Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI NA ZINAZOISHI MAZINGIRA HATARISHI UNAORATIBIWA NA TASAF YAIMARISHA MAHUDHURIO YA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI

 Afisa Habari wa TASAF (mwenye T-SHIRT NYEUPE) Estom Sanga akizungumza na mmoja wa wanafunzi ambao kaya yake inanufaika na mpango wa kunusuru kaya masikini.   Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Mcharo ambao kaya zao zimo kwenye mpango wa kunusuru kaya masikini wilayani Bunda mkoani Mara.   Samweli George na Anna George ambao wanatoka katika kaya inayonufaika na mpango wa kunusuru kaya masikini wakiwa makini kuelekea shuleni.    Wanafunzi wa shule ya msingi Mcharo Baadhi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI NA ZINAZOISHI MAZINGIRA HATARISHI UNAORATIBIWA NA TASAF WAHAMASISHA AKINA MAMA WAJAWAZITO KUHUDHURIA KLINIKI

 Baadhi ya akinamama na watoto ambao kaya zao ziko kwenye Mpango wa kunusuru kaya masikini unaoratibiwa na TASAF wakisubiri huduma ya kliniki katika hospitali ya Manyamanyama wilayani Bunda mkoani Mara.  Baadhi ya wanawake wajawazito ambao kaya zao ziko katika mpango wa knusuru kaya masikini unaoratibiwa na TASAF wakiwa katika msitari wa kusubiri kuonana na Daktari katika hospitali ya Manyamanyama wilayani Bunda mkoani Mara.  Mratibu wa TASAF wilayani Bunda Nyasegwa Piloty akizungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

TASAF na washirika wa maendeleo wanaofadhili Mpango wa kunusuru Kaya Masikini na zinazoishi katika mazingira hatarishi watembelea kisiwani Zanzibar

 Mkuu wa Mkoa wa Kusimni Unguja.Dkt. Idris Muslim Hijja, akizungumza na Ujumbe wa Tasaf  na Wawakilishi wa kutoka Nchi Wafadhi wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini PSSN  kabla ya kutembelea Shehia ya Kikungwi.   Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF mwenye suti nyeusi Ndg. Ladisilaus Mwamanga, akizungumza katika  Ofisi kwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt Idris Muslim Hijja, kabla ya kuaza kwa ziara hiyo.  Mwakilishi kutoka Benki ya Dunia Bi. Ida Manjoro, akizungumza wakati walipofika Ofisi ya...

 

9 years ago

Michuzi

Chato Waufurahia Mpango wa TASAF wa Kunusuru Kaya Masikini

Na. Richard Bagolele- Chato
Baadhi ya wananchi wilayani Chato wameipongeza serikali kupitia mpango wa TASAF Awamu ya tatu wa kunusuru kaya masikini. Wakiongea kwa nyakati Tofauti wananchi hao kutoka kata ya Bwongera ambao ni wanufaika wa Mpango huo wamesema Mpango wa TASAF Awamu ya tatu ni mkombozi kwa wananchi masikini na wameahidi kutumia pesa hizo kwa manufaa ya familia na mahitaji muhimu ya huduma za afya na elimu kwa watoto wao.
“Tunaishukukuru serikali yetu kwa huu mpango mzuri ambao...

 

11 years ago

Michuzi

TASAF YAWAFUNDA WATAALAM WA KISEKTA JUU YA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI-PSSN

Mkurugenzi mtendaji wa TASAF, bwana Ladislaus Mwamanga amesema utekelezaji wa Mpango wa kunusuru kaya Masikini unaoratibiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini TASAF utasisimua shughuli za maendeleo kwenye maeneo mbalimbali ya nchi ambako utatekelezwa na hivyo kuwa chachu ya maendeleo na  kuondoa kero zinazowakabili wananchi hususani suala la umasikini.
Bwana Mwamanga amesema hayo jiji Dar es salaam alipofungua  warsha ya wataalamu wa kisekta kutoka Tanzania Bara na Zanzibar ambao sekta...

 

11 years ago

Michuzi

TASAF YATOA MAFUNZO KWA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI HUKO UNGUJA

   Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF , Bwana Ladislaus Mwamanga akiwatambulisha baadhi ya wageni walioshiriki katika kikao cha kujifunza kutoka kwa walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya Masikini katika shehia ya Mwembemakumbi wilaya ya Mjini Unguja ambako ujumbe huo umekuweko kwa siku Tatu.    Mkurugenzi wa Miradi wa TASAF Bwana Amedius Kamagenge akitoa ufafanuzi wa moja ya masuala yaliyojitokeza katika kikao cha pamoja kati ya walengwa wa Mpango wa Kunusuru kaya Masikini katika shehia ya...

 

11 years ago

Habarileo

TASAF kutumia bil 480/- kunusuru kaya masikini

MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) itatumia Sh bilioni 480 katika awamu ya tatu ya mradi wa mpango wa kunusuru kaya masikini zilizo katika mazingira hatarishi.

 

9 years ago

StarTV

Kaya masikini zanufaika kwenye elimu na afya mpango wa tasaf

Mradi wa uhaulishaji wa kaya masikini nchini Tasaf III imeonyesha mafanikio katika maeneo mengi nchini katika nyanja mbalimbali zikiwemo elimu na Afya.

Mpango huo umesambaa katika halmashauri zote Tanzania Bara na Visiwani ili kuziwezesha kaya maskini kujikimu na kuwawezesha watoto walio na umri wa kuanza shule kupata elimu.

Ziara ya uongozi wa Tasaf katika kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe katika Kijiji cha Kisanga ambacho ni miongoni mwa...

 

10 years ago

Michuzi

WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI UNAOTEKELEZWA NA TASAF WACHIMBA MTARO WA MAJI

WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI UNAOTEKELEZWA NA TASAF WACHIMBA MTARO WA MAJI  KUPITIA UTARATIBU WA AJIRA YA MUDA KATIKA SHEHIA YA MPAPA,MKOA WA KUSINI UNGUJA.
Maelfu ya wakazi wa shehia ya Mpapa wilaya ya Kusini Unguja wanatarajiwa kunufaika na huduma ya maji safi na salama baada ya kukamilika kwa mradi wa maji unaotekelezwa na walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya maskini unaoratibiwa  na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF kwa utaratibu wa ajira ya muda PWP.
Wakizungumza katika eneo...

 

11 years ago

Michuzi

UFUNGUZI WA WARSHA YA KUJENGA UELEWA WA WADAU KUHUSU MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI — TASAF AWAMU YA TATU MKOANI KATAVI

 Meneja Uratibu kutoka TASAF Makao Makuu Tunu Munthali (aliyesimama) akiwasilisha kwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dkt. Rajab Rutengwe (wa kwanza kulia) salaam za Mkurugenzi mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga. 
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Rajabu Rutengwe akihutubia washiriki wa Warsha ya kujenga uelewa wa wadau kuhusu mpango wa kunusuru Kaya maskini – TASAF awamu ya tatu Mkoani Katavi . Hawa nao ni sehemu ya washiriki wa warsha hiyo inayoshirikisha watendaji mbalimbali wa ngazi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani