MTAMBO WA MAJI RUVU JUU WAPATA HITILAFU

Shirika la Maji Safi na Majitaka Dar-es-salaam (DAWASCO), linawatangazia wakazi wa KIMARA na TABATA; Miji ya Kibaha na Mlandizi mkoani Pwani kuwa, tangu Jumapili ya Tarehe 01/03/2015 Mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Juu umepata hitilafu baada ya bomba la Majighafi (Raw-Water) kuachia kwenye moja ya chemba ya kuchukulia Maji eneo la Mtamboni. Hali hii imelazimu kuzima Mtambo wa Ruvu Juu.
Mafundi wa DAWASCO wanaendelea na matengenezo ili kuhakikisha Huduma ya Maji inarejea katika hali ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
TAARIFA KUTOKA DAWASCO JUU KUENDELEA KWA MATENGENEZO KWENYE MTAMBO WA MAJI RUVU CHINI

HALI HII IMESABABISHA HUDUMA YA MAJI KUKOSEKANA KWENYE BAADHI YA MAENEO YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUANZIA ALHAMISI 29/01/2015 KWASABABU HIYO MAENEO YAFUATAYO YAMEKOSA MAJI:
MJI WA...
11 years ago
Habarileo24 May
Mtambo Ruvu Juu kupanuliwa
SERIKALI imeanza kupanua mtambo wa maji wa Ruvu Juu ili kuongeza uzalishaji maji kutoka lita milioni 82 hadi milioni 196 kwa siku, imeelezwa. Pia imeelezwa kuwa ukosefu wa malighafi, umesababisha matengenezo ya mtambo huo uliopo Mlandizi Wilaya ya Kibaha, kuchelewa.
10 years ago
Michuzi.jpg)
NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA HABARI AJIONEA HITILAFU YA MTAMBO WA MAJI MOTO HOTELI YA NEW AFRIKA
.jpg)
11 years ago
Michuzi
Bodi ya DAWASA yatembele Mirani ya Maji Ruvu chini na Ruvu juu leo

10 years ago
Michuzi
DAWASCO YATOA TAARIFA YA KUZIMWA KWA MTAMBO WA RUVU JUU

MTAMBO YA RUVU JUU UTAZIMWA ILI KUMRUHUSU MKANDARASI KUFANYA SHUGHULI ZA UPANUZI WA MTAMBO.
KUZIMWA KWA MTAMBO WA RUVU JUU KUTASABABISHA MAENEO YAFUATAYO KUKOSA MAJI;
MLANDIZI, KIBAHA, KIBAMBA, KILUVYA, KONGOWE, MISUGUSUGU,...
10 years ago
MichuziTANGAZO LA KUZIMWA KWA MTAMBO WA MAJI RUVU CHINI KUTOKANA NA MATENGENEZO YA BOMBA KUBWA
SHIRIKA LA MAJI SAFI NA MAJITAKA DAR-ES-SALAAM (DAWASCO),LINAWATANGAZIA WAKAZI WA JIJI LA DAR-ES-SALAAM NA MJI WA BAGAMOYO MKOANI PWANI KUWA, MTAMBO WA KUZALISHA MAJI WA RUVU CHINI UMEZIMWA KWA SAA 24 KUANZIA ASUBUHI YA TAREHE 01.03.2015.
KUZIMWA KWA MTAMBO WA RUVU CHINI KUMETOKANA NA MATENGENEZO YA BOMBA LA INCH 54 ENEO LA MATANKI YA CHUO KIKUU.
MATENGENEZO YANAENDELEA NA YANATARAJIA KUKAMILIKA BAADA YA SAA 24.
KWASABABU HIYO MAENEO YAFUATAYO YATAKOSA MAJI:MJI WA BAGAMOYO, VIJIJI VYA...
5 years ago
Michuzi
DAWASA WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE KWA KUSHIRIKI UZALISHAJI MAJI MTAMBO WA RUVU CHINI
Katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, Mamlaka ya maji safi na Usafi Dar es Salaam na Pwani DAWASA kwa watendaji wanawake kuhusika katika uzalishaji wa maji.
Wanawake wa Dawasa wameshiriki katika uzalishaji maji katika chanzo cha maji cha Ruvu Chini.
Akizungumzia Siku ya wanawake ambayo huadhimishwa Machi 08 kila mwaka, Mkurugenzi wa Mahusiano na Jamii Dawasa , Neli Msuya amesema wameamua kushiriki maadhimisho hayo kwa kwenda chanzo cha Ruvu Chini ili...
11 years ago
Michuziwataalam wa ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais (Tume ya Mipango) watembelea Mtambo wa Maji wa Ruvu Chini
10 years ago
Michuzi
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUZIMWA KWA MTAMBO WA MAJI RUVU CHINI

Kuzimwa kwa mtambo wa Ruvu Chini...