Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makandarasi waagizwa kujenga barabara bora

Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli.MAKANDARASI walioko chini ya Wakala wa Taifa wa Barabara (TANROADS) mkoani Kagera wameshauriwa kufanya kazi kwa viwango ili barabara walizokabidhiwa kujenga ziweze kupitika kwa urahisi ikiwa ni njia ya kukuza uchumi wa wananchi wa mkoa huo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Makandarasi waagizwa kufuata utaratibu

NAIBU Waziri wa Maji, Amos Makalla amewataka makandarasi wanaofanya kazi katika wilaya ya Mvomero kufuata utaratibu uliowekwa na Baraza la Madiwani la kuwataka wapitie Serikali za vijiji kabla ya kuanza kazi .

 

11 years ago

Michuzi

UONGOZI WA DAMPO WAAGIZWA KUREKEBISHA MIUNDOMBINU YA BARABARA

DSC_0458 Gari la Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick likiwasili Dampo kuu la taka la Pugu Kinyamwezi, lililopo maeneo ya Gongo la Mboto jijini Dar alipofanya ziara ya ghafla kwenye dampo hilo.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
Na. Damas Makangale, MOblog.
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick ametoa agizo mara moja kwa uongozi wa Dampo nje kidogo la jiji la Dar, Pugu Kinyamwezi, kurekebisha miundombinu ya barabara pamoja na taa ili kurahisisha umwagaji wa taka katika dampo...

 

11 years ago

GPL

UONGOZI WA DAMPO WAAGIZWA KUREKEBISHA MIUNDOMBINU YA BARABARA‏

Gari la Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick likiwasili Dampo kuu la taka la Pugu Kinyamwezi, lililopo maeneo ya Gongo la Mboto jijini Dar alipofanya ziara ya ghafla kwenye dampo hilo.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog). Kaimu Mkuu wa Idara ya Udhibiti taka kutoka halmashauri ya jiji, Bi. Enezael Ayo (kushoto) akifafanua jinsi magari ya taka yanavyomwaga taka katika dampo kuu taka la Pugu Kinyamwezi jijini Dar wakati...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mabilioni kujenga barabara za juu


WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema ujenzi wa barabara za juu katika jiji la Dar es Salaam, utagharimu sh. bilioni 78.Ujenzi huo wenye lengo la kupunguza msongamano wa magari huku serikali ya Japan ikichangia sh. bilioni 26 kusaidia ujenzi huo.
Akichangia majibu ya swali lililoelekezwa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Magufuli alisema tayari mchakato wa ujenzi huo umeanza.Kauli hiyo ilitokana na maswali ya Mariam Kisangi (Viti Maalum –CCM), kuhoji mpango wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Serikali kujenga barabara nne za juu Dar

Dar es Salaam. Serikali itakamilisha ujenzi wa barabara nne za juu ‘flyover’ katika jiji la Dar es Salaam ndani ya miaka mitatu na daraja la Kigamboni Juni mwakani, Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli amesema. Pia amesema Serikali imetenga Sh2 bilioni kununua kivuko cha mwendo kasi kitakachokuwa kikitoa huduma kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo na kukamilika kwa ujenzi wa barabara za pembezoni katika jiji hili. Waziri Magufuli alisema hayo jana katika ziara ya kukagua ujenzi wa barabara za...

 

10 years ago

CloudsFM

Shyrose,Halima Mdee wajitolea kujenga barabara ya Mbweni

Wabunge Shyrose Bhanji na Halima Mdee(Kawe) wamejitolea kujenga barabara ya Mbweni Malindi iliyopo nje ya jiji la Dar Es Salaam baada ya barabara hiyo kuwa kero kwa wakazi wa eneo hilo akiwemo mh.Shyrose Bhanji mwenyewe.

Shyrose alisema kuwa barabara hiyo ilikuwa kero kiasi kwamba alikuwa akilazimika wakati mwingine kulala mjini kutokana na ubovu wa barabara hiyo .

‘’Kiukweli barabara hii ilikuwa kero sana kwangu na wakazi wa eneo hili nikiwa mjini nilikuwa nikiwaza jinsi ya kurudi nyumbani...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkandarasi lawamani kujenga barabara chini ya kiwango Mtwara

Baadhi ya wananchi mkoani Mtwara wameulalamikia uongozi wa manispaa na wilaya kushindwa kusimamia ujenzi wa barabara kiasi cha kujengwa chini ya kiwango licha yakutakiwa kujengwa katika viwango vya kimataifa.

 

10 years ago

StarTV

Wakazi Singida wahimizwa kujenga nyumba bora.

Na, Mustapha  Kapalata,

Singida

 

SHIRIKA la Umeme Nchini Tanesco kwa kushirikiana na wakala wa usambazaji umeme vijijini awamu ya pili limewataka baadhi ya wananchi wa mkoa wa Singida kujenga Nyumba Bora ili kupata fursa ya huduma ya umeme.

 

TANESCO imesema hiyo ni hatua mojawapo ya kuimarisha usalama wa Nyumba na matumizi ya Nishati hiyo.

 

Mradi huo mubwa unajumuisha ujenzi wa lain kubwa ya usambazaji yenye urefu wa kilometa 659, uwekaji wa mashine umba 107 na Ujenzi wa lain ndogo...

 

10 years ago

Mwananchi

Mikakati inayopaswa kuzingatiwa na Serikali ijayo ili kujenga uchumi bora

Mwezi wa Oktoba, Watanzania watamchagua Rais mpya Wabunge na Madiwani katika uchaguzi mkuu. Ni vyema Watanzania wakafahamu umuhimu wa uongozi katika maendeleo ya uchumi na jamii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani