Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Soko la rangi kushuhudia mabadiliko kutokana na maendeleo mbalimbali ya miundombinu nchini

VIVA closeup Swahili+1

Kutokana na mpango mkakati wa serikali wa mwaka 2012 mpaka 2017 ambao unalenga upanuzi wa makazi katika mikoa mbalimbali, kumekuwa na ongezeko  kubwa la majengo ya  makazi, majengo ya ofisi na majengo ya masoko ambayo yameonekana  kuwa na manufaa na mchango mkubwa katika sekta mbalimbali na viwanda nchini Tanzania. Mpango huu wa upanuzi umejenga mahitaji kwa vifaa vya ujenzi ambapo kwa upande mwingine imeonekana kuwa ni faida kwa wauzaji ambapo wauzaji wengi wamekuwa na jitihada katika ...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

TGDC, TANESCO, WIZARA YA NISHATI NA MADINI WAPIGWA MSASA KUHUSU MIFUMO MBALIMBALI YA BIASHARA KWA SOKO LA JOTOARDHI NCHINI.

Naibu Kiongozi wa Timu ya Shirika linanoshughulikia masuala ya Jotoardhi Afrika Mashariki (EAGER) Bw. John Heath akiwaelimisha wadau mbalimbali wa Kampuni inashughulikia Uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi Tanzania (TGDC), Wizara ya Nishati na Madini pamoja na wadau wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) kuhusu Mifumo mbalimbali ya biashara kwa soko la Jotoardhi. Warsha inayofanyika tarehe 2-4 Septemba, 2015 jijini Dar es Salaam.Meneja Mkuu wa Kampuni ya Uendelezaji wa Nishati ya...

 

11 years ago

Michuzi

Wezi waiba miundombinu ya soko la Ngiu Makete

Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, wezi wasiofahamika wameiba baadhi ya miundombinu ya soko la Ngiu wilayani Makete mkoani Njombe licha ya soko hilo kuwa na mlinzi.
Mwandishi wa blog hii ambaye amefika eneo la tukio mara baada ya kupenyezewa taarifa hizi na wananchi, ameshuhudia baadhi ya miundombinu haipo ikiwemo mifuniko yote ya chuma inayofunikia masinki ya vyoo, pamoja na mabomba ya kutiririshia maji ya mvua
Taarifa kamili na picha zote za tukio hilo zitakujia baadaye...

 

9 years ago

Bongo5

Dr Cheni adai soko la filamu limeyumba kutokana na tatizo la umeme!

Msanii wa filamu, Dr Cheni amesema kuwa biashara ya filamu kwa sasa imeshuka kutokana na tatizo la umeme linaloendelea. Dr Cheni ameambia Bongo5 kuwa mawakala wanalalamika kushindwa kuuza kazi za filamu kama walivyotarajia kutokana na tatizo la umeme. “Soko la filamu sasa hivi linasumbua kutokana na haya matatizo ya umeme,” amesema Cheni. “Umeme ukisumbua na […]

 

9 years ago

Bongo5

Queen Darleen ahofia kutoa nyimbo mpya kutokana na ushindani kwenye soko la muziki

Vituo vya radio vimekuwa vikipokea kazi mpya za wasanii wa Bongo karibia kila siku, hii ikiwa inamaanisha kuwa ushindani ni mkubwa kutokana na wingi wa wasanii ambao wote wana malengo ya kulikamata soko ambalo wateja wake ni wale wale (mashabiki). Hali hiyo imekuwa ikiwalazimu wasanii kuwaza nje ya box, ili kuhakikisha kazi wanazotoa hazimezwi na […]

 

10 years ago

Dewji Blog

TBL yatoa sh. mil 18 za kusaidia ukarabati wa miundombinu iliyoharibika soko la Machinga Ilala, Dar

01

Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia) akimkabidhi hundi yenye thamani ya sh. mil. 18.9, kwa  Mkurugenzi wa Kampuni ya Gotam General Traders, Winner Taluka (wa pili kushoto)  kwa ajili ya kusaidia ukarabati wa miundombinu ya maji iliyoharibika baada ya Soko la Mchikichini Ilala  kuteketea kwa moto. Wanaoshuhudia hafla hiyo iliyofanyika Dar es Salaam jana, kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa soko hilo, Rehema Matali,  Mjumbe wa Kamati ya...

 

9 years ago

Habarileo

‘Watanzania wanataka mabadiliko ya maendeleo’

MBUNGE wa Viti Maalumu mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe, amesema ushindi wa kishindo wa Dk John Magufuli, ni ishara kuwa Watanzania wanataka mabadiliko ya maendeleo na si bora mabadiliko.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mkakati wa Insignia kuinua maisha ya mafundi rangi nchini

20150224_135518

Kampuni inayoongoza kwa uzalishaji wa rangi Maalum, Insignia Limited imeendelea kuonesha nia yake ya kutoa huduma zinazomjali mteja, ubunifu na pia mapinduzi katika soko la rangi nchini Tanzania kwa ujumla. Hivi karibuni kampuni hii imewapatia  mafunzo zaidi ya mafundi rangi 50 mwishoni mwa wiki hii mjin Dar es salaam,yaliyoandaliwa maalumu kwa ajili ya wakazi wa mbagala yakiwa na lengo la kuinua kiwango cha mafundi rangi katika sekta hii na kuboresha maisha yao kwa ujumla hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani