Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkandarasi asimamishwa kujenga maabara

KAMPUNI ya UK General Services, imesimamishwa kuendelea na ujenzi wa maabara katika shule ya Sekondari ya Mbugani kutokana na kushindwa kukidhi vigezo. Akizungumza jijini hapa jana, Mjumbe wa Kamati ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Anayedaiwa kulamba fedha za maabara asimamishwa

MKURUGENZI wa Halmashauri ya Igunga, Rustika Turuka amemsimamisha kazi Mtendaji wa Kata ya Kining’inila wilaya ya Igunga mkoani Tabora John Maduhu kwa muda usiojulikana.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkandarasi lawamani kujenga barabara chini ya kiwango Mtwara

Baadhi ya wananchi mkoani Mtwara wameulalamikia uongozi wa manispaa na wilaya kushindwa kusimamia ujenzi wa barabara kiasi cha kujengwa chini ya kiwango licha yakutakiwa kujengwa katika viwango vya kimataifa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Milioni 140 kujenga maabara

ZAIDI ya sh. milioni 140 zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa vyumba vya maabara katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Jakaya Kikwete...

 

10 years ago

Habarileo

DC: Muda wa kujenga maabara ulikuwa mfupi

MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Saidi Amanzi amesema muda waliokuwa wamepewa awali na Rais Jakaya Kikwete wa kuhakikisha wanajenga maabara katika shule zote za sekondari ulikuwa hautoshi.

 

9 years ago

Michuzi

TAA YATOA MILIONI 10/- KUJENGA MAABARA MONTFORT

Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imeahidi kuipa shule ya Sekondari ya Montofort iliyo Yombo Vituka, Dar es Salaam, Tsh. Milioni 10 kwa ajili ya ujenzi wa maabara huku ikiwataka wanafunzi wasomee  pia usafiri wa anga kwani sekta hiyo inahitaji wataalam marubani, wahandisi, watoa huduma kwenye ndege n.k.
Ahadi hiyo ilitolewa na Mwanasheria Mkuu wa TAA, Wakili Ramadhan A. Maleta katika mahafali ya kidato cha nne cha shule hiyo iliyo jirani na Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius...

 

10 years ago

Michuzi

BILIONI 1.3 ZATUMIKA KUJENGA MAABARA ZA SAYANSI NA HOSTELI


Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka akizungumza Na Denis Mlowe,Iringa
JUMLA ya sh. bilioni 1.3 zimetumika katika ujenzi wa maabara za sayansi, hosteli za wasichana na chumba cha darasa katika shule za sekondari za Ismani, Nyang’ro na Kalenga zilizoko katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa mkoani Iringa. Akizungumza na wahabari hivi karibuni ofisini kwake Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Iringa,Pudenciana Kisaka  alisema kuwa halmashauri kupitia idara ya...

 

10 years ago

Habarileo

Morogoro wafanikiwa kujenga maabara kwa asilimia 90

WAKATI hukumu ya watendaji walioshindwa kukamilisha ujenzi wa maabara tatu katika kila shule ya sekondari ya Kata nchini ikikaribia kutekelezwa na Rais Jakaya Kikwete baada ya muda uliotolewa kufikia tamati, mkoa wa Morogoro, umesimamia utekelezaji wake kwa kiwango cha asilimia 90.

 

10 years ago

Mwananchi

Bawacha wataka fedha za ziara za JK kujenga maabara

Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) limemtaka Rais Jakaya Kikwete kupunguza safari za kwenda nje ya nchi ili fedha anazotumia katika ziara hizo zigharamie ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari.

 

10 years ago

Vijimambo

ACACIA YATUMIA MILIONI 400 KUJENGA MAABARA SHINYANGA

Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi,Mhandisi Philbert Rweyemamu(kushoto) akiwa na Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Bi Josephine Matiro wakati wa uzinduzuzi wa jengo la Maabara katika shule ya Sekondari Ngokolo lililojengwa kwa ufadhili wa kampuni ya kuchimba Dhahabu ya Buzwagi. Jengo la Maabara lililojengwa kwa ufadhili wa Mgodi wa Kuchimba Dhahabu wa Buzwagi katika shule ya sekondari Ngokolo iliyopo wilani Shinyanga. Baadhi ya wanafunzi katika shule ya sekondari Ngokolo iliyopo wilayani Shinyanga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani