Kaya 5,876 zanufaika Tarime na TASAF
Tarime ni miongoni mwa wilaya 161 Tanzania zinazotekeleza mpango wa kunusuru kaya Maskini kupitia mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF ambapo kaya 5,876 zimenufaika na mfuko huo kwa asilimia kubwa.
Kiasi cha shilingi milioni 234.6 zimetumika kwa ajili ya malipo ya walengwa na kusaidia baadhi ya kaya hizo kufanikiwa kupeleka watoto wao shule.
Wakiongea na Mkuu wa Mkoa wa mara Kapten Mstaafu Asseri Msangi Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Gwitiryo na Mogabiri wilayani tarime ambao wamenufaika na...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV21 Dec
Kaya masikini zanufaika kwenye elimu na afya mpango wa tasaf
Mradi wa uhaulishaji wa kaya masikini nchini Tasaf III imeonyesha mafanikio katika maeneo mengi nchini katika nyanja mbalimbali zikiwemo elimu na Afya.
Mpango huo umesambaa katika halmashauri zote Tanzania Bara na Visiwani ili kuziwezesha kaya maskini kujikimu na kuwawezesha watoto walio na umri wa kuanza shule kupata elimu.
Ziara ya uongozi wa Tasaf katika kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe katika Kijiji cha Kisanga ambacho ni miongoni mwa...
11 years ago
Dewji Blog06 Aug
TASAF kunususru kaya masikini
Na Mwandishi wetu
Mpango wa kunusuru kaya maskini wilayani Manyoni, Mkoani Singida, umeanndikisha kaya 8,113 kati ya kaya 8,404 zilizotambuliwa na mpango huo katika kipindi cha kuanzia Aprili hadi Julai,mwaka huu.
Kaimu Mratibu wa TASAF Wilaya ya Manyoni, Mkoani Singida, Bwana Herilabert Sagali alisema mpango huo ulianzishwa kwa malengo mawili ambayo ni pamoja na kutambua kaya maskini na kuandikisha kaya maskini.
Kwa mujibu wa mratibu huyo malengo ni kujenga uwezo pamoja na kuwezesha kaya...
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Tasaf kuzinufaisha zaidi kaya masikini
10 years ago
Habarileo15 Mar
TASAF Singida wahudumia kaya 40,200
MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) mkoani Singida umetumia zaidi ya Sh bilioni 4.2 katika kipindi cha miezi sita iliyopita ili kuhudumia kaya zaidi ya 40,200 kwenye mpango wake wa kunusuru kaya maskini mkoani humo.
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
TASAF III kuzifikia kaya milioni 1.2
KAYA milioni 1.2 zinatarajiwa kufikiwa na mpango wa serikali wa kusaidia kaya masikini awamu ya tatu (TASAF III) ili kuzinusuru katika Wilaya ya Chamwino, Dodoma. Akizungumza kwenye warsha ya kutoa...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Kaya milioni moja kunufaika na Tasaf
WASTANI wa kaya milioni moja ambazo zinaishi katika hali duni ya umasikini nchini, zimelengwa kuwezeshwa katika kujikimu kimaisha katika utekelezaji wa mpango wa kunusuru kaya masikini unaotekelezwa na Mfuko wa...
9 years ago
MichuziTasaf Manyara yasaidia kaya masikini
10 years ago
Dewji Blog22 Jul
TASAF yagawa bil 7.1/- kwa kaya maskini
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk. Parseko Kone (anayeangalia picha) akizungumza kwenye mkutano wa pamoja na maafisa wa TASAF kutoka makao makuu na wa mkoa wa Singida.
Naibu Katibu mkuu ofisi ya rais Zuzana Mlawi (wa kwanza kushoto) akitoa nasaha zake kwenye mkutano wa pamoja kati ya Mkuu wa mkoa na viongozi wa TASAF.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) mkoani Singida, umetumia zaidi ya shilingi 7.1 bilioni kuhawilisha kaya maskini 40,156...
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
TASAF yajizatiti kuzijenga kiuchumi kaya maskini
SERIKALI ina sera na mikakati mbalimbali ya kupambana na umaskini. Moja ya sera hizo ni mkakati wa taifa wa kupunguza umaskini. Mkakati huo umeiwezesha serikali kupata mafanikio mengi ikiwa ni...