Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chunya wapata maji chini ya kiwango

UPATIKANAJI wa maji katika mji wa Chunya ni asilimia 67.7 chini ya lengo la maji la asilimia 95 kwa mijini. Takwimu hizo zilitolewa bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Serikali ya Kijiji cha Kisaki Singida yakataa mradi wa Maji uliokuwa chini ya kiwango

SAM_1970

Pichani ni tanki la maji lilijengwa kwa ajili ya kuhifadhia maji yatakayosambazwa katika Kijiji cha Kisaki.

Na Jumbe Ismailly, Singida      

SERIKALI ya Kijiji cha Kisaki,katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida imekataa kupokea mradi wa maji wa Kijiji hicho kwa madai kuwa mradi huo haujakidhi viwango vya ubora.

Maamuzi ya kuukataa mradi huo yalifikiwa kwenye kikao cha pamoja kati ya wajumbe wa serikali ya Kijiji,kamati ya mradi wa maji ya Kijiji hicho na wataalamu wa maji kutoka Manispaa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chunya yapata maji kwa asilimia 67

SERIKALI imesema upatikanaji wa maji katika mji wa Chunya ni asilimia 67.7. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Aggrey Mwanri, alitoa kauli...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba limekuwa chini ya kiwango

NI vigumu kuyaandika haya ninayoandika. Lakini wakati mwingine ni afadhali kuzungumza  ukweli uwe huru. Ninayoyaandika hadharani yanawezekana yanajadiliwa kimya kimya  katika mijadala isiyo rasmi.  Ukweli ni kwamba kila anayefikiri sawasawa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkandarasi lawamani kujenga barabara chini ya kiwango Mtwara

Baadhi ya wananchi mkoani Mtwara wameulalamikia uongozi wa manispaa na wilaya kushindwa kusimamia ujenzi wa barabara kiasi cha kujengwa chini ya kiwango licha yakutakiwa kujengwa katika viwango vya kimataifa.

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI WILAYANI CHUNYA KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU WAJIPANGA KUTATUA KERO ZA MAJI WILAYANI HUMO

Mkuu wa Wilaya ya Chunya Elias John Tarimo akizindua Mradi wa Kisima cha Maji Kijiji cha Ngwala Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya kilicho jengwa na Kampuni ya utafiti wa madini yaPeak Resources Katika kata ya Ngwala Wilayani humo.Baadhi ya Wananchi wakishuhudia uzinduzi wa Mradi wa Maji Kijiji cha Ngwala Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya.
Na Ezekiel Kamanga ,Mbeya,Jamiimojablog SERIKALI wilayani Chunya Mkoani Mbeya kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wameendelea na jitihada mbalimbali katika...

 

9 years ago

Michuzi

TBS KUFANYA MSAKO MKALI NCHI NZIMA KUWABAINI WAUZAJI WA UMEME NURU 'SOLAR POWER PANELS' ZILIZO CHINI YA KIWANGO

 Katibu  Mtendaji wa Taasisi ya Nishati Jadidifu (TAREA), Mhandisi Mathew Matimbwi (katikati), akiwaonesha wanahabari Dar es Salaam leo asubuhi Umeme Nuru (Solar Power panels) ambazo hazina ubora zilizokamatwa zikiwa katika soko la Tanzania baada ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Taasisi hiyo, kufanya uchunguzi na kubaini kuwepo katika soko solar hizo. Kulia ni Ofisa Viwango wa TBS, Henry Massawe  na Ofisa Uhusiano, Roida Andusamile. Katibu  Mtendaji wa Taasisi ya...

 

9 years ago

Michuzi

Chanzo cha maji cha Ruvu Chini kuwatua akina mama ndoo za maji

Meneja Mradi Ruvu chini Mhandisi Emmanuel Makasa (aliyevaa tai) akiongea na waandishi wa habari walipotembelea ujenzi wa bomba la maji kutoka Ruvu Chini kabla ya kusafirishwa kwenda jijini Dar es salaam.Fundi akiendelea na kazi ya kuunganisha na kuchomelea bomba la maji ambalo litasafirisha maji kutoka Ruvu Chini kwenda jijini Dar es salaam.Baadhi ya mitambo ya kusafisha maji ambayo yamesafishwa tayari kwa matumizi ya wananchi wa mikoa ya Dar es salaam na Pwani.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Habarileo

Mji wa Himo wapata maji safi

MAMLAKA ya Majisafi na Majitaka mjini Moshi (MUWSA) imetekeleza agizo la Serikali la kuwapatia huduma za maji wakazi wa mji wa Himo na vitongoji jirani, kwa kuanza kwa kuwapatia huduma hiyo bure huku mipango ya kulipia ikiandaliwa.

 

10 years ago

Michuzi

MTAMBO WA MAJI RUVU JUU WAPATA HITILAFU

Shirika la Maji Safi na Majitaka Dar-es-salaam (DAWASCO), linawatangazia  wakazi wa KIMARA na TABATA; Miji ya Kibaha na Mlandizi mkoani Pwani  kuwa, tangu Jumapili ya Tarehe 01/03/2015 Mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Juu  umepata hitilafu baada ya bomba la Majighafi (Raw-Water) kuachia kwenye moja ya chemba ya kuchukulia Maji eneo la Mtamboni.  Hali hii imelazimu kuzima Mtambo wa Ruvu Juu. 
Mafundi wa DAWASCO wanaendelea na matengenezo ili kuhakikisha  Huduma ya  Maji inarejea katika hali ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani