Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASAF yatoa mil 249/- kwa kaya masikini

SERIKALI kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) , imetoa Sh milioni 249 .02 kwa ajili ya kaya zipatazo 7,055 zilizopo wilya ya Gairo, mkoani Morogoro, ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa kunusuru kaya masikini nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TASAF YATOA MAFUNZO KWA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI HUKO UNGUJA

   Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF , Bwana Ladislaus Mwamanga akiwatambulisha baadhi ya wageni walioshiriki katika kikao cha kujifunza kutoka kwa walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya Masikini katika shehia ya Mwembemakumbi wilaya ya Mjini Unguja ambako ujumbe huo umekuweko kwa siku Tatu.    Mkurugenzi wa Miradi wa TASAF Bwana Amedius Kamagenge akitoa ufafanuzi wa moja ya masuala yaliyojitokeza katika kikao cha pamoja kati ya walengwa wa Mpango wa Kunusuru kaya Masikini katika shehia ya...

 

11 years ago

Habarileo

TASAF yaanza kutoa fedha kwa kaya masikini

MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF ) kwa upande wa Zanzibar tayari umetumia jumla ya Sh milioni 77.758 kwa ajili ya kuzihudumia kaya zenye watu masikini na kuendesha maisha yao na kujikwamua na umasikini.

 

5 years ago

Michuzi

DC ZAINABU KAWAWA AWAPA SOMO TASAF KUSIMAMIA FEDHA ZINAZOTOLEWA KWA KAYA MASIKINI

 Baadhi ya wazee wa Kata ya Nia njema Wilayani Bagamoyo wakiwa wanasikiliza Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo katika mkutano huo wa hadhara ambao ulihudhuliwa na wadau mbali mbali wa maendeleo pamoja na viongozi wa serikalia na wakuu wa Idara.Mkuu wa kituo cha Polisi Bagamoyo Michael Kakoshi licha ya kulinda hali ya usalama katika eneo hilo la mkutano wa adhara akiwa anasikiliza changamoto mbali mbali ambazo zilikuwa zikitolewa na wananchi wa kata hiyo ya nia njema.Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo...

 

11 years ago

Dewji Blog

TASAF kunususru kaya masikini

DSC04088

 

Na Mwandishi wetu

Mpango wa kunusuru kaya maskini wilayani Manyoni, Mkoani Singida, umeanndikisha kaya 8,113 kati ya kaya 8,404 zilizotambuliwa na mpango huo katika kipindi cha kuanzia Aprili hadi Julai,mwaka huu.

Kaimu Mratibu wa TASAF Wilaya ya Manyoni, Mkoani Singida, Bwana Herilabert Sagali alisema mpango huo ulianzishwa kwa malengo mawili ambayo ni pamoja na kutambua kaya maskini na kuandikisha kaya maskini.

Kwa mujibu wa mratibu huyo malengo ni kujenga uwezo pamoja na kuwezesha kaya...

 

11 years ago

Mwananchi

Tasaf kuzinufaisha zaidi kaya masikini

Watanzania waishio kwenye kaya masikini watanufaika na ruzuku inayotolewa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) baada ya tathmini iliyofanywa katika awamu tatu za mwanzo zilizohusisha baadhi ya wilaya nchini, kuonyesha mafanikio makubwa.

 

9 years ago

Michuzi

Tasaf Manyara yasaidia kaya masikini

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera akizungumza na mkazi wa Kitongoji cha Madukani Wilayani Simanjiro, Loshilaa Moiyo, ambaye alipatiwa sh110,000 za mfuko wa Maendeleo ya jamii nchini (Tasaf) kwa lengo la kusaidia kaya masikini.Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera akizungumza na mtoto wa mkazi wa Kitongoji cha Madukani Wilayani Simanjiro Helena Saitabau, ambaye alipatiwa sh 120,000 za mfuko wa Maendeleo ya jamii nchini (Tasaf) kwa lengo la kusaidia kaya masikini.

 

10 years ago

Habarileo

TASAF yatakiwa kufikia kaya masikini Pemba

Ofisa Mdhamini katika ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Issa Juma Ali alisema upembezi yakinifu uliofanywa katika mpango wa kunusuru kaya masikini umebaini zaidi ya kaya 15 zinahitaji kufikiwa na kuingizwa katika Mpango wa Mradi wa Tasaf, Pemba.

 

9 years ago

Michuzi

Chato Waufurahia Mpango wa TASAF wa Kunusuru Kaya Masikini

Na. Richard Bagolele- Chato
Baadhi ya wananchi wilayani Chato wameipongeza serikali kupitia mpango wa TASAF Awamu ya tatu wa kunusuru kaya masikini. Wakiongea kwa nyakati Tofauti wananchi hao kutoka kata ya Bwongera ambao ni wanufaika wa Mpango huo wamesema Mpango wa TASAF Awamu ya tatu ni mkombozi kwa wananchi masikini na wameahidi kutumia pesa hizo kwa manufaa ya familia na mahitaji muhimu ya huduma za afya na elimu kwa watoto wao.
“Tunaishukukuru serikali yetu kwa huu mpango mzuri ambao...

 

10 years ago

Michuzi

KAYA MASIKINI ZATAMBULIWA MUFINDI KUPITIA MRADI WA TASAF

Jumla ya kaya masikini elfu Tisa 277 zimetambuliwa na Halmashauri ya wilaya ya Mufindi, katika utekelezaji wa hatua ya awali ya kuzibaini kaya masikini kwenye vijiji na mitaa ikiwa ni mpango wa awamu ya tatu wakuzinusuru kaya masikini unaoratibiwa na mfuko wa maendeleo ya jamii nchini Tasaf kuputia Halmashauri hiyo.
Taarifa ya Ofisi ya habari na Mawasiliano ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kwa vyombo vya habari, imetanabaisha kuwa, wawezeshaji wapatao 72 walijengewa uwezo wa kubaini vigezo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani