI WATAKIWA KUFANYA SHUGHULI ZAO KWA KUFUATA SHERIA-CCWT
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Wasambazaji wa Filamu za nje watakiwa kufuata sheria ya Ukaguzi wa Filamu!
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akisisitiza jambo juu ya Sheria ya Ukaguzi wa Filamu nchini kwa baadhi ya wawakilishi wa Wasambazaji wa Filamu za nje nchini wakati walipokutana ofisini kwake jana jijini Dar es Salaam.
Na: Frank Shija, WHVUM
[DAR ES SALAAM] Wasambazaji wa Filamu za nje wametakiwa kuwasilisha filamu wanazosambaza katika ofisi za Bodi ya Filamu kwa ajili ya ukaguzi mapema ifikapo tarehe 30 mezi huu.
Agizo hilo limetolewa na Katibu Mtendaji wa Bodi...
11 years ago
Dewji Blog20 May
Wachimbaji wadogo wapewa mtaji na leseni za uchimbaji
Na Nathaniel Limu, Ikungi
KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Shanta Mining Ltd imetoa leseni tatu na mtaji wa shilingi milioni 40 kwa kikundi cha wachimbaji wadogo cha Aminika cha kijiji cha Mang’onyi Wilayani Ikungi, Mkoani Singida.
Kikundi hicho Aminika Gold Mine Co- Operative Society Ltd Mang’onyi, kimekabidhiwa leseni hizo hivi karibuni na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stepheni Maselle kwenye kijiji cha Sambaru.
Akikabidhi leseni hizo Naibu Waziri Maselle amewataka...
10 years ago
GPLBENKI YA DUNIA YAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Wasanii watakiwa kufuata nyayo za Diamond
WASANII nchini wametakiwa kuiga mfano wa msanii Nasseb Abdul ‘Diamond’ wa kuwa na uongozi wa kusimamia kazi zake ili waweze kufanikiwa kupitia kazi zao na sio kulalamika kila siku. Hayo...