Zatumika bilioni 39/- kukwamua kaya masikini
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Uhusiano na Uratibu, Dk Mary Nagu amesema zaidi ya Sh bilioni 39 zimetumika ili kuzikwamua kaya masikini nchini ziweze kundokana na hali hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Mar
TASAF yatumia bilioni 4.2 kuzinusuru kaya masikini Singida
Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Singida, Aziza Mumba, akizungumza wakati akifungua semina ya siku moja iliyoitishwa na ofisi ya Mtaribu wa TASAF mkoa, kwa ajili ya kuwajengea uwezo wadau wa mfuko huo ili waweze kufahamu vema.
Mratibu wa mfuko wa maendeleo ya jamii (TASAF) mkoa wa Singida,Patrick Kasango akitoa ufafanuzi juu ya misaada ya fedha ya zaidi ya shilingi 4.2 bilioni zilizotolewa kwa kaya maskini 42,218, ili kuzinusuru ziweze kupata lishe bora, huduma za afya na elimu.
Baadhi ya...
11 years ago
Dewji Blog06 Aug
TASAF kunususru kaya masikini
Na Mwandishi wetu
Mpango wa kunusuru kaya maskini wilayani Manyoni, Mkoani Singida, umeanndikisha kaya 8,113 kati ya kaya 8,404 zilizotambuliwa na mpango huo katika kipindi cha kuanzia Aprili hadi Julai,mwaka huu.
Kaimu Mratibu wa TASAF Wilaya ya Manyoni, Mkoani Singida, Bwana Herilabert Sagali alisema mpango huo ulianzishwa kwa malengo mawili ambayo ni pamoja na kutambua kaya maskini na kuandikisha kaya maskini.
Kwa mujibu wa mratibu huyo malengo ni kujenga uwezo pamoja na kuwezesha kaya...
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Tasaf kuzinufaisha zaidi kaya masikini
11 years ago
Habarileo02 Aug
Kaya 2,944 masikini sana kunufaika
MPANGO wa kunusuru kaya masikini sana kupitia Awamu ya Tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF lll) katika Halmashauri ya Mji wa Masasi mkoani Mtwara, unatarajia kunufaisha kaya 2,944.
9 years ago
MichuziTasaf Manyara yasaidia kaya masikini
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pXQrornuks8/Xk0gXFAnfzI/AAAAAAALeUE/KcnNrS_3KeUFUoQekFa49dfBM9s0vfMYACLcBGAsYHQ/s72-c/vlcsnap-2020-02-18-02h57m35s353.png)
KAYA MASIKINI NGORONGORO ZAPATIWA MBUZI 624
Kaya masikini zinazoishi katika kata ya Olbalbal wilayani Ngorongoro zimepatiwa mbuzi na kondoo 624 watakaowasaidia kupunguza kiwango cha umasikini na kujipatia mahitaji muhimu pamoja na kujiendeleza kiuchumi.
Wananchi hao kutoka kaya zenye kipato duni wakizungumza katika makabidhiano ya mbuzi hao waliotolewa na kikundi cha Narikungishu kilichopo boma la utamaduni la ,Indemwa lililopo katika kata hiyo ,John Ngeka na Nalepo Emanuel walisema kuwa mifugo hiyo...
9 years ago
Habarileo14 Aug
Milioni 188/- kunusuru kaya masikini Morogoro
MANISPAA ya Morogoro imepokea jumla ya Sh 188,284,500 kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wake wa awamu ya tatu wa kunusuru kaya masikini.
10 years ago
Habarileo03 Feb
TASAF yatakiwa kufikia kaya masikini Pemba
Ofisa Mdhamini katika ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Issa Juma Ali alisema upembezi yakinifu uliofanywa katika mpango wa kunusuru kaya masikini umebaini zaidi ya kaya 15 zinahitaji kufikiwa na kuingizwa katika Mpango wa Mradi wa Tasaf, Pemba.
11 years ago
Habarileo15 Dec
TASAF kutumia bil 480/- kunusuru kaya masikini
MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) itatumia Sh bilioni 480 katika awamu ya tatu ya mradi wa mpango wa kunusuru kaya masikini zilizo katika mazingira hatarishi.