Kaya masikini zanufaika kwenye elimu na afya mpango wa tasaf
Mradi wa uhaulishaji wa kaya masikini nchini Tasaf III imeonyesha mafanikio katika maeneo mengi nchini katika nyanja mbalimbali zikiwemo elimu na Afya.
Mpango huo umesambaa katika halmashauri zote Tanzania Bara na Visiwani ili kuziwezesha kaya maskini kujikimu na kuwawezesha watoto walio na umri wa kuanza shule kupata elimu.
Ziara ya uongozi wa Tasaf katika kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe katika Kijiji cha Kisanga ambacho ni miongoni mwa...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziChato Waufurahia Mpango wa TASAF wa Kunusuru Kaya Masikini
Baadhi ya wananchi wilayani Chato wameipongeza serikali kupitia mpango wa TASAF Awamu ya tatu wa kunusuru kaya masikini. Wakiongea kwa nyakati Tofauti wananchi hao kutoka kata ya Bwongera ambao ni wanufaika wa Mpango huo wamesema Mpango wa TASAF Awamu ya tatu ni mkombozi kwa wananchi masikini na wameahidi kutumia pesa hizo kwa manufaa ya familia na mahitaji muhimu ya huduma za afya na elimu kwa watoto wao.
“Tunaishukukuru serikali yetu kwa huu mpango mzuri ambao...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-xLwPoChWxxQ/U2n5mMASPRI/AAAAAAACgaY/PCT34KQzmzs/s72-c/New+Picture.png)
TASAF YAWAFUNDA WATAALAM WA KISEKTA JUU YA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI-PSSN
Bwana Mwamanga amesema hayo jiji Dar es salaam alipofungua warsha ya wataalamu wa kisekta kutoka Tanzania Bara na Zanzibar ambao sekta...
11 years ago
MichuziTASAF YATOA MAFUNZO KWA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI HUKO UNGUJA
11 years ago
MichuziMPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI NA ZINAZOISHI MAZINGIRA HATARISHI UNAORATIBIWA NA TASAF YAIMARISHA MAHUDHURIO YA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI
11 years ago
MichuziMPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI NA ZINAZOISHI MAZINGIRA HATARISHI UNAORATIBIWA NA TASAF WAHAMASISHA AKINA MAMA WAJAWAZITO KUHUDHURIA KLINIKI
11 years ago
MichuziTASAF na washirika wa maendeleo wanaofadhili Mpango wa kunusuru Kaya Masikini na zinazoishi katika mazingira hatarishi watembelea kisiwani Zanzibar
9 years ago
StarTV23 Sep
Kaya 5,876 zanufaika Tarime na TASAF
Tarime ni miongoni mwa wilaya 161 Tanzania zinazotekeleza mpango wa kunusuru kaya Maskini kupitia mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF ambapo kaya 5,876 zimenufaika na mfuko huo kwa asilimia kubwa.
Kiasi cha shilingi milioni 234.6 zimetumika kwa ajili ya malipo ya walengwa na kusaidia baadhi ya kaya hizo kufanikiwa kupeleka watoto wao shule.
Wakiongea na Mkuu wa Mkoa wa mara Kapten Mstaafu Asseri Msangi Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Gwitiryo na Mogabiri wilayani tarime ambao wamenufaika na...
11 years ago
Dewji Blog06 Aug
TASAF kunususru kaya masikini
Na Mwandishi wetu
Mpango wa kunusuru kaya maskini wilayani Manyoni, Mkoani Singida, umeanndikisha kaya 8,113 kati ya kaya 8,404 zilizotambuliwa na mpango huo katika kipindi cha kuanzia Aprili hadi Julai,mwaka huu.
Kaimu Mratibu wa TASAF Wilaya ya Manyoni, Mkoani Singida, Bwana Herilabert Sagali alisema mpango huo ulianzishwa kwa malengo mawili ambayo ni pamoja na kutambua kaya maskini na kuandikisha kaya maskini.
Kwa mujibu wa mratibu huyo malengo ni kujenga uwezo pamoja na kuwezesha kaya...
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Tasaf kuzinufaisha zaidi kaya masikini