PATI 2 YA PADRI ALIYENASWA NA MREMBO
![](http://api.ning.com:80/files/XkRrFz4ymKn9R9-OLmgcpRIN6yKZfxJwhu01NPL*XP5KWfQi2oWSEVwanP7gGWvCmBf6SkW5osXJG0eBHNMV6Vyu*dgF-YF*/FRONTUWAZI.jpg)
Stori: Waandishi Wetu KISA cha Padri Anatoly Salawa (pichani) ambaye pia ana cheo cha Katibu Mtendaji wa Idara ya Mawasiliano wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference, Tec), kunaswa hivi karibuni kichakani akiwa na mrembo, kimechukua sura mpya, Gazeti la Kufichua Maovu, Uwazi linakokotoa. Padri Anatoly Salawa akitaharuki baada ya fumanizi hilo. TUJIKUMBUSHE Tukio hilo la kushangaza...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo15 Jul
Aliyenaswa na milioni 700/- asafishwa
JESHI la Polisi mkoani Dodoma limesema Raia wa India, Amit Kevalramani (31) mfanyabiashara, mkazi wa Dar es Salaam aliyekamatwa na Sh milioni 772 katika Hoteli ya St Gasper Mjini Dodoma wiki iliyopita hana hatia yoyote, kwani hakuna tuhuma zozote za rushwa zilizothibitika.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*p2ZPUXUElh3SporU1E1-0MeqCn-TyiwNSKhE-OfMA16pgzFw8zxlCjahBkCXZgAC1mYqySTer5w29qJo6Zvz8h/IMG_8468.jpg?width=650)
BIBI ALIYENASWA NA MADAWA YA KULEVYA AANGUA KILIO MAHAKAMANI
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Hii ndio hukumu kwa Mnigeria aliyenaswa na ‘unga’ Malaysia..
Kumekuwa na nchi nyingi zikijitahidi kupambana na ishu ya dawa za kulevya Duniani, nchi nyingine imefikia mpaka hatua ya kuweka sheria kali ili kudhibiti kabisa kuingizwa na matumizi ya dawa hizo. Kwenye list ya nchi ambazo zinatajwa watu wake wengi kukamatwa kwa dawa za kulevya, Nigeria nayo imo !! stori za Wanigeria wengi kutajwa na […]
The post Hii ndio hukumu kwa Mnigeria aliyenaswa na ‘unga’ Malaysia.. appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-hwEeqCyyzek6j9gSPKLNPVdxhsQIbu3rUA6PS*oD2m2wd7rUKsuDQODZNo2yoJJk*J74gwPT4*Uwz206fbi1UhinbEEEDcN/polisitexas3.jpg?width=650)
POLISI ALIYENASWA AKIMNYANYASA BINTI MWEUSI TEXAS AACHIA NGAZI
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/MBASHA-2.jpg?width=650)
MBASHA AANGUSHA PATI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7KfVtj4CX6iOAwUp6F51x2O22TKJDhrSrgU9-TbMW-X7b1xRtSH7hKGo8SrXyrz-FroHLBl6YA5*PAq0146JbqsjXdCOl6a-/Kajala.gif?width=650)
KAJALA AANGUSHA PATI YA MIL.7
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E6-J*b1OZQPeoWLSgakSvG23LRwsRM3b-b6LWrL0d1UgOODNz4XLsMkfzgvMNQ0suAuB5RVODvbs9H7PAJ-KSTSIYX0XuPRO/lowassa.jpg)
MASTAA KUMFANYIA PATI LOWASA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Dyivh8oZtExxzCMe4oii5gtmGu4Rhsdx8qdupE3kFNu3kRYPSQBaA7NOJFZ6ejur1UIW0wZmDThMJtGBawtfNYALXU6a-yAr/joyce.gif?width=650)
JOYCE KIRIA NA PATI YA WANANDOA
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Shilole afanya pati ya aibu!
AMA kweli mapenzi yana sarakasi! Ndiyo kauli inayoweza kukuponyoka kufuatia tukio la staa anayebeba dhamana mbili katika sanaa ya Bongo, akitambulika kwenye uigizaji na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ambaye ameangusha bonge la pati ya aibu iliyojaa minong’ono kuwa ni sehemu ya furaha yake isiyo kifani ya kuachana na aliyekuwa mwandani wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, Amani lina kila kitu.
TUJIUNGE NYUMBANI KWA SHILOLE
Tukio hilo la aina yake lililohudhuriwa na baadhi ya mastaa...