Queen Darleen apata management mpya
Queen Darlin amesema amepata kampuni ya muziki itakayosimamia muziki wake na kuhakikisha anafika sehemu nyingine. Darleen ameiambia Bongo5 kuwa sasa hivi kila kitu kitakuwa kinafanywa na kampuni hiyo. “Sasa rasmi Queen Darleen nakuja kivingine kabisa, kuna management ipo tayari kusimamia muziki wangu, kwahiyo sasa hivi mashabiki wasubirie vitu vizuri kutoka kwangu,” alisema. Jiunge na Bongo5.com […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo510 Oct
Queen Darleen ahofia kutoa nyimbo mpya kutokana na ushindani kwenye soko la muziki
10 years ago
GPLQUEEN DARLEEN AKOSWAKOSWA NA AJALI
9 years ago
GPLDIAMOND AMZAWADIA GARI QUEEN DARLEEN
9 years ago
Bongo505 Jan
Music: Mwasiti Ft Queen Darleen – Sema Nae
Msanii wa kike wa bongo fleva Mwasiti baada ya kufanya vizuri na wimbo wa “Serebuka” ametuletea single mpya inaitwa “Sema Nae” ameamshirikisha Mwanadada mwenzake Queen Darleen. Wimbo umetaalishwa na Producer Lufa & Chizain Brain Studio:Switch Records
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
GPLBABA DIAMOND: QUEEN DARLEEN NAYE KANISUSA
9 years ago
Bongo515 Sep
Queen Darleen: Muziki umenikosanisha na boyfriends kibao
11 years ago
GPL12 Apr
11 years ago
GPLSHILOLE, MADEE, QUEEN DARLEEN WALIVYOWADATISHA WANA IGUNGA VALENTINE'S DAY
9 years ago
VijimamboCONNECTMOJA TECHNOLOGIES LIMITED WAZINDUA MFUMO MPYA WA SCHOOL MANAGEMENT SYSTEM
Akizungumza na wana habari, Mtaalamu wa utafiti na ukuzaji wa Masoko Bw. Fred Crich amewaambia wanahabari kwamba Kampuni yao ya ConnectMoja Technologies imejikita zaidi katika kuhakikisha inasaidia sekta ya elimu na uwekezaji kukua pamoja na maendeleo ya Teknolojia hapa Nchini.
Bw. Crich amesema mfumo huu umewalenga wamiliki...