MH. ZAINABU KAWAWA AMUENZI HAYATI MZEE KAWAWA KWA VITENDO
Na Mdau Sixmund J.BMh Zainabu Kawawa ameamua kuendelea kumuenzi kwa vitendo aliekuwa mmoja wa wahasisi wa Taifa letu Marehemu Baba yake Mzee Rashidi Mfaume Kawawa, kwa kuikarabati shule ya msingi aliyo soma Mzee Kawawa.
Akiwa wilayani Liwale alipokulia na kusomea Marehemu Mzee Kawawa, Mh Zainabu aliwatembela wazee mbali mbali waliokuwa marafiki wa Mzee Kwawa ili kuwawajulia hali na kusikia mitazamo yao ya Liwale ya sasa nakipindi walipo kuwa na Marehemu Mzee Kawawa.
Wakitoa mitazamo yao Mzee...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziSHIRIKISHO LA MCHEZO WA BAO TANZANIA (SHIMBATA) KUMUENZI HAYATI MZEE KAWAWA.
Shirikisho la mchezo wa Bao nchini (SHIMBATA) nilatarajia kufanya Tamasha kubwa la mchezo huo kwa ajili ya kumuunze aliekuwa mlezi wa mchezo huo hapa nchini Hayati Mzee Rashidi Mfaume Kawawa kama sehemu ya kumbukumbu ya miaka mitano ntangu afariki Dunia.
Tamasha hili ambalo litaudhuriwa na wanafamilia ya Mzee Kawawa wakiwemo watoto wake Mh Vita R. Kawawa Mbunge wa Namtumbo (CCM) na Mh Zainabu R. Kawawa Mbunge viti maalumu (CCM) linatarajiwa kufanyika hapo kesho...
5 years ago
MichuziDC ZAINABU KAWAWA AWAPA SOMO TASAF KUSIMAMIA FEDHA ZINAZOTOLEWA KWA KAYA MASIKINI
5 years ago
MichuziDC BAGAMOYO ZAINABU KAWAWA APIGA MARUFUKU NGOMA ZA VIGODORO
MKUU wa Wilaya ya Bagamoyo Zainabu Kawawa ambaye pi ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amepiga marufuku kuwepo kwa ngoma na miziki ambayo inafanyika nyakati za usiku bila utaratibu maarufu kama ‘Vigodoro’ kwani zimekuwa zikichangia kwa kiasi kikubwa mmomonyoko wa maadili kwa wananchi.
Agizo hilo amelitoa wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Nina njema, wadau wa maendeleo pamoja na wakuu mbali mbali wa idara wakati wa mkutano wake wa kikazi kwa...
5 years ago
CCM BlogDC ZAINABU KAWAWA AGAWA VITAM ULISHO VYA WAJASILIAMALI BAGAMOYO
Tukio lililofanyika katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo ambapo vitambulisho hivyo vinatarajia kuingiza shilingi milioni 38, 200,000/- ambapo kitambulisho kimoja kinagawiwa kwa wananchi kwa shilingi 20,000/-. (Picha na Scola Msewa, Bagamoyo)
10 years ago
MichuziTAMASHA LA KUMUENZI MZEE KAWAWA LAFANA
11 years ago
GPLUJENZI BARABARA YA KAWAWA KWA MAGARI YAENDAYO KASI DAR
11 years ago
Michuzi11 years ago
Habarileo04 Jul
Barabara ya Kawawa/Morocco kufungwa
KAMPUNI ya Strabag International GmbH inayojenga barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka mjini Dar es Salaam, imetangaza kufunga barabara ya Kawawa/ Morocco kesho na keshokutwa ili kupisha ujenzi.
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
Barabara ya Kawawa/Kinondoni kufungwa leo
MKANDARASI Mkuu wa Ujenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka, Strabag International GmbH, imetangaza kufungwa kwa muda kipande cha makutano ya barabara ya Kawawa na Kinondoni kuanzia leo na kesho....