Dr Cheni adai soko la filamu limeyumba kutokana na tatizo la umeme!
Msanii wa filamu, Dr Cheni amesema kuwa biashara ya filamu kwa sasa imeshuka kutokana na tatizo la umeme linaloendelea. Dr Cheni ameambia Bongo5 kuwa mawakala wanalalamika kushindwa kuuza kazi za filamu kama walivyotarajia kutokana na tatizo la umeme. “Soko la filamu sasa hivi linasumbua kutokana na haya matatizo ya umeme,” amesema Cheni. “Umeme ukisumbua na […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies08 Oct
Dr Cheni Afungukia Tatizo ya Umeme Kuyumbisha Soko la Filamu
Msanii wa filamu, Dr Cheni amesema kuwa biashara ya filamu kwa sasa imeshuka kutokana na tatizo la umeme linaloendelea.
Dr Cheni ameambia Bongo5 kuwa mawakala wanalalamika kushindwa kuuza kazi za filamu kama walivyotarajia kutokana na tatizo la umeme.
“Soko la filamu sasa hivi linasumbua kutokana na haya matatizo ya umeme,” amesema Cheni. “Umeme ukisumbua na soko la filamu linayumba kwa sababu sisi wateja wetu wanatumia umeme, sasa hata wazalishaji wa kazi zetu wanaogopa kuzalisha kazi...
9 years ago
Bongo523 Oct
Dr Cheni adai tasnia ya filamu Tanzania inakufa
9 years ago
Bongo518 Sep
Aunt Ezekiel adai wasambazaji wanaua soko la filamu Tanzania
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m9wY6nHswW4mE0O42aN00mwbF8YR0xc*EQTzfRIUzDz4S*mpPe60sBfnd-R0-6YurSevmQKGAzt*JTRwawskjiODc7jUI4ht/dkcheni.jpg?width=650)
DK. CHENI AISHAURI BODI YA FILAMU
9 years ago
Vijimambo16 Sep
Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Tanesco-16Sept2015.png)
Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.
Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...
10 years ago
Bongo Movies10 Dec
Baada ya kuzuiliwa kwa muda: Filamu ya ‘Nimekubali Kuolewa’ ya Dr Cheni yaruhusiwa kutoka.
Msanii wa filamu, Mahsein Awadh Said aka Dr. Cheni’ amesema filamu yake ya ‘Nimekubali Kuolewa’ iliyokuwa imezuiwa kutoka na Bodi ya Filamu Tanzania (TFB) inatarajiwa kutoka mapema mwakani baada kukamilisha matakwa yao.
Dokta Cheni alisema kuzuiliwa kwa filamu hiyo kulimnyima raha kiasi cha kumfanya asifanye kazi nyingine mpaka akamilishe kazi hiyo.
“Nimefanikiwa kuipigania filamu yangu ya ‘Nimekubali Kuolewa’, itatoka mwezi wa pili mwakani. Kikubwa nilichokifanya ni kurekebisha baadhi...
11 years ago
Bongo501 Aug
Madee adai muziki umekuwa mgumu kutokana na nyimbo kuwa nyingi
10 years ago
Dewji Blog11 Mar
Soko la rangi kushuhudia mabadiliko kutokana na maendeleo mbalimbali ya miundombinu nchini
Kutokana na mpango mkakati wa serikali wa mwaka 2012 mpaka 2017 ambao unalenga upanuzi wa makazi katika mikoa mbalimbali, kumekuwa na ongezeko kubwa la majengo ya makazi, majengo ya ofisi na majengo ya masoko ambayo yameonekana kuwa na manufaa na mchango mkubwa katika sekta mbalimbali na viwanda nchini Tanzania. Mpango huu wa upanuzi umejenga mahitaji kwa vifaa vya ujenzi ambapo kwa upande mwingine imeonekana kuwa ni faida kwa wauzaji ambapo wauzaji wengi wamekuwa na jitihada katika ...
9 years ago
Bongo510 Oct
Queen Darleen ahofia kutoa nyimbo mpya kutokana na ushindani kwenye soko la muziki