Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIKWETE KUZINDUA STUDIO ZA AZAM TV KESHO

Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media Group Tido Muhando akiongea mbele ya waandishi wa habari juu ya uzinduzi wa kituo hicho hapo kesho. Mkurugenzi uendeshaji wa vipindi vya Azam TV, Yahaya Mohamed, akifafanua jinsi vipindi vyao vitakavyoboleshwa.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BILIONI 56 ZATUMIKA KUJENGA STUDIO ZA AZAM TV, RAIS KIKWETE KUZIZINDUA KESHO

JUMLA dola za Kimarekani Milioni 31 (zaidi ya Sh. Bilioni 56 za Tanzania) zimetumika kutengeneza studio mpya za kisasa za Azam TV, zilizopo eneo la Tabata Relini, Dar es Salaam.
Hayo yamesemwa na Naibu Mtendaji Mkuu wa Azam Media Limited, Tido Mhando wamiliki wa Azam TV leo mchana katika Mkutano na Waandishi wa Habari, Tabata, Dar es Salaam. 
Mhando mwenye uzoefu wa kuongoza kampuni kubwa za vyombo vya habari zikiwemo Idhaa ya Kiswahili BBC, Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) na Mwananchi...

 

10 years ago

Mwananchi

JK kuzindua studio za Azam

Rais Jakaya Kikwete leo anazindua studio za kituo cha televisheni cha Azam zilizopo Tabata jijini hapa.Naibu Ofisa Mtendaji wa Azam, Tido Mhando alisema jana kuwa mwitikio wa Rais kwa ajili ya shughuli hiyo ni faraja kubwa.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete mgeni rasmi uzinduzi wa studio ya Azam Tv

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete leo atakuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa studio ya kisasa ya Azam Tv itakayojulikana kama Uhai Production iliyopo eneo la Tabata kando ya barabara ya Mandela.

 

10 years ago

GPL

DR. KIKWETE KUZINDUA KITABU CHA KIHISTORIA KESHO

Mwandishi wa kitabu cha kihistoria na Mhariri Mkuu, Simai Mohammed Said (wa kwanza kushoto) akizungumza wakati wa mkutano huo. Katikati ni mchapishaji wa kitabu hicho, Javed Jafferji pamoja na Afisa mahusiano, Claire Chemoinywa (kulia) Meza kuu ikitafakari maswali waliyoulizwa na wanahabari (hawapo pichani)…

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI STUDIO MPYA ZA AZAM TV JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe akiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara pamoja na uongozi na baadhi ya wafanyakazi wa Azam TV wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam leo Machi 6, 2015.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Naibu Mkurugenzi wa Azam TV Bw. Dunstan Tido Mhando wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es...

 

9 years ago

Dewji Blog

TTCL kuzindua Huduma ya 4G LTE kesho

hqdefault

Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) inazindua rasmi teknolojia ya Long Term Evolution (LTE) inayojulikana kwa jina la mtandao wa 4G. Awamu ya kwanza inayoanza leo siku ya uzinduzi itatoa huduma katika maeneo 11 Jijini Dar es salaam.

Maeneo hayo ni pamoja na  Uwanja wa Ndege wa Mwl J.K. Nyerere, Pugu Road, Posta Mpya, Upanga, Kinondoni, Ubungo, Oysterbay, Mwenge, Mbezi Tangibovu,  Mbezi Exchange, Kunduchi Salasala na Wazo Tegeta.  Awamu pili itakuwa kupeleka mawasiliano hayo katika maeneo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani