OFFICIAL VIDEO: QUEEN DARLEEN FT SHILOLE - WANATETEMEKA
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLSHILOLE, MADEE, QUEEN DARLEEN WALIVYOWADATISHA WANA IGUNGA VALENTINE'S DAY
Shilole na Madee wakiwadatisha wakazi wa Igunga kabla ya shoo ya Valentine's Day. Shilole (kushoto) na Queen Darleen (kulia) wakisema na wana Igunga.…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UxG8FbEp4zZqNoxwQNgOX5i1RRc8xl2P-JEfBo3nMj1nyl1MNDoO3M*OtdmCnsZj9UuVK9c2HBqEETN8UFlwodfnIG6m-rn2/dalin.gif?width=650)
QUEEN DARLEEN AKOSWAKOSWA NA AJALI
Stori: Hamida Hassan
Msanii wa muziki ambaye ni dada wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Mwajuma Abdul ’Queen Darleen’ juzi alikoswakoswa na ajali alipokuwa kwenye msafara wa kumpokea kaka yake aliyekuwa akitoa nchini Afrika Kusini alikozoa tuzo tatu za Channel O Music Video Awards (CHOMVA). Msanii wa muziki ambaye ni dada wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Mwajuma Abdul ’Queen Darleen’. ...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Queen-Darleen-Birthday-1.jpg?width=650)
DIAMOND AMZAWADIA GARI QUEEN DARLEEN
Diamond (wa tatu kutoka kushoto), akiwaongoza wenzake kwa kumuimbia wimbo wa birthday dada yake. Queen Darleen akimshukuru kwa zawadi ya gari Diamond. Queen Darleen akimlisha keki Diamond.…
9 years ago
Bongo517 Oct
Queen Darleen apata management mpya
Queen Darlin amesema amepata kampuni ya muziki itakayosimamia muziki wake na kuhakikisha anafika sehemu nyingine. Darleen ameiambia Bongo5 kuwa sasa hivi kila kitu kitakuwa kinafanywa na kampuni hiyo. “Sasa rasmi Queen Darleen nakuja kivingine kabisa, kuna management ipo tayari kusimamia muziki wangu, kwahiyo sasa hivi mashabiki wasubirie vitu vizuri kutoka kwangu,” alisema. Jiunge na Bongo5.com […]
9 years ago
Bongo505 Jan
Music: Mwasiti Ft Queen Darleen – Sema Nae
![artist_121bcd964eb23c68f2bb90d5a45f4df6130.jpg](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/artist_121bcd964eb23c68f2bb90d5a45f4df6130.jpg-300x194.png)
Msanii wa kike wa bongo fleva Mwasiti baada ya kufanya vizuri na wimbo wa “Serebuka” ametuletea single mpya inaitwa “Sema Nae” ameamshirikisha Mwanadada mwenzake Queen Darleen. Wimbo umetaalishwa na Producer Lufa & Chizain Brain Studio:Switch Records
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo515 Sep
Queen Darleen: Muziki umenikosanisha na boyfriends kibao
Queen Darleen ambaye pia ni dada yake na Diamond amesema ameachana na wanaume wengi kutokana familia za wanaume kutomkubali kwa kudai ni mhuni. Akizungumza na Planet Bongo ya East Africa Radio leo, Darleen alisema ndugu wa upande wa wanaume wamekuwa wakichochotea maneno kwa watoto wao hali iliyosabisha kuachana. “Wachumba wachumba hawa, wanaume wanakuelewa lakini tatizo […]
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0JM2umRWL9dJtkXGK26pnUJ5gV23FLWxDSI48yjY9KdwsyeGCoOMKFp*jBi8ZcHtVTa0HuIIBikL0EtNDu5*z88KhA825hwT/BABAD.jpg?width=650)
BABA DIAMOND: QUEEN DARLEEN NAYE KANISUSA
Baba wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Juma. MAYASA MARIWATA NA GLADNES MALLYA BABA wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Juma amesema kuwa, anaumia kuona hata binti yake Mwajuma Abdul ‘Queen Darleen’ sasa kamsusa kama ilivyo kwa kaka yake (Diamond). Queen Darleen. Akizungumza na paparazi wetu, Mzee Abdul alisema: “Nashindwa kuelewa nini kimemsibu binti yangu huyu maana kipindi cha nyuma alikuwa...
9 years ago
Bongo510 Oct
Queen Darleen ahofia kutoa nyimbo mpya kutokana na ushindani kwenye soko la muziki
Vituo vya radio vimekuwa vikipokea kazi mpya za wasanii wa Bongo karibia kila siku, hii ikiwa inamaanisha kuwa ushindani ni mkubwa kutokana na wingi wa wasanii ambao wote wana malengo ya kulikamata soko ambalo wateja wake ni wale wale (mashabiki). Hali hiyo imekuwa ikiwalazimu wasanii kuwaza nje ya box, ili kuhakikisha kazi wanazotoa hazimezwi na […]
10 years ago
GPL16 Jun
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania