Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMASHA LA KUMUENZI MZEE KAWAWA LAFANA

 Wachezaji  Bao nguli hapa nchini wakioneshana ubingwa katika Tamasha la Kumuenzi aliekuwa Mlezi wa Mchezo huo Hayati  Rashidi Mfaume Kawawa. Rais wa Chama cha Mchezo wa Bao mchini Bw Mandei Likwepa akionesha moja ya barua kwa waandishi wa habari hawapo pichani iliyo andika na aliekuwa Mlezi wa Mchezo huo Hayati  Rashidi Mfaume Kawawa enzi za uhai wake.

 Mfanya biashara maarufu nchini Bw Mohamed Sharifu akiongea jambo mbele ya wanahabari, wapenzi na wachezaji wa mchezo wa Bao walioudhuria...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SHIRIKISHO LA MCHEZO WA BAO TANZANIA (SHIMBATA) KUMUENZI HAYATI MZEE KAWAWA.

Na Mdau Sixmund J.B
Shirikisho la mchezo wa Bao nchini (SHIMBATA) nilatarajia kufanya Tamasha kubwa la mchezo huo kwa ajili ya kumuunze aliekuwa mlezi wa mchezo huo hapa nchini Hayati Mzee Rashidi Mfaume Kawawa kama sehemu ya kumbukumbu ya miaka mitano ntangu afariki Dunia.
Tamasha hili ambalo litaudhuriwa na wanafamilia ya Mzee Kawawa wakiwemo watoto wake Mh Vita R. Kawawa Mbunge wa Namtumbo (CCM) na Mh Zainabu R. Kawawa Mbunge viti maalumu (CCM) linatarajiwa kufanyika hapo kesho...

 

10 years ago

Michuzi

MH. ZAINABU KAWAWA AMUENZI HAYATI MZEE KAWAWA KWA VITENDO

Na Mdau Sixmund J.BMh Zainabu Kawawa ameamua kuendelea kumuenzi kwa vitendo aliekuwa mmoja wa wahasisi wa Taifa letu Marehemu Baba yake Mzee Rashidi Mfaume Kawawa, kwa kuikarabati shule ya msingi aliyo soma Mzee Kawawa. 
Akiwa wilayani Liwale alipokulia na kusomea Marehemu Mzee Kawawa, Mh Zainabu aliwatembela wazee mbali mbali waliokuwa marafiki wa Mzee Kwawa ili kuwawajulia hali na kusikia mitazamo yao ya Liwale ya sasa nakipindi walipo kuwa na Marehemu Mzee Kawawa. 
Wakitoa mitazamo yao Mzee...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tamasha la Busara kumuenzi Bi. Kidude

TAMASHA la kimataifa la muziki la Sauti za Busara ambalo linafahamika kama ‘Tamasha Rafiki’ mwaka huu linatarajiwa kumkumbuka msanii mkongwe Fatma Bint Baraka ‘Bi Kidude’. Akizungumza na waandishi wa habari...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA UTAMADUNI LAFANA JAPAN

Mtanzania Jumanne akiwa na familia yake walipohudhuria tamasha la utamaduni lililofanyia kuanzia May 9 mpaka May 10 katika viwanja vilivyopo Machida, Tokyo nchini Japan na kushirikisha nchi mbalimbali kuonyesha tamaduni zao ikiwemo mavazi. vyakula na mambo mengine mengi yahusuyo utamaduni.Mtanzania Shaban akiwa na mama mwenye nyumba wake walipohudhuria maonesho hayo.Kikundi cha Tinga tinga toka Tanzania nao wakionyesha michoro yao.Moja ya familia ya Kitanzania ikihudhuria tamasha hilo.Wadau...

 

9 years ago

CCM Blog

TAMASHA LA KRISMAS LAFANA DAR

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiinua CD juu kama ishara ya uzinduzi wa album ya kundi la muziki wa kwaya la Wakorinto wa Pili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee kwenye Tamasha la Chrismas lililoandaliwa na kampuni ya Msama Promotions.
 Katika Tamasha hilo Mheshimiwa Nape alisema kuwa Serikali inatambua juhudi za Wasanii na kuahidi kila msanii atapata stahiki yake anayotakiwa kupata.
 Nape ambaye alimuwakilisha Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu ,alielezea...

 

5 years ago

BBCSwahili

Tamasha la "Together At Home" lafana sana Marekani

Mwanamuziki wa Marekani Lady Gaga afanikisha tamasha la Together At Home.

 

9 years ago

GPL

TAMASHA KUOMBEA AMANI LAFANA UWANJA WA TAIFA DAR

Mama Salma Kikwete akizungumza na wananchi muda mfupi baada ya uzinduzi wa albamu hiyo. Mgeni rasmi katika tamasha hilo, Mama Salma Kikwete akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa filamu ya Bonny Mwaitege, iitwayo ‘Tunapendwa na Mungu’. Kulia ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama.
Mwimbaji wa…

 

10 years ago

Dewji Blog

Tamasha kubwa la Tigo welcome pack lafana mkoani Arusha

A

 Wasanii wa kikundi cha Ngoma cha Manyara Group  Mkoani Arusha kikiwapa burudani wakazi wa mkoa huo waliofurika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Adeid mwishoni mwa wiki kushuhudia tamasha la Tigo welcome pack, Kampuni ya Tigo imeanzisha kifurushi cha welcome pack kitakachomwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa dakika 20, MB175, SMS bila kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya Tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo.

B

Wasanii wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani