TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUZIMWA KWA MTAMBO WA MAJI RUVU CHINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-RmwuJxYx1js/VHhzXLt9EpI/AAAAAAAGz7w/Uq4VMLXYFi8/s72-c/dawasco-March6-2013.jpg)
Dawasco inawatangazia wakazi wote wa jiji la Dar es salaam na Mji wa Bagamoyo kuwa mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Chini utazimwa kwa wastani wa saa 48 kwa siku za Ijumaa na Jumamosi ya tarehe 28 na 29 November 2014, kuanzia saa kumi na mbili asubuhi, ili kuruhusu mkandarasi (Sino-hydro Corporation ltd) kuunganisha bomba la zamani na bomba jipya (cross-connection) katika mtambo wa Ruvu Chini eneo la Mpiji, Bagamoyo na eneo la Chuo Kikuu Ardhi (Makongo Juu)
Kuzimwa kwa mtambo wa Ruvu Chini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTANGAZO LA KUZIMWA KWA MTAMBO WA MAJI RUVU CHINI KUTOKANA NA MATENGENEZO YA BOMBA KUBWA
SHIRIKA LA MAJI SAFI NA MAJITAKA DAR-ES-SALAAM (DAWASCO),LINAWATANGAZIA WAKAZI WA JIJI LA DAR-ES-SALAAM NA MJI WA BAGAMOYO MKOANI PWANI KUWA, MTAMBO WA KUZALISHA MAJI WA RUVU CHINI UMEZIMWA KWA SAA 24 KUANZIA ASUBUHI YA TAREHE 01.03.2015.
KUZIMWA KWA MTAMBO WA RUVU CHINI KUMETOKANA NA MATENGENEZO YA BOMBA LA INCH 54 ENEO LA MATANKI YA CHUO KIKUU.
MATENGENEZO YANAENDELEA NA YANATARAJIA KUKAMILIKA BAADA YA SAA 24.
KWASABABU HIYO MAENEO YAFUATAYO YATAKOSA MAJI:MJI WA BAGAMOYO, VIJIJI VYA...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-5up8SDctAAg/VMy9onUJkXI/AAAAAAAHAhY/tDxU4ahvl9k/s72-c/Untitled.png)
TAARIFA KUTOKA DAWASCO JUU KUENDELEA KWA MATENGENEZO KWENYE MTAMBO WA MAJI RUVU CHINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-5up8SDctAAg/VMy9onUJkXI/AAAAAAAHAhY/tDxU4ahvl9k/s1600/Untitled.png)
HALI HII IMESABABISHA HUDUMA YA MAJI KUKOSEKANA KWENYE BAADHI YA MAENEO YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUANZIA ALHAMISI 29/01/2015 KWASABABU HIYO MAENEO YAFUATAYO YAMEKOSA MAJI:
MJI WA...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Li9saok6FYI/VOSNZJ89uJI/AAAAAAAHEYI/Va4rB-DLqos/s72-c/Untitled.png)
DAWASCO YATOA TAARIFA YA KUZIMWA KWA MTAMBO WA RUVU JUU
![](http://3.bp.blogspot.com/-Li9saok6FYI/VOSNZJ89uJI/AAAAAAAHEYI/Va4rB-DLqos/s1600/Untitled.png)
MTAMBO YA RUVU JUU UTAZIMWA ILI KUMRUHUSU MKANDARASI KUFANYA SHUGHULI ZA UPANUZI WA MTAMBO.
KUZIMWA KWA MTAMBO WA RUVU JUU KUTASABABISHA MAENEO YAFUATAYO KUKOSA MAJI;
MLANDIZI, KIBAHA, KIBAMBA, KILUVYA, KONGOWE, MISUGUSUGU,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-v3GVFzgjVTE/XmZQT4v-CAI/AAAAAAABMtI/_DJtSzNqqjQGLlGJh79HmxO0tyZp2HtNgCNcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200307_122549_073.jpg)
DAWASA WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE KWA KUSHIRIKI UZALISHAJI MAJI MTAMBO WA RUVU CHINI
Katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, Mamlaka ya maji safi na Usafi Dar es Salaam na Pwani DAWASA kwa watendaji wanawake kuhusika katika uzalishaji wa maji.
Wanawake wa Dawasa wameshiriki katika uzalishaji maji katika chanzo cha maji cha Ruvu Chini.
Akizungumzia Siku ya wanawake ambayo huadhimishwa Machi 08 kila mwaka, Mkurugenzi wa Mahusiano na Jamii Dawasa , Neli Msuya amesema wameamua kushiriki maadhimisho hayo kwa kwenda chanzo cha Ruvu Chini ili...
11 years ago
Michuziwataalam wa ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais (Tume ya Mipango) watembelea Mtambo wa Maji wa Ruvu Chini
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-BIYYbwD8fT8/VhiUV65ruVI/AAAAAAAApvA/0FnoBGrSqrQ/s72-c/1.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-lu7fZBLnWM0/VdzP08A2dNI/AAAAAAAHz_0/jiVDwEF4Sd4/s72-c/tume1.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-8nKws01d9YA/Vm7mIArLHAI/AAAAAAAIMXI/m-ryxqsDIiU/s72-c/20151214075157.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-1ZAu-WfB19s/XmJXb_qn8JI/AAAAAAALhiM/0Wz3TjlspnUw51FuzGpz6k8V_vQIr7EsACLcBGAsYHQ/s72-c/PRESS%2BRELASE%2BKAMATI.jpg)