Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mji wa Himo wapata maji safi

MAMLAKA ya Majisafi na Majitaka mjini Moshi (MUWSA) imetekeleza agizo la Serikali la kuwapatia huduma za maji wakazi wa mji wa Himo na vitongoji jirani, kwa kuanza kwa kuwapatia huduma hiyo bure huku mipango ya kulipia ikiandaliwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA) YANASA MWIZI WA MAJI ENEO LA MAJENGO MJI MPYA.

Zoezi la ukataji wa maji hayo lilisimamiwa na Afisa Uhusiano wa mamlaka hiyo Florah Nguma.Mafundi wakifukia eneo hilo.Eneo la nje ya nyumba hiyo ambayo wizi wa maji ulikuwa ukifanyika.Afisa wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi, Bw. Jacob Ulotu akiondoa gunia lililokuwa limefunika sehemu hiyo ambayo kiutaratibu ilitakiwa kuwa na meta ya kusoma matumizi ya maji. Picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI(MUWSA)YANASA MWIZI WA MAJI ENEO LA MAJENGO MJI MPYA.

Mmiliki wa nyumba moja katika eneo la Majengo kwa mtei mjini Moshi amekutwa akiwa amejiunganishia maji kinyemela na kufunika na gunia eneo ambalo alikuwa amejiunganishia.Afisa wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,Jacob Ulotu akiondoa gunia lililokuwa limefunika sehemu hiyo ambayo kiutaratibu ilitakiwa kuwa na meta ya kusoma matumizi ya maji.Hivi ndivyo ilivyokuwa ikionekana baada ya kuondolewa gunia.
Na maji alikuwa akitumia kama inayoonekana .Baadhi ya maofisa wa MUWSA...

 

10 years ago

Michuzi

CCM WASHINDA NAFASI YA UENYEKITI MJI MDOGO WA HIMO

Mwenyekiti  mpya wa mji mdogo wa Himo Hussein Jamal akizungumzamara baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo katika uchaguzi huo uliofanyika katika shule ya walemavu wa usikivu eneo la njia Panda.Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Moris Makoi akisalimia mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi huo.Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akizungumza wakati wa kufunga kikao cha uchaguzi huo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda


 Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.Mkuu wa Msafara wa Timu ya Ulipaji fidia kwa Wakazi walio katika Eneo la Mradi Mhandisi John...

 

10 years ago

GPL

BODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAR ES SALAAM (DAWASA) YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA

Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.… ...

 

10 years ago

Michuzi

CCM MOSHI VIJIJINI WAMPONGEZA MWENYEKITI MPYA WA MJI MDOGO WA HIMO HUSSEIN JAMAL.

Baaadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliofika katika sherehe ya pongezi kwa mwenyekiti wa mji mdogo wa Himo.Katibu wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Moshi vijijini Miriam Kaaya akizungumza wakatio wa sherehe za kumpongeza mwenyekiti wa mji mdpgo wa Himo ,Hussein Jamal.Mwenyekiti mpya wa mji mdogo wa Himo ,Hussein Jamal akizungumza na wananchi waliofika katika sherehe za pongezi zilizofanyika katika ukumbi wa King size uliopo mji mdogo wa Himo. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda...

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI KATIKA MJI MDOGO WA HIMO WAFANYA SHEREHE YA KUMUAGA AFANDE LABAN AKEYO

Mkaguzi msaidizi wa Polisi,Inspekta Sospeter Laban Akeyo akiingia ukumbini na mkewe Fidea Laban wakati wa sherehe ya kumuaga iliyoandaliwa na wakazi wa mji wa Himo katika ukumbi wa King Size In.Afande Laban na mkewe wakiwa meza kuu na wageni wengine waalikwa.Champegne zikafunguliwa maalumu kwa ajili ya wageni waalikwa.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA (DAWASA) MNADA WA HADHARA:

 UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na DAWASA  watauza Magari, Photocopy mashine, na Furniture za ofisi kama zilivyoorodheshwa hapo chini kwa mnada wa hadhara  tarehe 26, September, 2015  Jumamosi saa 4.00 asubuhi. Mnada utafanyika  DAWASA makao makuu  jirani na Hospitali ya Mwananyamala .
MALI ZITAKOZOUZWA: Meza za ofisi, Viti, Book case, Cupboard, File cabinets, 

6 Photocopy m/c {Canon /Sharp} , Computer set, Printer, Scanner, A/c split unit & Window type na grili za milango...

 

10 years ago

GPL

OMBI LA KUPANDA KWA BEI ZA MAJI SAFI NA MAJI TAKA

Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ewura, Simon Sayore, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Mhandisi, Mutaekulwa Mutegeki.
 Wadau mbalimbli wakiwa katika mkutano huo.
 Mkutano ukiendelea.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani