TASAF YATOA MAFUNZO KWA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI HUKO UNGUJA
Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF , Bwana Ladislaus Mwamanga akiwatambulisha baadhi ya wageni walioshiriki katika kikao cha kujifunza kutoka kwa walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya Masikini katika shehia ya Mwembemakumbi wilaya ya Mjini Unguja ambako ujumbe huo umekuweko kwa siku Tatu.
Mkurugenzi wa Miradi wa TASAF Bwana Amedius Kamagenge akitoa ufafanuzi wa moja ya masuala yaliyojitokeza katika kikao cha pamoja kati ya walengwa wa Mpango wa Kunusuru kaya Masikini katika shehia ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-0Qhf4yxOHhA/VCI_XtC3i6I/AAAAAAACrh0/ax0Mkz1a2cc/s72-c/New%2BPicture.png)
TASAF YAANZA MAFUNZO KWA WATAALAMU WA KISEKTA KWA AJILI YA UIBUAJI MIRADI KWA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI
Akifungua warsha ya kuwajengea uwezo wataalamu hao mjini Bagamoyo mkoani Pwani, Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Bwana...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xPl0ReMw8ws/VKOBPAviBrI/AAAAAAACxAA/nXtVp228jfs/s72-c/New%2BPicture.png)
WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI UNAOTEKELEZWA NA TASAF WACHIMBA MTARO WA MAJI
Maelfu ya wakazi wa shehia ya Mpapa wilaya ya Kusini Unguja wanatarajiwa kunufaika na huduma ya maji safi na salama baada ya kukamilika kwa mradi wa maji unaotekelezwa na walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya maskini unaoratibiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF kwa utaratibu wa ajira ya muda PWP.
Wakizungumza katika eneo...
9 years ago
MichuziChato Waufurahia Mpango wa TASAF wa Kunusuru Kaya Masikini
Baadhi ya wananchi wilayani Chato wameipongeza serikali kupitia mpango wa TASAF Awamu ya tatu wa kunusuru kaya masikini. Wakiongea kwa nyakati Tofauti wananchi hao kutoka kata ya Bwongera ambao ni wanufaika wa Mpango huo wamesema Mpango wa TASAF Awamu ya tatu ni mkombozi kwa wananchi masikini na wameahidi kutumia pesa hizo kwa manufaa ya familia na mahitaji muhimu ya huduma za afya na elimu kwa watoto wao.
“Tunaishukukuru serikali yetu kwa huu mpango mzuri ambao...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-xLwPoChWxxQ/U2n5mMASPRI/AAAAAAACgaY/PCT34KQzmzs/s72-c/New+Picture.png)
TASAF YAWAFUNDA WATAALAM WA KISEKTA JUU YA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI-PSSN
Bwana Mwamanga amesema hayo jiji Dar es salaam alipofungua warsha ya wataalamu wa kisekta kutoka Tanzania Bara na Zanzibar ambao sekta...
10 years ago
GPLMAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA BW. KYLE PETERS ATEMBELEA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI UNAOETEKELEZWA NA TASAF WILAYANI BAGAMOYO
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA BW. KYLE PETERS ATEMBELEA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI UNAOETEKELEZWA NA TASAF WILAYANI BAGAMOYO.
Akiwa kijijini hapo Bwana Peters alitembelea moja ya nyumba iliyoboreshwa na mmoja wa walengwa wa Mpango wa Kunusuru kaya maskini Bwana Bakari Rajabu Bakari ambaye kwa kutumia fedha...
11 years ago
MichuziMPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI NA ZINAZOISHI MAZINGIRA HATARISHI UNAORATIBIWA NA TASAF YAIMARISHA MAHUDHURIO YA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI
11 years ago
MichuziTASAF na washirika wa maendeleo wanaofadhili Mpango wa kunusuru Kaya Masikini na zinazoishi katika mazingira hatarishi watembelea kisiwani Zanzibar
11 years ago
MichuziMPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI NA ZINAZOISHI MAZINGIRA HATARISHI UNAORATIBIWA NA TASAF WAHAMASISHA AKINA MAMA WAJAWAZITO KUHUDHURIA KLINIKI