BILIONI 1.3 ZATUMIKA KUJENGA MAABARA ZA SAYANSI NA HOSTELI
![](http://3.bp.blogspot.com/-EzItTlhLsWk/VAiGRbCca8I/AAAAAAACqAw/ZGrVIUObOZg/s72-c/unnamed.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka akizungumza Na Denis Mlowe,Iringa
JUMLA ya sh. bilioni 1.3 zimetumika katika ujenzi wa maabara za sayansi, hosteli za wasichana na chumba cha darasa katika shule za sekondari za Ismani, Nyang’ro na Kalenga zilizoko katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa mkoani Iringa. Akizungumza na wahabari hivi karibuni ofisini kwake Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Iringa,Pudenciana Kisaka alisema kuwa halmashauri kupitia idara ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi03 Oct
Bilioni 1.7 zatumika kujenga sekondari ya JK Nyerere
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-78dOBmn-rVU/VPhGJEZyWUI/AAAAAAAHH1I/IMj2mDbG1VM/s72-c/unnamed%2B(40).jpg)
BILIONI 56 ZATUMIKA KUJENGA STUDIO ZA AZAM TV, RAIS KIKWETE KUZIZINDUA KESHO
![](http://1.bp.blogspot.com/-78dOBmn-rVU/VPhGJEZyWUI/AAAAAAAHH1I/IMj2mDbG1VM/s1600/unnamed%2B(40).jpg)
Hayo yamesemwa na Naibu Mtendaji Mkuu wa Azam Media Limited, Tido Mhando wamiliki wa Azam TV leo mchana katika Mkutano na Waandishi wa Habari, Tabata, Dar es Salaam.
Mhando mwenye uzoefu wa kuongoza kampuni kubwa za vyombo vya habari zikiwemo Idhaa ya Kiswahili BBC, Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) na Mwananchi...
10 years ago
Habarileo18 Feb
Zatumika bilioni 39/- kukwamua kaya masikini
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Uhusiano na Uratibu, Dk Mary Nagu amesema zaidi ya Sh bilioni 39 zimetumika ili kuzikwamua kaya masikini nchini ziweze kundokana na hali hiyo.
10 years ago
Dewji Blog03 Feb
Milioni 59/- zatumika kujenga nyumba , vyoo Shule ya Munguli
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida, Bravo Lyapembile, katika picha.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu
HALMASHAURI ya wilaya ya Mkalama mkoani Singida,imetumia zaidi ya shilingi 59 milioni kugharamia ujenzi wa nyumba ya mtumishi,vyoo na ununuzi wa vitanda na magodoro ya shule ya msingi ya bweni, kijiji cha Munguli ambayo ni maalum kwa jamii ya Wahadzabe tu.
Hayo yamesemwa na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo,Bravo Lyapambile,wakati...
11 years ago
Mwananchi05 Jun
Sh1.5 bilioni zatumika mradi wa ufuta Mbugwe
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-SBs9P9S6d5o/XqMJ0TyZgzI/AAAAAAALoHg/vPc1T5L-GrEkivtmRBST74HFRwPWOXZ9ACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-04-24%2Bat%2B8.50.50%2BAM%2B%25281%2529.jpeg)
BILIONI 27.40 ZATUMIKA KUTOA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU NCHINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-SBs9P9S6d5o/XqMJ0TyZgzI/AAAAAAALoHg/vPc1T5L-GrEkivtmRBST74HFRwPWOXZ9ACLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-04-24%2Bat%2B8.50.50%2BAM%2B%25281%2529.jpeg)
Charles James, Michuzi TVSERIKALI imesema kiasi cha Sh Bilioni 27.40 kilitolewa na Halmashauri zote nchini kwa ajili ya mikopo ya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu ikiwa ni asilimia 44 ya bajeti ya wanawake, vijana na wenye ulemavu ambayo ni Sh Bilioni 62.40.
Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo imeongoza kutoa mikopo kwa kundi hilo kwa...
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Maabara nyenzo muhimu masomo ya sayansi
WATAALAM wa sayansi hawawezi kupatikana nchini kama serikali haitayapa masomo hayo kipaumbele na kujenga maabara shuleni. Ni shule chache nchini ambazo zimekuwa zikifaulisha wanafunzi masomo ya sayansi, hii ni kutokana...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-dZ3OhqigiwM/XlYAqf_k8MI/AAAAAAAEFyQ/_RP2bC5YMuADqtoY2fffWUUAfDNZJhHzACLcBGAsYHQ/s72-c/5f862bf5-7543-4aa3-857b-df13ff516d68.jpg)
ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 154 ZATUMIKA KUJENGA VYUMBA VITATU VYA MADARASA,UKARABATI WA SHULE WILAYANI TANDAHIMBA
Akizindua madarasa hayo Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Sebastian Waryuba amesema madarasa hayo yamewekwa na madawati tayari kwa wanafunzi kuendelea na masomo
"Tumezindua madarasa haya lakini pia wametukabidhi shule ikiwa katika muonekano unaovutia ambapo kazi hii imefanywa na taasisi ya Eclat na Upendo ,"amesema Waryuba
Naye Mwenyekiti wa taasisi ya Eclat...