Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MVUA ZAZIDI KUHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA MAKETE‏ IRINGA

Kutokana na mvua…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MVUA ZAZIDI KUHARIBU MIUNDO MBINU YA BARABARA


Na Abdullatif Yunus wa Michuzi TV.

Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali hapa Nchini, zimendelea kuleta athari tofauti ikiwa ni pamoja uharibifu wa Miundo Mbinu ya Barabara na kusababisha adha Kwa wasafiri na wasafirishaji wa mizigo.

Ikiwa ni siku chache tangu kukatika daraja linalounganisha Barbara kuu ya Dodoma Morogoro, hali kama hiyo imejitokeza tena katika Barabara Kuu ya Lusahunga Biharamulo eneo la Nyambale, daraja dogo limepasuka kutokana na kulemewa wingi wa Maji...

 

11 years ago

GPL

UONGOZI WA DAMPO WAAGIZWA KUREKEBISHA MIUNDOMBINU YA BARABARA‏

Gari la Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick likiwasili Dampo kuu la taka la Pugu Kinyamwezi, lililopo maeneo ya Gongo la Mboto jijini Dar alipofanya ziara ya ghafla kwenye dampo hilo.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog). Kaimu Mkuu wa Idara ya Udhibiti taka kutoka halmashauri ya jiji, Bi. Enezael Ayo (kushoto) akifafanua jinsi magari ya taka yanavyomwaga taka katika dampo kuu taka la Pugu Kinyamwezi jijini Dar wakati...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA YA MAKETE ATOA RAI KWA JAMII YA MAKETE KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA HATARISHI‏

 Mkuu wa Wilaya ya Makete mwenye suti nyeusi (aliyesuka nywele) Mh. Josephine Matiro, mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Helen Kijo Bisimba (kulia kwa mkuu wa wilaya) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto walioshiriki maadhimisho hayo.…

 

11 years ago

GPL

WANAKIBINDU WASEMA :CHONDE CHONDE MH.RIDHIWANI UKIPATA UBUNGE ANZA NA MIUNDOMBINU YA BARABARA KIBINDU‏

Katibu wa CCM Mkoa wa Mtwara Ndugu Shaibu Akwilombe akizungumza na wananchi wa kijiji cha kwa Msanja kata ya Kibindu katika jimbo la Chalinze wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji hicho, ambapo viongozi kadhaa wa Chama cha Mapinduzi wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Ndugu Joseph Msukuma wamewataka wananchi hao wa kata ya Kibindu kumchagua mgombea ubunge wa CCM Bw. Ridhiwani Kikwete kwa kuwa anaweza...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA YA MAKETE AFUNGA WARSHA YA MAAFISA KILIMO WILAYA YA MAKETE‏

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro (katikati) akisisitiza jambo wakati akifunga mafunzo ya siku 3 kwa maafisa ugani wilayani hapo yaliyotolewa na TAHA hii leo, kushoto ni mwakilishi wa shirika la TAHA Bw. Manfred Bitala na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Bw. Iddi Nganya.  Miongoni mwa bwana shamba… ...

 

11 years ago

Michuzi

Wezi waiba miundombinu ya soko la Ngiu Makete

Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, wezi wasiofahamika wameiba baadhi ya miundombinu ya soko la Ngiu wilayani Makete mkoani Njombe licha ya soko hilo kuwa na mlinzi.
Mwandishi wa blog hii ambaye amefika eneo la tukio mara baada ya kupenyezewa taarifa hizi na wananchi, ameshuhudia baadhi ya miundombinu haipo ikiwemo mifuniko yote ya chuma inayofunikia masinki ya vyoo, pamoja na mabomba ya kutiririshia maji ya mvua
Taarifa kamili na picha zote za tukio hilo zitakujia baadaye...

 

9 years ago

Michuzi

Wakazi wa mkoa wa Iringa wagundua dawa ya kuzuia mvua za mawe pamoja na mvua za upepo mkali

Jeshi la polisi mkoani Tabora limetoa agizo kuwachukuliwa hatua polisi wanaojihusisha na uharifu na wanaotoa siri za jeshi hilo: https://youtu.be/ke0jqZIOm3o
Waumi ni wa pentekoste mkoani  Singida wamefanya ibada maalumu ya kumuombea Rais Magufuli ili aendelee kutumbua majipu: https://youtu.be/1dRmKUcqGHg
Waumini wa dini ya kiislamu wajitoa kusaidia wasiojiweza katika kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) https://youtu.be/-sI1j96PQ4E
Viongozi wa kamati ya Shehia visiwani Unguja...

 

11 years ago

Michuzi

MVUA MAKETE ILIVYOMKWAMISHA MKUU WA MKOA WA NJOMBE KWENYE TOPE

Gari la mkuu wa mkoa wa Njombe likiwa limekwama kwenye tope kijiji cha utweve makete.   Wadau wakisukuma gari hilo, na huyu ni mwenyekiti wa kijiji cha Utweve akijitahidi kusukuma.  Hali tete hapa, gari hilo likiwa limenasa mtaroni  wadau wakijitahidi kuvuta gari hilo  jitihada zikiendelea. Gari la mkuu wa mkoa wa Njombe, kapteni mstaafu Aseri Msangi limekwama kwa zaidi ya saa kadhaa katika kijiji cha Utweve wilayani Makete wakati akiwa ziarani kukagua maendeleo ya sekondari ya...

 

11 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO ILIVYO BARABARA YA ISAPULANO WILAYANI MAKETE

Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Makete zimeharibu barabara hii kama unavyoona, hapa ni kijiji cha Isapulano ambapo mvua imeharibu barabara hii kiasi cha kusababisha mabasi na malori kubadilisha njia na kupita kijiji jirani cha Ivalalila, hapa yanapita magari madogo tu tena yenye 4 wheel ambao nayo yanapita kwa tabu.    Hali hii amekutana nayo mwandishi wetu wakati akielekea kwenye uzinduzi wa wiki ya chanjo wilaya ya Makete ambayo imezinduliwa kiwilaya katika ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani