Dr Cheni adai tasnia ya filamu Tanzania inakufa
Msanii mkongwe wa filamu nchini, Dr Cheni amesema tasnia ya filamu inakufa kama uuzaji wa albamu za wasanii wa Bongo Flava ulivyokufa. Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni, Dr Cheni alisema kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo hali inazidi kuwa mbaya kwa wasanii wa filamu. “Unajua kwa hali tuliyo nayo kwa sasa ni mbaya sana. Kama tukiendelea […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies31 Dec
JB:Tunafurukuta Lakini Tasnia ya Filamu Inakufa
Mwigizaji na mwongozaji mkongwe wa filamu za Kibongo Jacob Stephen ‘JB’ ametoa dukuduku lake la moyoni na kusema kwamba tasnia ya filamu ipo katika hali mbaya.
JB ambaye amefanya kazi kubwa katika kuiinua tasnia hiyo alisema, filamu inaangukia katika kifo kama ulivyoanguka muziki wa Bongo Fleva kutokana na soko kushikiliwa na maharamia.
Staa huyo alisema hali hiyo inawafanya wasambazaji kuanza kuikimbia tasnia hiyo na wengine kushusha bei ya filamu.
“Hali ya soko kwa sasa ni mbaya sana...
10 years ago
Bongo Movies31 Dec
JB: Tunafurukuta Lakini Tasnia ya Filamu Inakufa
Mwigizaji na mwongozaji mkongwe wa filamu za Kibongo Jacob Stephen ‘JB’ ametoa dukuduku lake la moyoni na kusema kwamba tasnia ya filamu ipo katika hali mbaya.
JB ambaye amefanya kazi kubwa katika kuiinua tasnia hiyo alisema, filamu inaangukia katika kifo kama ulivyoanguka muziki wa Bongo Fleva kutokana na soko kushikiliwa na maharamia.
Staa huyo alisema hali hiyo inawafanya wasambazaji kuanza kuikimbia tasnia hiyo na wengine kushusha bei ya filamu.
“Hali ya soko kwa sasa ni mbaya sana...
10 years ago
Bongo508 Oct
Dr Cheni adai soko la filamu limeyumba kutokana na tatizo la umeme!
9 years ago
Bongo510 Dec
Kingwendu adai wasanii wa komedi wataiokoa tasnia ya filamu Bongo

Mchekeshaji, Rashidi Mwinshehe aka Kingwendu, amesema baada ya wasanii wa filamu za kawaida kushindwa kuendeleza mafanikio aliyoyaacha marehemu Steven Kanumba, wasanii wa wa kuchekesha wanajipanga kufanya mabadiliko ya filamu ndani ya mwaka 2016.
Mwigizaji huyo ambaye mwaka huu aligombea ubunge katika jimbo la Kisarawe, amekiambia kipindi cha Wasanii cha Pamoja Radio ya nchini Uholanzi kuwa, wasanii wa kuchekesha wamejipanga vizuri kuhakikisha bendera ya Tanzania inapepea zaidi kupitia...
10 years ago
MichuziKamati ya Maandalizi ya Tuzo za Filamu Tanzania yashauriwa kutangaza Tasnia ya Filamu kimataifa
11 years ago
Michuzi.jpg)
Shirikikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania lawasilisha maoni ya utafiti wa tasnia ya filamu nchini
.jpg)
.jpg)
10 years ago
VijimamboKAMATI YA MAANDALIZI YA TUZO ZA FILAMU TANZANIA YASAHURIWA KUTANGAZA TASNIA YA FILAMU KIMATAIFA
10 years ago
Bongo Movies10 Dec
MJADALA: Mapinduzi ya Tasnia ya Filamu Nchini Tanzania
ZAMARADI MKETEMA ameandika sehemu....
“…Natamani sana siku moja atokee mtu kwenye hii sekta atutambulishe hata kama sio kimataifa basi africa tu. R.I.P KANUMBA alianza kuonesha mwangaza na juhudi binafsi zilionekana na kila mtu aliona huenda angefika mbali.. lakini baada ya hapo sioni tena!!!!
Mbona hapa nyumbani ni wakubwa tu..? Nini kinawakwamisha..? Kwanini wasanii wetu wa filamu ukubwa wao unaishia nyumbani tu....!!? Tatizo ni nini!!!????? kiukweli ni kama inakatisha tamaa na inaonekana...