DC ZAINABU KAWAWA AWAPA SOMO TASAF KUSIMAMIA FEDHA ZINAZOTOLEWA KWA KAYA MASIKINI
Baadhi ya wazee wa Kata ya Nia njema Wilayani Bagamoyo wakiwa wanasikiliza Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo katika mkutano huo wa hadhara ambao ulihudhuliwa na wadau mbali mbali wa maendeleo pamoja na viongozi wa serikalia na wakuu wa Idara.
Mkuu wa kituo cha Polisi Bagamoyo Michael Kakoshi licha ya kulinda hali ya usalama katika eneo hilo la mkutano wa adhara akiwa anasikiliza changamoto mbali mbali ambazo zilikuwa zikitolewa na wananchi wa kata hiyo ya nia njema.
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo18 Apr
TASAF yaanza kutoa fedha kwa kaya masikini
MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF ) kwa upande wa Zanzibar tayari umetumia jumla ya Sh milioni 77.758 kwa ajili ya kuzihudumia kaya zenye watu masikini na kuendesha maisha yao na kujikwamua na umasikini.
9 years ago
Habarileo29 Nov
TASAF yatoa mil 249/- kwa kaya masikini
SERIKALI kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) , imetoa Sh milioni 249 .02 kwa ajili ya kaya zipatazo 7,055 zilizopo wilya ya Gairo, mkoani Morogoro, ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa kunusuru kaya masikini nchini.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Du2gX0t5yFU/VJnazhjj8mI/AAAAAAAG5b0/T87OtIywNfM/s72-c/Untitled1.png)
MH. ZAINABU KAWAWA AMUENZI HAYATI MZEE KAWAWA KWA VITENDO
Akiwa wilayani Liwale alipokulia na kusomea Marehemu Mzee Kawawa, Mh Zainabu aliwatembela wazee mbali mbali waliokuwa marafiki wa Mzee Kwawa ili kuwawajulia hali na kusikia mitazamo yao ya Liwale ya sasa nakipindi walipo kuwa na Marehemu Mzee Kawawa.
Wakitoa mitazamo yao Mzee...
11 years ago
MichuziTASAF YATOA MAFUNZO KWA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI HUKO UNGUJA
11 years ago
Dewji Blog06 Aug
TASAF kunususru kaya masikini
Na Mwandishi wetu
Mpango wa kunusuru kaya maskini wilayani Manyoni, Mkoani Singida, umeanndikisha kaya 8,113 kati ya kaya 8,404 zilizotambuliwa na mpango huo katika kipindi cha kuanzia Aprili hadi Julai,mwaka huu.
Kaimu Mratibu wa TASAF Wilaya ya Manyoni, Mkoani Singida, Bwana Herilabert Sagali alisema mpango huo ulianzishwa kwa malengo mawili ambayo ni pamoja na kutambua kaya maskini na kuandikisha kaya maskini.
Kwa mujibu wa mratibu huyo malengo ni kujenga uwezo pamoja na kuwezesha kaya...
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Tasaf kuzinufaisha zaidi kaya masikini
9 years ago
MichuziTasaf Manyara yasaidia kaya masikini
10 years ago
Habarileo03 Feb
TASAF yatakiwa kufikia kaya masikini Pemba
Ofisa Mdhamini katika ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Issa Juma Ali alisema upembezi yakinifu uliofanywa katika mpango wa kunusuru kaya masikini umebaini zaidi ya kaya 15 zinahitaji kufikiwa na kuingizwa katika Mpango wa Mradi wa Tasaf, Pemba.
11 years ago
Habarileo15 Dec
TASAF kutumia bil 480/- kunusuru kaya masikini
MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) itatumia Sh bilioni 480 katika awamu ya tatu ya mradi wa mpango wa kunusuru kaya masikini zilizo katika mazingira hatarishi.