Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Queen Darleen ahofia kutoa nyimbo mpya kutokana na ushindani kwenye soko la muziki

Vituo vya radio vimekuwa vikipokea kazi mpya za wasanii wa Bongo karibia kila siku, hii ikiwa inamaanisha kuwa ushindani ni mkubwa kutokana na wingi wa wasanii ambao wote wana malengo ya kulikamata soko ambalo wateja wake ni wale wale (mashabiki). Hali hiyo imekuwa ikiwalazimu wasanii kuwaza nje ya box, ili kuhakikisha kazi wanazotoa hazimezwi na […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Queen Darleen: Muziki umenikosanisha na boyfriends kibao

Queen Darleen ambaye pia ni dada yake na Diamond amesema ameachana na wanaume wengi kutokana familia za wanaume kutomkubali kwa kudai ni mhuni. Akizungumza na Planet Bongo ya East Africa Radio leo, Darleen alisema ndugu wa upande wa wanaume wamekuwa wakichochotea maneno kwa watoto wao hali iliyosabisha kuachana. “Wachumba wachumba hawa, wanaume wanakuelewa lakini tatizo […]

 

9 years ago

Bongo5

Queen Darleen apata management mpya

Queen Darlin amesema amepata kampuni ya muziki itakayosimamia muziki wake na kuhakikisha anafika sehemu nyingine. Darleen ameiambia Bongo5 kuwa sasa hivi kila kitu kitakuwa kinafanywa na kampuni hiyo. “Sasa rasmi Queen Darleen nakuja kivingine kabisa, kuna management ipo tayari kusimamia muziki wangu, kwahiyo sasa hivi mashabiki wasubirie vitu vizuri kutoka kwangu,” alisema. Jiunge na Bongo5.com […]

 

11 years ago

Bongo5

Madee adai muziki umekuwa mgumu kutokana na nyimbo kuwa nyingi

Mkali wa ‘Pombe Yangu’, Madee amesema muziki wa sasa ni mgumu kutokana na wasanii kuwa wengi nyimbo nyingi kutoka kwa wakati mmoja. Madee amesema kurundikana kwa nyimbo kunasababisha kuvipa wakati mgumu vituo vya redio na TV kuzipiga kwa wakati stahiki. “Sasa muziki unakuwa mgumu kwa sababu nyimbo zipo nyingi sana,” Madee ameiambia Bongo5. “Yaani kwa […]

 

10 years ago

GPL

QUEEN DARLEEN AKOSWAKOSWA NA AJALI

Stori: Hamida Hassan
Msanii wa muziki ambaye ni dada wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Mwajuma Abdul ’Queen Darleen’ juzi alikoswakoswa na ajali alipokuwa kwenye msafara wa kumpokea kaka yake aliyekuwa akitoa nchini Afrika Kusini alikozoa tuzo tatu za Channel O Music Video Awards (CHOMVA). Msanii wa muziki ambaye ni dada wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Mwajuma Abdul ’Queen Darleen’. ...

 

9 years ago

GPL

DIAMOND AMZAWADIA GARI QUEEN DARLEEN

Diamond (wa tatu kutoka kushoto), akiwaongoza wenzake kwa kumuimbia wimbo wa birthday dada yake. Queen Darleen akimshukuru kwa zawadi ya gari Diamond. Queen Darleen akimlisha keki Diamond.…

 

9 years ago

GPL

BABA DIAMOND: QUEEN DARLEEN NAYE KANISUSA

Baba wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Juma. MAYASA MARIWATA NA GLADNES MALLYA BABA wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Juma amesema kuwa, anaumia kuona hata binti yake Mwajuma Abdul ‘Queen Darleen’ sasa kamsusa kama ilivyo kwa kaka yake (Diamond).  Queen Darleen. Akizungumza na paparazi wetu, Mzee Abdul alisema: “Nashindwa kuelewa nini kimemsibu binti yangu huyu maana kipindi cha nyuma alikuwa...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Mwasiti Ft Queen Darleen – Sema Nae

artist_121bcd964eb23c68f2bb90d5a45f4df6130.jpg

Msanii wa kike wa bongo fleva Mwasiti baada ya kufanya vizuri na wimbo wa “Serebuka” ametuletea single mpya inaitwa “Sema Nae” ameamshirikisha Mwanadada mwenzake Queen Darleen. Wimbo umetaalishwa na Producer Lufa & Chizain Brain Studio:Switch Records

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

Akon aachia nyimbo 5 mpya kwa mpigo kutoka kwenye album mpya ‘Stadium’

Baada ya ukimya wa muda mrefu Akon ameachia nyimbo tano mpya kutoka kwenye album yake mpya anayotarajia kuitoa iitwayo “Stadium” ambayo itakuwa na nyimbo za genre tano tofauti. Akon ameachia nyimbo hizo kupitia website yake Akon.com Album ya “Stadium” itakuwa na album tano ndani yake na kila moja itawakilisha genre moja ambazo ni Euro, Pop, […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani