Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wezi waiba benki ya Barclays Dar kweupe

 Watu watatu wamepora kiasi kikubwa cha fedha katika Benki ya Barclays, Tawi la Kinondoni, Dar es Salaam katika tukio linaloweza kufananishwa na sinema.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wezi wa chuma waiba njia ya reli

Wezi wa chuma nchini Afrika Kusini wameiba karibu kilomita kumi za chuma ye njia ya reli kusababisha uharibifu wa thamani ya dola milioni 2.3.

 

11 years ago

Michuzi

Wezi waiba miundombinu ya soko la Ngiu Makete

Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, wezi wasiofahamika wameiba baadhi ya miundombinu ya soko la Ngiu wilayani Makete mkoani Njombe licha ya soko hilo kuwa na mlinzi.
Mwandishi wa blog hii ambaye amefika eneo la tukio mara baada ya kupenyezewa taarifa hizi na wananchi, ameshuhudia baadhi ya miundombinu haipo ikiwemo mifuniko yote ya chuma inayofunikia masinki ya vyoo, pamoja na mabomba ya kutiririshia maji ya mvua
Taarifa kamili na picha zote za tukio hilo zitakujia baadaye...

 

11 years ago

Habarileo

Wezi waiba nyaya Zawa, uzalishaji maji wasimama

WATU wasiojulikana wameiba nyaya zenye madini ya shaba katika visima vya kusambaza maji vya Mamlaka ya Majisafi na salama Zanzibar ((Zawa).

 

11 years ago

GPL

AJALI TANDALE; WEZI WAIBA MILANGO, TAA ZA GARI NA KUWAPORA WAPITA NJIA

Nissan Patrol namba T479 BPJ baada ya kuigonga Bodaboda eneo la Tandale kwa Bonge, Dar jana usiku. Gari hilo mali ya Alex Mutabazi (59) likiwa limevunjwa kioo cha mbele na vibaka wa Tandale kwa Bonge.…

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Wezi waliokuwa wamejihami waiba mamia ya karatasi za chooni Hong Kong

Karatasi za chooni zimekuwa nadra sana wakati wasiwasi wa mlipuko wa virusi vya corona ukiongezeka.

 

10 years ago

Bongo5

Wezi waiba gauni la Lupita Nyong’o alilovaa kwenye tuzo za Oscars 2015 lenye thamani ya shilingi milioni 274

Gauni la muigizaji wa Kenya, Lupita Nyong’o lenye thamani ya $150,000 (zaidi ya shilingi milioni 274) la Calvin Klein alilolivaa kwenye tuzo za Oscars wiki iliyopita limeibiwa, polisi wamesema jana. Gauni hilo lililotengenezwa maalum kwaajili yake lilikuwa limezungushiwa vigolori 6,000 vya rangi nyeupe. Liliibiwa kwenye chumba chake cha London Hotel iliyopo West Hollywood mchana, amesema […]

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA BARCLAYS YAZINDUA KADI YA ATM DOLA

 Meneja bidhaa wa Benki ya Barclays,Valence Lutegavya akizungumza wakati wa uzinduzi wa kadi ya ATM ya dola za kimarekani katika mkutano wa uzinduzi uliofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya Barclays hapa nchini, Bwana Kumaran Pather.   Meneja bidhaa wa Benki ya Barclays,Valence Lutegavya akionyesha kadi ya ATM ya Dola za Kimarekani katikati ni Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya Barclays Tanzania, Bwana Kumaran Pather na wamwisho ni...

 

11 years ago

Habarileo

Majambazi yapora fuko la fedha Benki ya Barclays

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius WamburaMAJAMBAZI wenye silaha wamepora fedha zinazokisiwa kufikia Sh milioni 300 katika Benki ya Barclays tawi la Kinondoni `TX Market’ jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Watuhumiwa wa wizi wa Benki ya Barclays wafikishwa kortini

>Watu saba wakiwamo mameneja wawili wa Benki ya Barclays wamefikishwa katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka  ya wizi wa zaidi ya Sh479 milioni mali ya benki hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani