Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waethiopia 55 wanaswa kichakani Himo

Waethiopia 55 wamekamatwa na wanakijiji cha Chekereni Pabliki kilichopo Himo, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wakiwa wamejificha kichakani na mkazi mmoja wa kijiji hicho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Waethiopia 47 wanaswa Moshi Vijijini

USIKU wa kuamkia jana ulikuwa mbaya kwa wahamiaji haramu 47 raia wa Ethiopia ambao walijikuta wakitiwa mbaroni na jeshi la polisi baada ya kunaswa na askari wa idara ya uhamiaji na mgambo wa vijiji vya Gona na Kuturi, kwa kosa ya kuingia nchini kinyume na taratibu.

 

10 years ago

BBCSwahili

''Nalala kichakani kukwepa tohara''

Tohara kwa wanaume ni kitu kinachosifika,lakini wanaume hawa Kenya wanafanyiwa kitendo hicho kwa lazima. Na Odeo Sirari

 

10 years ago

GPL

PADRI KATOLIKI ANASWA KICHAKANI!

Waandishi wetu
KAMA mti mbichi unatenda haya, itakuwaje kwa mti mkavu?! Ndivyo inavyoweza kutafsiriwa kwa Katibu Mtendaji wa Idara ya Mawasiliano wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference, TEC), Padri Anatoly Salawa kufuatia kunaswa kichakani akiwa na mrembo. Padri Anatoly Salawa akitaharuki baada ya fumanizi hilo. NI SAA 8: 02 USIKU
Kiongozi huyo wa dini alinaswa hivi karibuni majira...

 

11 years ago

Mwananchi

Kifaru; Ofisa wa Mtibwa aliyezaliwa kichakani

Wadau wengi wa soka wamekuwa wakivutiwa na sauti, tambo na majigambo ya ofisa habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru Ligalambwike, lakini siri yake kubwa ni ushujaa na utundu wake.

 

10 years ago

Michuzi

MTU MMOJA ABAKWA,ANYONGWA KISHA ATUPWA KICHAKANI HUKO MKURANGA

Na John Gagarini, Kibaha.
MKAZI wa Kijiji cha Bupu kata ya Bupu Tarafa ya Mkamba wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani Forodesi Ntabegera (30) ameuwawa kwa kubakwa kisha kunyongwa na watu wasiojulikana kisha mwili wake kutupwa kichakani.
Kwa mujibu wa taarifa ziliotolewa na kaimu kamanda wa polisi mkoani Pwani Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo Mrakibu Msaidizi wa Polisi (SSP) Athuman Mwambalaswa Marehemu kuwa marehemu alinyongwa na watu hao kwa kutumia kitenge chake alichokuwa amekivaa.
Kamanda...

 

10 years ago

Habarileo

Waethiopia 63 watiwa mbaroni

Kundi la wahamiaji haramu 63 likiwa chini ya ulinzi katika kijiji cha Kidoka wilaya ya Chemba mkoani Dodoma baada ya kukamatwa na polisi kwa kuingia nchini bila hati. Mmoja wa wahamiaji hao alikutwa amekufa. (Na Mpigapicha Wetu).JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia raia 63 wa Ethiopia na maiti mmoja ambao walikuwa wakisafirishwa na dereva Mtanzania kutoka Moshi kwenda Mbeya kwa kupitia njia za panya.

 

9 years ago

Mwananchi

Waethiopia 42 wadakwa Dar

Polisi Mkoa wa Kinondoni Dar es Salaam, wanawashikilia raia 42 wa Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini na kuishi bila ya kuwa na vibali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waethiopia 11 wakamatwa Pwani

JESHI la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu 11 wanaodaiwa kuwa raia wa Ethiophia kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sharia. Waethiophia hao walikamatwa juzi, saa tisa usiku, katika kijiji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waethiopia 76 watiwa mbaroni

IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Kilimanjaro kwa kusadiana na Jeshi la Polisi imewanasa wahamiaji haramu 76 raia wa Ethiopia walioingia nchini kinyume cha sheria wakiwa katika harakati za kutaka kusafirishwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani