CCM imeleta maendeleo Moshi Vijijini- Chami
![](http://2.bp.blogspot.com/-50awND_mcP4/VRKpf4W5LLI/AAAAAAAACCc/FnKsr8cficc/s72-c/Chami.jpg)
MBUNGE wa Moshi Vijijini, Cyril Chami, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeleta maendeleo makubwa katika jimbo hilo tangu kiliposhika madaraka. Chami alisema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mikocheni, katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.Alisema awali jimbo hilo lilikuwa likiongozwa na viongozi kutoka vyama vya upinzani kwa muda wa miaka 10.
Chami alisema katika kipindi hicho chote, hakuna maendeleo yaliyopatikana, jambo ambalo linaoonyesha kuwa...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/eEFhbilUQK4/default.jpg)
DK CYRIL CHAMI KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM JIMBO LA MOSHI VIJIJINI
Video imepigwa na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Anthony Komu: Dk Chami ameshindwa kazi Moshi Vijijini
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-PrOUOtNiJRE/U9YbGb325MI/AAAAAAAF7UM/UeusCUuxegg/s72-c/Cyril-Chami.jpg)
MBUNGEWA MOSHI VIJIJINI DKT CYRIL CHAMI ASIKITISHWA NA TAARIFA ZA KIZUSHI ZINAZOSAMBAZWA KWA BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI JUU YAKE.
![](http://3.bp.blogspot.com/-PrOUOtNiJRE/U9YbGb325MI/AAAAAAAF7UM/UeusCUuxegg/s1600/Cyril-Chami.jpg)
Mimi sina mfanyakazi wa jina hilo la Mariamu. Wala sina mfanyakazi mwenye umri wa miaka 16. Hatuna tatizo lolote la mfanyakazi yeyote kupigwa, achilia mbali kuuawa. Lakini taarifa hizo ambazo ni za uongo mtupu zimewashtua wengi kwa sababu...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-0R4WLFRUOW8/VWws2ulVmwI/AAAAAAAAQOI/Cnkn43gUkNA/s72-c/E86A8904%2B%2528800x533%2529.jpg)
CCM MOSHI VIJIJINI WAMPONGEZA MWENYEKITI MPYA WA MJI MDOGO WA HIMO HUSSEIN JAMAL.
![](http://4.bp.blogspot.com/-0R4WLFRUOW8/VWws2ulVmwI/AAAAAAAAQOI/Cnkn43gUkNA/s640/E86A8904%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-g4Z4Z-33N1c/VWws7MXl8kI/AAAAAAAAQOk/R62bZTDe1og/s640/E86A8916%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-raQz9jYwXJs/VWws_IIgVpI/AAAAAAAAQPU/KDk4LCKAmjo/s640/E86A8970%2B%2528800x533%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Up2Riims6Js/VRE0TW6GmhI/AAAAAAAHM18/aHW_Om8UlN8/s72-c/1.jpg)
MSAFARA WA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA WAPOKELEWA KWA FARASI MIKOCHENI -WILAYA YA MOSHI VIJIJINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-Up2Riims6Js/VRE0TW6GmhI/AAAAAAAHM18/aHW_Om8UlN8/s1600/1.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ZvshmacpThA/XvhEdw4u0aI/AAAAAAALvv0/06qDyOgZJUA1ddCktKjihekZSUOG-dwXgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-28%2Bat%2B10.16.01%2BAM.jpeg)
SERIKALI YA AWAMU YA TANO IMELETA MAENDELEO PWANI- MHANDISI NDIKILO
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo amesema ndani ya miaka mitano chini ya serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Dkt John Pombe Magufuli imepata maendeleo makubwa sana.
Ndikilo amesema, toka kupata kwa Uhuru mji wa Kisarawe haujawahi kupata maji safi na kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam DAWASA wamefanikisha kukamilika kwa mradi huo.
Mradi wa maji wa Kisarawe umeuzindulia leo na Rais Dkt John Pombe Magufuli, tunafurahi...
11 years ago
Habarileo04 Apr
Waethiopia 47 wanaswa Moshi Vijijini
USIKU wa kuamkia jana ulikuwa mbaya kwa wahamiaji haramu 47 raia wa Ethiopia ambao walijikuta wakitiwa mbaroni na jeshi la polisi baada ya kunaswa na askari wa idara ya uhamiaji na mgambo wa vijiji vya Gona na Kuturi, kwa kosa ya kuingia nchini kinyume na taratibu.
9 years ago
Mwananchi27 Oct
Mbatia atwaa Vunjo, Komu mshindi Moshi Vijijini
10 years ago
Habarileo28 Aug
Mbunge Moshi Vijijini awapiga jeki wapiga kura
MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro Dk Cyril Chami, ametoa jumla ya Shilingi milioni nne kwa kikundi cha Wanawake wa Kanisa la Katoliki la Kindi (WAWATA) kuwawezesha kwenye mradi wa mashine za kusaga na kukoboa mahindi.