Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM MOSHI VIJIJINI WAMPONGEZA MWENYEKITI MPYA WA MJI MDOGO WA HIMO HUSSEIN JAMAL.

Baaadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliofika katika sherehe ya pongezi kwa mwenyekiti wa mji mdogo wa Himo.Katibu wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Moshi vijijini Miriam Kaaya akizungumza wakatio wa sherehe za kumpongeza mwenyekiti wa mji mdpgo wa Himo ,Hussein Jamal.Mwenyekiti mpya wa mji mdogo wa Himo ,Hussein Jamal akizungumza na wananchi waliofika katika sherehe za pongezi zilizofanyika katika ukumbi wa King size uliopo mji mdogo wa Himo. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CCM WASHINDA NAFASI YA UENYEKITI MJI MDOGO WA HIMO

Mwenyekiti  mpya wa mji mdogo wa Himo Hussein Jamal akizungumzamara baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo katika uchaguzi huo uliofanyika katika shule ya walemavu wa usikivu eneo la njia Panda.Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Moris Makoi akisalimia mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi huo.Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akizungumza wakati wa kufunga kikao cha uchaguzi huo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI KATIKA MJI MDOGO WA HIMO WAFANYA SHEREHE YA KUMUAGA AFANDE LABAN AKEYO

Mkaguzi msaidizi wa Polisi,Inspekta Sospeter Laban Akeyo akiingia ukumbini na mkewe Fidea Laban wakati wa sherehe ya kumuaga iliyoandaliwa na wakazi wa mji wa Himo katika ukumbi wa King Size In.Afande Laban na mkewe wakiwa meza kuu na wageni wengine waalikwa.Champegne zikafunguliwa maalumu kwa ajili ya wageni waalikwa.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

Breaking nyuzzzzz......Mahakama yaamuru kaburi la mume kufukuliwa kwa pingamizi la mke mkubwa dhidi ya mdogo kijiji cha mandaka wilaya ya moshi vijijini

Wachimabji wa Kijiji cha Mandaka wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro wakifukua Kaburi la Marehemu Stephen Assey  jioni hii kwa amri ya mahakama.
Na Dixon Busagaga wa Globu
 ya Jamii Kanda ya Kaskazini

Uamuzi wa kufukuliwa kwa kaburi hilo umefikiwa baada ya mke anayedaiwa kuwa ni wa ndoa wa marehemu Stephen Assey, Bi. Lucy Laurant kwenda mahakamani kuweka zuio la kuzikwa kwa marehemu katika eneo ilipo nyumba aliyokuwa akiishi na mke mdogo aliyefahamika kwa jina la Fortinata...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Uhuru Newspaper

CCM imeleta maendeleo Moshi Vijijini- Chami



MBUNGE wa Moshi Vijijini, Cyril Chami, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeleta maendeleo makubwa katika jimbo hilo tangu kiliposhika madaraka. Chami alisema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mikocheni,   katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Alisema awali jimbo hilo lilikuwa likiongozwa na viongozi kutoka vyama vya upinzani kwa muda wa miaka 10.
Chami alisema katika kipindi hicho chote, hakuna maendeleo yaliyopatikana, jambo ambalo linaoonyesha kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

DK CYRIL CHAMI KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM JIMBO LA MOSHI VIJIJINI


Video imepigwa na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

 

5 years ago

Michuzi

CCM BAGAMOYO KUKAA MEZA MOJA NA VIONGOZI WA HALMASHAURI YA MJI MDOGO NA WILAYA

****************************
NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO .
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, kimejipanga ,kuwakutanisha viongozi wa Halmashauri ya Mji Mdogo na wa Halmashauri ya Wilaya, ili kuhakikisha wanashirikiana na kuondoa muingiliano wa mambo kwa maslahi ya wananchi. 
Hatua hiyo inalenga kila Mamlaka kutimiza majukumu kulingana na mipaka yake, lengo kubwa ni kuondoa muingiliano wa kazi, hali inayoonekana kujitokeza ikichangia kukwama kwa baadhi ya shughuli za...

 

11 years ago

Habarileo

Mji wa Himo wapata maji safi

MAMLAKA ya Majisafi na Majitaka mjini Moshi (MUWSA) imetekeleza agizo la Serikali la kuwapatia huduma za maji wakazi wa mji wa Himo na vitongoji jirani, kwa kuanza kwa kuwapatia huduma hiyo bure huku mipango ya kulipia ikiandaliwa.

 

11 years ago

Michuzi

UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA,MGOMBEA UBUNGE WA CCM AKIJINADI KWA WANANCHI LEO KIJIJI CHA SADAN-IRINGA VIJIJINI


Msikilize Mgombea Ubunge jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama cha CCM,Godfrey Mgimwa akijinadi jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Sadani kata ya Mseke,Iringa Vijijini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani