Bodi Ya Filamu Yazuia Filamu ya “Fifty Shades of Grey”
Bodi ya Filamu na Michezo ya Kuigiza Tanzania inawaagiza Wamiliki wote wa kumbi za filamu Tanzania Bara kutofanya maonesho ya hadhara ya filamu yenye jina la FIFTY SHADES OF GREY inayoongozwa na Sam Taylor Johnson na kutengenezwa na Michael De Luka, Dana Brunetti na E.L. James.
Hatua hiyo imechukuliwa baada ya Bodi ya Filamu na Michezo ya Kuigiza Tanzania kukagua filamu hiyo yenye urefu wa saa 2:05 na kugundua kwamba haizingatii sheria na kanuni zinazosimamia tasnia ya filamu nchini....
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo524 Jul
Must Watch: Trailer ya ‘Fifty Shades Of Grey’ (Video)
Trailer ya filamu ya “Fifty Shades of Grey” imetoka leo. Ni filamu iliyotokana na kitabu chenye jina kama hilo na inajumuisha pia exclusive version ya wimbo wa Beyonce’s “Crazy In Love.” Filamu hiyo imetokana na kitabu cha mapenzi kilichouza zaidi cha E L James’ “Fifty Shades of Grey” na kuigizwa na Jamie Dornan na Dakota […]
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Lorietha Laurence -Maelezo.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.
Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo akiongea na wahusijka wa Kampuni ya Kajala Entertainment wakati alipofanya nao mkutano leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwapa Sheria na Kanuni zilizokiukwa katika filamu ya Mbwa Mwitu.Mkurugenzi wa Kampuni ya Kajala Entertainment, Kajala Masanja akijitetea mbele ya Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania wakati aliitikia wito wa Ofisi ya Bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuelezwa juu ya Sheria na Kanuni zilizokiukwa...
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI
Mwenyekiti wa kikosi kazi kutoka chama cha wasambazaji wa filamu Tanzania,Bw Moses Mwanyilu akionyesha baadhi ya filamu ambazo zinauzwa nchini bila kupata kibali kutoka bodi ya filamu Tanzania na kutokuwa na stika za ushuru za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wa mkutano na waandishi wa habari wakielezea changamoto zao kuhusiana na filamu za kitanzania kulazimishwa kukaguliwa na bodi ya filamu na kuwekwa stika za TRA ilhali filamu za nje hazifanyiwi hivyo na kupelekea filamu za...
10 years ago
MichuziWAJUMBE BODI YA FILAMU WATEMBELEA MIUNDOMBINU YA KAMPUNI YA UTENGENEZAJI FILAMU YA PROIN
Mjumbe wa Bodi ya Filamu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Bi.Vicensia Shule(wa kwanza kutoka kushoto) akimwuliza jambo Mwenyekiti wa makampuni ya Proin Bw,Johnson Lukaza(hayupo pichani) leo jijini Dar es salaam walipotembelea kujionea miundombinu ya kampuni hiyo.Kutoka kulia ni Makamu mwenyekiti wa wa Bodi iyo Bw.Sylvester Sengerema na katikati ni Bw.Bishop Hiluka. Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bi,Joyce Fissoo akichangia jambo wakati walipotembelea miundombinu ya Filamu ya...
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu yakutana na Viongozi wa Kampuni ya Steps kujadili Maendeleo ya Tansia ya Filamu Nchini.
Vijana,Utamaduni na Michezo Bw.Patrick Kipangula (kulia) wakati wa kikao cha kujadili maendeleo ya tansia ya filamu na wadau kutoka Kampuni ya Steps Entertainment kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Filamu Bw.Sylvester Sengerema. Mkurugenzi wa Kampuni ya Steps Entertainment Bw.Delish Solanki (kushoto) akizungumza na viongozi wa Bodi ya Filamu (hawapo katika picha) katika kikao cha kujadili maendeleo ya tansia ya filamu nchini Bw.Claude Nyalaba (kulia) na Bw.Carles Johns (katikati)...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania