BILIONI 56 ZATUMIKA KUJENGA STUDIO ZA AZAM TV, RAIS KIKWETE KUZIZINDUA KESHO
![](http://1.bp.blogspot.com/-78dOBmn-rVU/VPhGJEZyWUI/AAAAAAAHH1I/IMj2mDbG1VM/s72-c/unnamed%2B(40).jpg)
JUMLA dola za Kimarekani Milioni 31 (zaidi ya Sh. Bilioni 56 za Tanzania) zimetumika kutengeneza studio mpya za kisasa za Azam TV, zilizopo eneo la Tabata Relini, Dar es Salaam.
Hayo yamesemwa na Naibu Mtendaji Mkuu wa Azam Media Limited, Tido Mhando wamiliki wa Azam TV leo mchana katika Mkutano na Waandishi wa Habari, Tabata, Dar es Salaam.
Mhando mwenye uzoefu wa kuongoza kampuni kubwa za vyombo vya habari zikiwemo Idhaa ya Kiswahili BBC, Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) na Mwananchi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QiexpI9hytodBCvIFRSv9JABLKbptmMB3a8GkXAz67xT1q5TANAa-Y6*uZX2TtE1uhtWYX--iXOo*N2ysW-fKorviK8juK05/1.jpg?width=650)
KIKWETE KUZINDUA STUDIO ZA AZAM TV KESHO
9 years ago
Mwananchi03 Oct
Bilioni 1.7 zatumika kujenga sekondari ya JK Nyerere
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-EzItTlhLsWk/VAiGRbCca8I/AAAAAAACqAw/ZGrVIUObOZg/s72-c/unnamed.jpg)
BILIONI 1.3 ZATUMIKA KUJENGA MAABARA ZA SAYANSI NA HOSTELI
![](http://3.bp.blogspot.com/-EzItTlhLsWk/VAiGRbCca8I/AAAAAAACqAw/ZGrVIUObOZg/s1600/unnamed.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka akizungumza Na Denis Mlowe,Iringa
JUMLA ya sh. bilioni 1.3 zimetumika katika ujenzi wa maabara za sayansi, hosteli za wasichana na chumba cha darasa katika shule za sekondari za Ismani, Nyang’ro na Kalenga zilizoko katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa mkoani Iringa. Akizungumza na wahabari hivi karibuni ofisini kwake Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Iringa,Pudenciana Kisaka alisema kuwa halmashauri kupitia idara ya...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ggfi0NrUMVU/VPoVn55jlUI/AAAAAAAHINo/4q3l2kOphR8/s72-c/a7.jpg)
RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI STUDIO MPYA ZA AZAM TV JIJINI DAR ES SALAAM LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-ggfi0NrUMVU/VPoVn55jlUI/AAAAAAAHINo/4q3l2kOphR8/s1600/a7.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-HUZpU9i7et4/VPoVk4sn-_I/AAAAAAAHIM0/KwXxvvOPj7o/s1600/a2.jpg)
10 years ago
Habarileo06 Mar
Kikwete mgeni rasmi uzinduzi wa studio ya Azam Tv
RAIS Jakaya Kikwete leo atakuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa studio ya kisasa ya Azam Tv itakayojulikana kama Uhai Production iliyopo eneo la Tabata kando ya barabara ya Mandela.
10 years ago
Habarileo18 Feb
Zatumika bilioni 39/- kukwamua kaya masikini
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Uhusiano na Uratibu, Dk Mary Nagu amesema zaidi ya Sh bilioni 39 zimetumika ili kuzikwamua kaya masikini nchini ziweze kundokana na hali hiyo.
10 years ago
Dewji Blog03 Feb
Milioni 59/- zatumika kujenga nyumba , vyoo Shule ya Munguli
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida, Bravo Lyapembile, katika picha.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu
HALMASHAURI ya wilaya ya Mkalama mkoani Singida,imetumia zaidi ya shilingi 59 milioni kugharamia ujenzi wa nyumba ya mtumishi,vyoo na ununuzi wa vitanda na magodoro ya shule ya msingi ya bweni, kijiji cha Munguli ambayo ni maalum kwa jamii ya Wahadzabe tu.
Hayo yamesemwa na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo,Bravo Lyapambile,wakati...
11 years ago
Mwananchi05 Jun
Sh1.5 bilioni zatumika mradi wa ufuta Mbugwe