Shyrose,Halima Mdee wajitolea kujenga barabara ya Mbweni
Wabunge Shyrose Bhanji na Halima Mdee(Kawe) wamejitolea kujenga barabara ya Mbweni Malindi iliyopo nje ya jiji la Dar Es Salaam baada ya barabara hiyo kuwa kero kwa wakazi wa eneo hilo akiwemo mh.Shyrose Bhanji mwenyewe.
Shyrose alisema kuwa barabara hiyo ilikuwa kero kiasi kwamba alikuwa akilazimika wakati mwingine kulala mjini kutokana na ubovu wa barabara hiyo .
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi05 May
Wananchi wajitolea kujenga daraja
10 years ago
Habarileo08 Oct
Halima Mdee rumande
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (35) na wanachama wenzake wanane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana walipelekwa rumande baada ya kushindwa kukamilisha taratibu za dhamana katika kesi inayowakabili ya kutotii amri halali ya Polisi na kufanya mkusanyiko bila kibali.
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Halima Mdee ngangari
JESHI la Polisi jana lilitembeza mkong’oto na kuwakamata makada na viongozi wa Baraza la Wanawake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), waliokuwa wakiandamana kwenda Ikulu Mwenyekiti wa Bawacha, Halima...
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
JK amzimia Halima Mdee
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), jana aligeuka kivutio kikubwa katika hafla ya uzinduzi wa barabara ya Mwenge hadi Tegeta. Katika uzinduzi huo uliofanyika jana jijini Dar es salaam, Mdee,...
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Halima Mdee amkana Mkono
11 years ago
Dewji Blog10 Jul
Halima Mdee: Jihadharini na Matapeli
Na Mwandishi wetu
Mbunge wa Kawe jijini Dar es Salaam, Halima Mdee (pichani) amewatahadharisha wananchi juu ya utapeli unaofanywa na baadhi ya watu wasiojulikana katika mitandao ya kijamii kwa kutumia jina lake kwa kudai kuwa anatoa mikopo bila riba.
siku za hivi karibuni kumekuwapo na matukio ambayo yamekuwa yakiwakuta baadhi ya viongozi wakiwemo Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe na Mbuge wa Monduli Edward Lowassa.
kwa mujibu wa Mdee ni kuwa wakati muhafaka kwa Jeshi la Polisi...
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Halima Mdee akamatwa Dar
10 years ago
Daily News05 Oct
Halima Mdee in police custody
Daily News
Daily News
CHAIRPERSON of CHADEMA Women's Wing, Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA), Halima Mdee was detained by police for several hours along with other eight members of the Wing for allegedly conducting an illegal demonstration outside State ...
10 years ago
Mtanzania10 Jun
RC Gama amjibu Halima Mdee
NA RODRICK MUSHI, MOSHI
SIKU moja baada ya Waziri Kivuli wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Halima Mdee (Chadema), kumlipua Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, akidai kuwa amekuwa dalali wa viwanja, hatimaye amejibu mapigo na kusema kusakamwa kwake kunatokana na msimamo wake dhidi ya wa wanywaji pombe wilayani Rombo.
Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa, alisema kauli ya Mdee imejaa siasa, hasa kipindi hiki cha kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu, lakini hatorudi...