Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aunt Ezekiel adai wasambazaji wanaua soko la filamu Tanzania

Aunt Ezekiel amesema wasambazaji wa filamu ndio watu wanaoliua soko la filamu Tanzania. Akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV hivi karibuni, muigizaji huyo alisema msambazaji yupo tayari kununua kazi mbaya kwa bei ya chini na kuacha kununua kazi ambazo zimeandaliwa vizuri. “Msambazaji mhindi yaani sasa hivi amefikia hatua yupo radhi anunue kazi […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Aunt Ezekiel: Soko la filamu linashuka

NYOTA wa filamu nchini, Aunt Ezekiel, amesema filamu za Tanzania zinaelekea pabaya kutokana na soko hilo kushuka kiuchumi. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Aunt alisema, ni wazi kulingana na tulipotoka,...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI

 Mwenyekiti wa kikosi kazi kutoka chama cha wasambazaji wa filamu Tanzania,Bw Moses Mwanyilu akionyesha baadhi ya filamu ambazo zinauzwa nchini bila kupata kibali kutoka bodi ya filamu Tanzania na kutokuwa na stika za ushuru za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wa mkutano na waandishi wa habari wakielezea changamoto zao kuhusiana na filamu za kitanzania kulazimishwa kukaguliwa na bodi ya filamu na kuwekwa stika za TRA ilhali filamu za nje hazifanyiwi hivyo na kupelekea filamu za...

 

9 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL ADAI AMEZALIWA KISARAWE, SIYO CCM

Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘mama Cookie’. STAA wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘mama Cookie’ amewajia juu wanaomsema kuwa amekikacha Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kukimbilia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa hajazaliwa na chama hicho bali amezaliwa Kisarawe. Akiendelea kucharuka mbele ya Amani, Aunt alisema kuwa hata kama huko alipo wakishindwa atakubali matokeo kwa kuwa lazima...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aunt Ezekiel: Filamu hazilipi

STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya waume au wapenzi wao kwa kuwa soko...

 

11 years ago

Bongo Movies

Aunt Ezekiel: Filamu hazilipi.Sapoti ya waume au wapenzi ndio inasaidia.

STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya waume au wapenzi wao kwa kuwa soko la filamu limeharibika.

“Filamu kwa Tanzania hakuna soko, walau wanaume, si wanawake, huwezi kunilinganisha mimi na Ray… Mimi kama si kuwa mwanamke, sidhani kama leo hii bado ningekuwepo katika filamu, kwa sababu kwa kiasi kikubwa nategemea sapoti ya wadau wangu, si mauzo ya filamu,” alisema.

Aunt alisema tatizo jingine katika...

 

10 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL AKANUSHA TAARIFA ZA KUJIFUNGUA, ASEMA VIDEO YA MTANDAONI NI KIPANDE CHA FILAMU YAKE

Aunt Ezekiel. BAADA ya kuzagaa taarifa za staa wa filamu nchini Aunt Ezekiel kujifungua, mwanahabari wetu ametia timu nyumbani kwa Aunt na kujiridhisha pasipo na shaka kuwa mrembo huyo bado yu mjamzito na taarifa za kujifungua si za kweli. Aunt akiwa na shosti wake Wema Sepetu. Mitandao mbalimbali ya kijamii imeripoti taarifa za Aunt kujifungua kuanzia jana huku mingine ikimpongeza na kuweka kipande cha video… ...

 

9 years ago

Bongo5

Dr Cheni adai soko la filamu limeyumba kutokana na tatizo la umeme!

Msanii wa filamu, Dr Cheni amesema kuwa biashara ya filamu kwa sasa imeshuka kutokana na tatizo la umeme linaloendelea. Dr Cheni ameambia Bongo5 kuwa mawakala wanalalamika kushindwa kuuza kazi za filamu kama walivyotarajia kutokana na tatizo la umeme. “Soko la filamu sasa hivi linasumbua kutokana na haya matatizo ya umeme,” amesema Cheni. “Umeme ukisumbua na […]

 

10 years ago

GPL

CHAMA CHA WASAMBAZAJI FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA

 Mwenyekiti wa kikosi kazi kutoka chama cha wasambazaji wa filamu Tanzania, Bw Moses Mwanyilu akionyesha baadhi ya filamu ambazo zinauzwa nchini bila kupata kibali kutoka bodi ya filamu Tanzania na kutokuwa na stika za ushuru za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wa mkutano na waandishi wa habari wakielezea changamoto zao kuhusiana na filamu za Kitanzania kulazimishwa kukaguliwa na bodi ya filamu na kuwekwa stika za TRA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani