Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkandarasi lawamani kujenga barabara chini ya kiwango Mtwara

Baadhi ya wananchi mkoani Mtwara wameulalamikia uongozi wa manispaa na wilaya kushindwa kusimamia ujenzi wa barabara kiasi cha kujengwa chini ya kiwango licha yakutakiwa kujengwa katika viwango vya kimataifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Mkandarasi asimamishwa kujenga maabara

KAMPUNI ya UK General Services, imesimamishwa kuendelea na ujenzi wa maabara katika shule ya Sekondari ya Mbugani kutokana na kushindwa kukidhi vigezo. Akizungumza jijini hapa jana, Mjumbe wa Kamati ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba limekuwa chini ya kiwango

NI vigumu kuyaandika haya ninayoandika. Lakini wakati mwingine ni afadhali kuzungumza  ukweli uwe huru. Ninayoyaandika hadharani yanawezekana yanajadiliwa kimya kimya  katika mijadala isiyo rasmi.  Ukweli ni kwamba kila anayefikiri sawasawa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chunya wapata maji chini ya kiwango

UPATIKANAJI wa maji katika mji wa Chunya ni asilimia 67.7 chini ya lengo la maji la asilimia 95 kwa mijini. Takwimu hizo zilitolewa bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri...

 

9 years ago

Habarileo

Mkurugenzi, mkandarasi K’ndoni wabanwa ujenzi wa barabara

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ametoa wiki mbili kwa Mkurugenzi na Mkandarasi wa Manispaa hiyo kumpa ripoti ya ukiukwaji wa mikataba ya ujenzi wa barabara za manispaa hiyo kwa kiwango cha lami.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkandarasi atakiwa kumaliza barabara kwa wakati

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amemtaka mkandarasi Kampuni ya J.V anayejenga barabara ya Makutano-Nyamuswa-Ikoma Gate, sehemu ya Makutano-Natta kilomita 50, kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha mradi huo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali ya Kijiji cha Kisaki Singida yakataa mradi wa Maji uliokuwa chini ya kiwango

SAM_1970

Pichani ni tanki la maji lilijengwa kwa ajili ya kuhifadhia maji yatakayosambazwa katika Kijiji cha Kisaki.

Na Jumbe Ismailly, Singida      

SERIKALI ya Kijiji cha Kisaki,katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida imekataa kupokea mradi wa maji wa Kijiji hicho kwa madai kuwa mradi huo haujakidhi viwango vya ubora.

Maamuzi ya kuukataa mradi huo yalifikiwa kwenye kikao cha pamoja kati ya wajumbe wa serikali ya Kijiji,kamati ya mradi wa maji ya Kijiji hicho na wataalamu wa maji kutoka Manispaa...

 

5 years ago

Michuzi

Mkandarasi atii agizo la Rais, aanza ujenzi wa barabara Kigamboni

 Mkandarasi anayejenga barabara yenye urefu wa kilomita 1.2 kutoka Daraja la Nyerere hadi Feri – Kibada ametii agizo la Rais John Magufuli la kumtaka kuanza kazi ya kukamilisha mradi huo haraka.
 China Railway Construction Engineering Group (CRCEG) jana ilianza kazi ya kutengeneza kipande cha barabara hiyo, ikiwa ni siku chache baada ya Rais Magufuli kutoa agizo la kumaliza mgogoro wa kikandarasu na kukamilishaa mradi huo.Akizugumza wakati wa uzinduzi wa ofisi za Wilaya ya Kigamboni,. Rais...

 

11 years ago

Michuzi

Mkandarasi wa mradi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka aruhusu maeneo ya kugeuzia magari

 Sehemu ya barabara ya Morogoro road maeneo ya Kimara
KAMPUNI ya ujenzi wa barabara ya STRABAG  inayoendelea na ujenzi kwa ajili  ya mradi wa mabasi yaendayo haraka umeruhusu upande mmoja wa barabara uliokamilika kutumika ili kupunguza foleni  ya magari yanayoka Kimara kuelekea katikati ya jiji au sehemu nyingine kupitia  barabara ya Morogoro.  


Mhandisi wa Wakala wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART),Mhandisi John Shauri aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA AMTAKA MKANDARASI UJENZI BARABARA YA MABASI MWENDOKASI MBAGALA KUONGEZA KASI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametembelea na kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya Mwendokasi Mbagala inayogharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 200 ambapo amemtaka Mkandarasi wa Mradi huo kuongeza kasi ili mradi ukamilike na kupunguza kero ya usafiri kwa wananchi wa Mbagala.
RC Makonda amesema kwa muda mrefu wakazi wa Mbagala walikuwa wakipata changamoto ya usafiri ikiwemo foleni na wakati mwingine wananchi kuibiwa simu na mikoba wakiwa wanagombania usafiri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani