DK. CHENI AISHAURI BODI YA FILAMU
![](http://api.ning.com:80/files/m9wY6nHswW4mE0O42aN00mwbF8YR0xc*EQTzfRIUzDz4S*mpPe60sBfnd-R0-6YurSevmQKGAzt*JTRwawskjiODc7jUI4ht/dkcheni.jpg?width=650)
Stori: Mayasa Mariwata DK. Cheni ambaye jina lake halisi ni Mahsein Awadh ameibuka na kuishauri Bodi ya Filamu Tanzania kuangalia wazo la msanii na ujumbe anaotaka kuufikisha kwenye jamii kabla ya kuifungia. Â Â Â Â Â Â Â Â Â Â Â Msanii wa filamu za Kibongo Mahsein Awadh 'Dk. Cheni'. Akipiga stori na Stori Mix, Dk. Cheni alisema amekubali kubadilisha baadhi ya vipande vya Filamu ya Shoga kama...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI
10 years ago
MichuziWAJUMBE BODI YA FILAMU WATEMBELEA MIUNDOMBINU YA KAMPUNI YA UTENGENEZAJI FILAMU YA PROIN
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu yakutana na Viongozi wa Kampuni ya Steps kujadili Maendeleo ya Tansia ya Filamu Nchini.
10 years ago
Bongo Movies18 Feb
Bodi Ya Filamu Yazuia Filamu ya “Fifty Shades of Grey”
Bodi ya Filamu na Michezo ya Kuigiza Tanzania inawaagiza Wamiliki wote wa kumbi za filamu Tanzania Bara kutofanya maonesho ya hadhara ya filamu yenye jina la FIFTY SHADES OF GREY inayoongozwa na Sam Taylor Johnson na kutengenezwa na Michael De Luka, Dana Brunetti na E.L. James.
Hatua hiyo imechukuliwa baada ya Bodi ya Filamu na Michezo ya Kuigiza Tanzania kukagua filamu hiyo yenye urefu wa saa 2:05 na kugundua kwamba haizingatii sheria na kanuni zinazosimamia tasnia ya filamu nchini....
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4UAnPs1U5qA/VZBjiMHkADI/AAAAAAAHlUY/iXI5ItlLtoo/s72-c/DCB0.jpg)
Wadau wa Filamu waipongeza Bodi ya Filamu Tanzania
![](http://2.bp.blogspot.com/-4UAnPs1U5qA/VZBjiMHkADI/AAAAAAAHlUY/iXI5ItlLtoo/s640/DCB0.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-FQBWdauvSSA/VZBjieR77hI/AAAAAAAHlUU/u_1CqHFe5Qc/s640/DCB1.jpg)