Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UONGOZI WA DAMPO WAAGIZWA KUREKEBISHA MIUNDOMBINU YA BARABARA‏

Gari la Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick likiwasili Dampo kuu la taka la Pugu Kinyamwezi, lililopo maeneo ya Gongo la Mboto jijini Dar alipofanya ziara ya ghafla kwenye dampo hilo.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog). Kaimu Mkuu wa Idara ya Udhibiti taka kutoka halmashauri ya jiji, Bi. Enezael Ayo (kushoto) akifafanua jinsi magari ya taka yanavyomwaga taka katika dampo kuu taka la Pugu Kinyamwezi jijini Dar wakati...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UONGOZI WA DAMPO WAAGIZWA KUREKEBISHA MIUNDOMBINU YA BARABARA

DSC_0458 Gari la Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick likiwasili Dampo kuu la taka la Pugu Kinyamwezi, lililopo maeneo ya Gongo la Mboto jijini Dar alipofanya ziara ya ghafla kwenye dampo hilo.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
Na. Damas Makangale, MOblog.
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick ametoa agizo mara moja kwa uongozi wa Dampo nje kidogo la jiji la Dar, Pugu Kinyamwezi, kurekebisha miundombinu ya barabara pamoja na taa ili kurahisisha umwagaji wa taka katika dampo...

 

11 years ago

GPL

11 years ago

GPL

WANAKIBINDU WASEMA :CHONDE CHONDE MH.RIDHIWANI UKIPATA UBUNGE ANZA NA MIUNDOMBINU YA BARABARA KIBINDU‏

Katibu wa CCM Mkoa wa Mtwara Ndugu Shaibu Akwilombe akizungumza na wananchi wa kijiji cha kwa Msanja kata ya Kibindu katika jimbo la Chalinze wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji hicho, ambapo viongozi kadhaa wa Chama cha Mapinduzi wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Ndugu Joseph Msukuma wamewataka wananchi hao wa kata ya Kibindu kumchagua mgombea ubunge wa CCM Bw. Ridhiwani Kikwete kwa kuwa anaweza...

 

10 years ago

Habarileo

Makandarasi waagizwa kujenga barabara bora

Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli.MAKANDARASI walioko chini ya Wakala wa Taifa wa Barabara (TANROADS) mkoani Kagera wameshauriwa kufanya kazi kwa viwango ili barabara walizokabidhiwa kujenga ziweze kupitika kwa urahisi ikiwa ni njia ya kukuza uchumi wa wananchi wa mkoa huo.

 

11 years ago

Michuzi

Dkt. Shein Azungumza na Uongozi Wizara ya Miundombinu Mawasiliano

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara Miundimbinu na Mawasiliano katika Utekelezaji wa Mpango kazi wa robo mwaka kutoka Julai-Machi 2013/2014,ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

 

10 years ago

Vijimambo

Uimarishaji Miundombinu ya Barabara za Ndani Zenj Ukiendelea.

Mafundi wa Idara ya Utunzaji wa Baraza Zanzibar wakiweka lami barabara ya muembetanga hadi mtendeni ili kuimarisha barabara hiyo kuiweka katuika kiwango cha lami baada ya lami yake ya zamani kuharibika kwa kuchimbika, Wizara husiku inazifanyika ukarabati wa kuziwekea lami barabara za ndani katika manispa ya Zanzibar kuimarisha miundombinu hiyo kwa Wananchi. Eneo la mtendeni barabara hiyo ikiwa tayari imeshawakwa lami mpya nas kutowa huduma kwa watumiaji wa barabara hiyo Eneo la muembetanga...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI LUDEWA WAIOMBA SERIKALI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA

Na Amiri Kilagalila,Njombe. Wananchi wa kitongoji cha Mking’ino kijiji cha Luvuyo kata ya Madope wilayani Ludewa mkoani Njombe wameiomba serikali kuboresha miundombinu ya barabara inayounganisha kijiji chao na vijiji  jirani ili kurahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali za kijamii. Wakazi hao akiwemo Erasto Mtega, Junitha Mbukwa na Stia Chaula wamesema asilimia kubwa ya wakazi wa eneo hilo ni wakulima wa mazao ya viazi mviringo na mahindi lakini changamoto ya ubovu wa barabara inawalazimu...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI KIJIJI CHA IGAWA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA


Na Mwandishi Wetu,MAELEZO-DAR ES SALAAM
 WANANCHI wa Kijiji cha Igawa, Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wamempongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kuboresha miundombinu ya barabara hatua inayolenga kufungua fursa za kiuchumi na ukuaji wa miji katika maeneo mbalimbali nchini. Wakizungumza katika mahojiano maalum na Idara ya Habari (MAELEZO) hivi karibuni Kijijini hapo, wananchi hao walisema udhubutu uliofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano katika kutekeleza miradi mikubwa ya...

 

5 years ago

Michuzi

UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU YA BARABARA KATIKA JIMBO LA MKURUNGA WASABABISHA NAIBU WAZIRI ABDALLAH ULEGA KUTOA MAELEKEZO KWA TARURA

Na Emmanuel Massaka,Michuzi Tv.
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Mkuranga mkoani Pwani Abdallah Ulega amefanya ziara katika kata mbilimbali za jimbo hilo kwa lengo la kukagua miundombinu ya barabara ilivyoharibiwa  na mvua zinazoendelea kunyesha nchini.
Kutokana na uharibifu huo Ulega amemtaka Meneja wa Wakala wa Ujenzi wa Barabara Vijijini (TARURA) kutafuta namna ya kuhakikisha barabara hizo zinapitika.
Akizungumza hivi karibuni jimboni humo na baadhi ya wananchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani