Wezi waiba miundombinu ya soko la Ngiu Makete
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, wezi wasiofahamika wameiba baadhi ya miundombinu ya soko la Ngiu wilayani Makete mkoani Njombe licha ya soko hilo kuwa na mlinzi.
Mwandishi wa blog hii ambaye amefika eneo la tukio mara baada ya kupenyezewa taarifa hizi na wananchi, ameshuhudia baadhi ya miundombinu haipo ikiwemo mifuniko yote ya chuma inayofunikia masinki ya vyoo, pamoja na mabomba ya kutiririshia maji ya mvua
Taarifa kamili na picha zote za tukio hilo zitakujia baadaye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili17 Jul
Wezi wa chuma waiba njia ya reli
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Wezi waiba benki ya Barclays Dar kweupe
11 years ago
Habarileo02 Aug
Wezi waiba nyaya Zawa, uzalishaji maji wasimama
WATU wasiojulikana wameiba nyaya zenye madini ya shaba katika visima vya kusambaza maji vya Mamlaka ya Majisafi na salama Zanzibar ((Zawa).
11 years ago
GPLAJALI TANDALE; WEZI WAIBA MILANGO, TAA ZA GARI NA KUWAPORA WAPITA NJIA
5 years ago
BBCSwahili17 Feb
Coronavirus: Wezi waliokuwa wamejihami waiba mamia ya karatasi za chooni Hong Kong
10 years ago
Bongo527 Feb
Wezi waiba gauni la Lupita Nyong’o alilovaa kwenye tuzo za Oscars 2015 lenye thamani ya shilingi milioni 274
11 years ago
GPL10 years ago
Dewji Blog11 Mar
Soko la rangi kushuhudia mabadiliko kutokana na maendeleo mbalimbali ya miundombinu nchini
Kutokana na mpango mkakati wa serikali wa mwaka 2012 mpaka 2017 ambao unalenga upanuzi wa makazi katika mikoa mbalimbali, kumekuwa na ongezeko kubwa la majengo ya makazi, majengo ya ofisi na majengo ya masoko ambayo yameonekana kuwa na manufaa na mchango mkubwa katika sekta mbalimbali na viwanda nchini Tanzania. Mpango huu wa upanuzi umejenga mahitaji kwa vifaa vya ujenzi ambapo kwa upande mwingine imeonekana kuwa ni faida kwa wauzaji ambapo wauzaji wengi wamekuwa na jitihada katika ...
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
TBL yatoa sh. mil 18 za kusaidia ukarabati wa miundombinu iliyoharibika soko la Machinga Ilala, Dar
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia) akimkabidhi hundi yenye thamani ya sh. mil. 18.9, kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Gotam General Traders, Winner Taluka (wa pili kushoto) kwa ajili ya kusaidia ukarabati wa miundombinu ya maji iliyoharibika baada ya Soko la Mchikichini Ilala kuteketea kwa moto. Wanaoshuhudia hafla hiyo iliyofanyika Dar es Salaam jana, kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa soko hilo, Rehema Matali, Mjumbe wa Kamati ya...