PADRI KATOLIKI ANASWA KICHAKANI!
![](http://api.ning.com:80/files/D*jRkBJZGXUVcl8r8pkcuKMxwQmkdpwaSOKOlA1TGi8-Uin8CpBHbTKg9RnIAtfS5VQmfyZJlB-bqTZZevsw2kmJEjPTsI6s/FRONTIJUMAA.jpg?width=650)
Waandishi wetu KAMA mti mbichi unatenda haya, itakuwaje kwa mti mkavu?! Ndivyo inavyoweza kutafsiriwa kwa Katibu Mtendaji wa Idara ya Mawasiliano wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference, TEC), Padri Anatoly Salawa kufuatia kunaswa kichakani akiwa na mrembo. Padri Anatoly Salawa akitaharuki baada ya fumanizi hilo. NI SAA 8: 02 USIKU Kiongozi huyo wa dini alinaswa hivi karibuni majira...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 Nov
Padri wa Kanisa Katoliki akerwa na ushoga
PADRI wa Kanisa Katoliki nchini amedai kupokea maombi ya watu wanaotaka kufungishwa ndoa ya jinsia moja, kitendo alichokilaani na kukikemea, akisema ni kinyume kabisa na taratibu za kanisa hilo, huku akiapa maishani mwake hatafungisha ndoa za aina hiyo.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/x93ABI42iFVyzbCK--ljNcp*XiggfqXFmVWNOmRe-nNM6iLWV6t6rQEz9t5lURkG9kzQVwb8KMW0auFEjkmc6XMq1gkgkEMT/mtumish.jpg?width=650)
MTUMISHI KANISA KATOLIKI AINGIA KANISANI USIKU, AIBA ANASWA!
10 years ago
BBCSwahili13 Aug
''Nalala kichakani kukwepa tohara''
11 years ago
Mwananchi04 May
Waethiopia 55 wanaswa kichakani Himo
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Kifaru; Ofisa wa Mtibwa aliyezaliwa kichakani
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-xLaYxggiLaA/VBBUotAI81I/AAAAAAAGijw/zaNIGr-0NRo/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
MTU MMOJA ABAKWA,ANYONGWA KISHA ATUPWA KICHAKANI HUKO MKURANGA
![](http://2.bp.blogspot.com/-xLaYxggiLaA/VBBUotAI81I/AAAAAAAGijw/zaNIGr-0NRo/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
MKAZI wa Kijiji cha Bupu kata ya Bupu Tarafa ya Mkamba wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani Forodesi Ntabegera (30) ameuwawa kwa kubakwa kisha kunyongwa na watu wasiojulikana kisha mwili wake kutupwa kichakani.
Kwa mujibu wa taarifa ziliotolewa na kaimu kamanda wa polisi mkoani Pwani Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo Mrakibu Msaidizi wa Polisi (SSP) Athuman Mwambalaswa Marehemu kuwa marehemu alinyongwa na watu hao kwa kutumia kitenge chake alichokuwa amekivaa.
Kamanda...
11 years ago
Habarileo21 Dec
Padri akumbwa na kashfa
KANISA Katoliki limeingia kwenye kashfa baada ya mmoja wa mapadri wake katika Jimbo Katoliki Singida, Deogratius Makuri kufikishwa kwenye Mahakama ya Mwanzo Utemini mjini hapa, akituhumiwa kushindwa kutunza mtoto wake mwenye umri wa mwaka mmoja.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XkRrFz4ymKn9R9-OLmgcpRIN6yKZfxJwhu01NPL*XP5KWfQi2oWSEVwanP7gGWvCmBf6SkW5osXJG0eBHNMV6Vyu*dgF-YF*/FRONTUWAZI.jpg)
PATI 2 YA PADRI ALIYENASWA NA MREMBO
11 years ago
Mwananchi05 May
Padri, katekista wafariki ajalini