Wasambazaji wa Filamu za nje watakiwa kufuata sheria ya Ukaguzi wa Filamu!
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akisisitiza jambo juu ya Sheria ya Ukaguzi wa Filamu nchini kwa baadhi ya wawakilishi wa Wasambazaji wa Filamu za nje nchini wakati walipokutana ofisini kwake jana jijini Dar es Salaam.
Na: Frank Shija, WHVUM
[DAR ES SALAAM] Wasambazaji wa Filamu za nje wametakiwa kuwasilisha filamu wanazosambaza katika ofisi za Bodi ya Filamu kwa ajili ya ukaguzi mapema ifikapo tarehe 30 mezi huu.
Agizo hilo limetolewa na Katibu Mtendaji wa Bodi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
10 years ago
GPLWASAMBAZAJI NA WATAYARISHAJI WA FILAMU NCHINI UTATA MTUPU
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
Wasambazaji wa filamu kugoma kulipa kodi ifikapo 1/7/2015
Mwenyekiti wa kikosi kazi kutoka chama cha wasambazaji wa filamu Tanzania, Bw Moses Mwanyilu akionyesha baadhi ya filamu ambazo zinauzwa nchini bila kupata kibali kutoka bodi ya filamu Tanzania na kutokuwa na stika za ushuru za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wa mkutano na waandishi wa habari wakielezea changamoto zao kuhusiana na filamu za kitanzania kulazimishwa kukaguliwa na bodi ya filamu na kuwekwa stika za TRA ilhali filamu za nje hazifanyiwi hivyo na kupelekea filamu za...
9 years ago
Bongo518 Sep
Aunt Ezekiel adai wasambazaji wanaua soko la filamu Tanzania
10 years ago
GPLCHAMA CHA WASAMBAZAJI FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/w39TP2Wv8yc/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
CCM watakiwa kufuata sheria
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amewataka wanasiasa wanaofanya mikutano ya hadhara katika majimbo yao kuacha mara moja kwani ni kuvunja sheria...