KAYA MASIKINI NGORONGORO ZAPATIWA MBUZI 624
![](https://1.bp.blogspot.com/-pXQrornuks8/Xk0gXFAnfzI/AAAAAAALeUE/KcnNrS_3KeUFUoQekFa49dfBM9s0vfMYACLcBGAsYHQ/s72-c/vlcsnap-2020-02-18-02h57m35s353.png)
Na Ahmed Mahmoud,Arusha.
Kaya masikini zinazoishi katika kata ya Olbalbal wilayani Ngorongoro zimepatiwa mbuzi na kondoo 624 watakaowasaidia kupunguza kiwango cha umasikini na kujipatia mahitaji muhimu pamoja na kujiendeleza kiuchumi.
Wananchi hao kutoka kaya zenye kipato duni wakizungumza katika makabidhiano ya mbuzi hao waliotolewa na kikundi cha Narikungishu kilichopo boma la utamaduni la ,Indemwa lililopo katika kata hiyo ,John Ngeka na Nalepo Emanuel walisema kuwa mifugo hiyo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog06 Aug
TASAF kunususru kaya masikini
Na Mwandishi wetu
Mpango wa kunusuru kaya maskini wilayani Manyoni, Mkoani Singida, umeanndikisha kaya 8,113 kati ya kaya 8,404 zilizotambuliwa na mpango huo katika kipindi cha kuanzia Aprili hadi Julai,mwaka huu.
Kaimu Mratibu wa TASAF Wilaya ya Manyoni, Mkoani Singida, Bwana Herilabert Sagali alisema mpango huo ulianzishwa kwa malengo mawili ambayo ni pamoja na kutambua kaya maskini na kuandikisha kaya maskini.
Kwa mujibu wa mratibu huyo malengo ni kujenga uwezo pamoja na kuwezesha kaya...
11 years ago
Habarileo02 Aug
Kaya 2,944 masikini sana kunufaika
MPANGO wa kunusuru kaya masikini sana kupitia Awamu ya Tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF lll) katika Halmashauri ya Mji wa Masasi mkoani Mtwara, unatarajia kunufaisha kaya 2,944.
9 years ago
MichuziTasaf Manyara yasaidia kaya masikini
10 years ago
Habarileo18 Feb
Zatumika bilioni 39/- kukwamua kaya masikini
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Uhusiano na Uratibu, Dk Mary Nagu amesema zaidi ya Sh bilioni 39 zimetumika ili kuzikwamua kaya masikini nchini ziweze kundokana na hali hiyo.
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Tasaf kuzinufaisha zaidi kaya masikini
9 years ago
Habarileo14 Aug
Milioni 188/- kunusuru kaya masikini Morogoro
MANISPAA ya Morogoro imepokea jumla ya Sh 188,284,500 kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wake wa awamu ya tatu wa kunusuru kaya masikini.
10 years ago
Habarileo03 Feb
TASAF yatakiwa kufikia kaya masikini Pemba
Ofisa Mdhamini katika ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Issa Juma Ali alisema upembezi yakinifu uliofanywa katika mpango wa kunusuru kaya masikini umebaini zaidi ya kaya 15 zinahitaji kufikiwa na kuingizwa katika Mpango wa Mradi wa Tasaf, Pemba.
9 years ago
Habarileo29 Nov
TASAF yatoa mil 249/- kwa kaya masikini
SERIKALI kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) , imetoa Sh milioni 249 .02 kwa ajili ya kaya zipatazo 7,055 zilizopo wilya ya Gairo, mkoani Morogoro, ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa kunusuru kaya masikini nchini.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-kgAoAoz_QKo/VSvsopxdHBI/AAAAAAAC3Gs/GkN_ODgQPfE/s72-c/New%2BPicture.png)
KAYA MASIKINI ZATAMBULIWA MUFINDI KUPITIA MRADI WA TASAF
![](http://2.bp.blogspot.com/-kgAoAoz_QKo/VSvsopxdHBI/AAAAAAAC3Gs/GkN_ODgQPfE/s1600/New%2BPicture.png)
Taarifa ya Ofisi ya habari na Mawasiliano ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kwa vyombo vya habari, imetanabaisha kuwa, wawezeshaji wapatao 72 walijengewa uwezo wa kubaini vigezo...