Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waethiopia 47 wanaswa Moshi Vijijini

USIKU wa kuamkia jana ulikuwa mbaya kwa wahamiaji haramu 47 raia wa Ethiopia ambao walijikuta wakitiwa mbaroni na jeshi la polisi baada ya kunaswa na askari wa idara ya uhamiaji na mgambo wa vijiji vya Gona na Kuturi, kwa kosa ya kuingia nchini kinyume na taratibu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Waethiopia 55 wanaswa kichakani Himo

Waethiopia 55 wamekamatwa na wanakijiji cha Chekereni Pabliki kilichopo Himo, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wakiwa wamejificha kichakani na mkazi mmoja wa kijiji hicho.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

CCM imeleta maendeleo Moshi Vijijini- Chami



MBUNGE wa Moshi Vijijini, Cyril Chami, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeleta maendeleo makubwa katika jimbo hilo tangu kiliposhika madaraka. Chami alisema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mikocheni,   katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Alisema awali jimbo hilo lilikuwa likiongozwa na viongozi kutoka vyama vya upinzani kwa muda wa miaka 10.
Chami alisema katika kipindi hicho chote, hakuna maendeleo yaliyopatikana, jambo ambalo linaoonyesha kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Anthony Komu: Dk Chami ameshindwa kazi Moshi Vijijini

Anthony Calist Komu ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Moshi Vijijini kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015 kwa tiketi ya Chadema.

 

9 years ago

Mwananchi

Mbatia atwaa Vunjo, Komu mshindi Moshi Vijijini

Tume ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza James Mbatia wa NCCR Mageuzi kuwa mbunge mteule wa jimbo la Vunjo huku kada wa Chadema, Anthony Komu naye akiibuka mshindi katika jimbo la Moshi Vijijini lililokuwa linaongozwa na Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara, Dk. Cyril Chami kupitia CCM.

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge Moshi Vijijini awapiga jeki wapiga kura

MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro Dk Cyril Chami, ametoa jumla ya Shilingi milioni nne kwa kikundi cha Wanawake wa Kanisa la Katoliki la Kindi (WAWATA) kuwawezesha kwenye mradi wa mashine za kusaga na kukoboa mahindi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Chadema Moshi vijijini warudisha fomu za kuwania ubunge na udiwani

Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Moshi vijijini,Godlisen Maramia akipokea fomu kutoka kwa Deogratius Mushi ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi vijijini wakati aliporudisha katika ofisi za chama hicho zilizopo Majengo. Mwenyekiti wa Chadema jimbo la Moshi vijijini ,Godlisen Maramia akimpongeza mtia nia Deuogratius Mushi kwa uamuzi wa kuingia katika kinya’ng’anyiri cha kuwania nafasi hiyo. Mushi akipongezwa na makada wengine wa Chadema waliofika kumsindikiza ofisnini hapo.

 

9 years ago

Vijimambo

MBATIA,SELASINI NA KOMU WAPELEKA MABADILIKO JIMBO LA MOSHI VIJIJINI

Viongozi wa Chadema wakiwasili katika uwanja wa Limpopo TPC kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni kwa mgombea Ubunge wa jimbo hilo,Anthony Komu.
Baaadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema wakiwa katika mkutano huo.Mgombea Ubunge katika jimbo la Rombo ,Joseph Selasini ,akizunbumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni katika jimbo la Moshi vijijini.Wananchi wakifuatolia mkutano huo.Mgombea Ubunge jimbo la Rombo ,Joseph Selasini akisalimiana na Mgombea Ubunge wa jimbo la Vunjo,James Mbatia wakati wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mashindano ya Lucy Owenya Cup yazinduliwa jimbo la Moshi vijijini

DSCF4720

DSCF4689

Mbunge wa viti Maalumu mkoa wa Kilimanjaro, Lucy Owenya akiwasili katika uwanja wa michezo wa shule ya sekondari Singhiti kwa ajili ya ufunguzi wa mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015 yanayofanyika katika jimbo la Moshi vijijini na kushirikisha kata 16 za jimbo hilo.

DSCF4696

DSCF4697

Baadhi ya wananchi waliohudhulia ufunguzi wa mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015.

DSCF4700

Mbunge Owenya akicheza ngoma katika sherehe za ufunguzi wa mashindano ya Lucy Owenya Cup.

DSCF4705

Baadhi ya timu zinazoshiriki mashindano hayo zikiwa...

 

10 years ago

Michuzi

DK CYRIL CHAMI KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM JIMBO LA MOSHI VIJIJINI


Video imepigwa na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani