Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyenaswa na milioni 700/- asafishwa

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David MisimeJESHI la Polisi mkoani Dodoma limesema Raia wa India, Amit Kevalramani (31) mfanyabiashara, mkazi wa Dar es Salaam aliyekamatwa na Sh milioni 772 katika Hoteli ya St Gasper Mjini Dodoma wiki iliyopita hana hatia yoyote, kwani hakuna tuhuma zozote za rushwa zilizothibitika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Lamadi watumia milioni 700/- miradi ya maendeleo

KATA ya Lamadi iliyopo katika Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, imetumia sh 734,415,500 kati ya mwaka 2011 na 2014 kwa ajili ya shughuli mbalimbali za ujenzi wa miradi ya maendeleo....

 

10 years ago

Vijimambo

HABARI KAMILI YA MILIONI 700 ILIVYONASWA HOTELINI DODOMA

Mtu mmoja amekamatwa mkoani dodoma na maburungutu ya fedha hotelini, inasemekana alikuwa na lengo la kuwahonga wajumbe wampitishe mmoja wa gombea uteuzi..nani kamtuma?
Ilikuwa kama sinema wakati mabegi matatu yaliyokuwa yamesheni mamilioni ya fedha yalipokamatwa katika hoteli ya St. Gaspar mjini hapa, fedha zinazodaiwa kuwa zimetolewa na Mfanyabiashara Yusufu Manji, kwa nia ya kuhonga wajumbe wa vikao vya maamuzi vya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Fedha hizo zilikamatwa jana katika hoteli hiyo...

 

5 years ago

Michuzi

MILIONI 700 KUJENGA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA RUANGWA-MAJALIWA

Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa jukwaa kuu katika uwanja wa michezo wa Kassim Majaliwa Juni 21, 2020. Kulia ni Mkuu wa wilaya hiyo, Hashim Mgandilwa.


Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa , Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipotembea katika mitaa ya Ruangwa Juni 21, 2020. Wa pili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hassim Mgandilwa.



Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipotembelea eneo la Kituo cha Mabasi...

 

5 years ago

CCM Blog

MAJALIWA: SH. MILIONI 700 KUJENGA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA RUANGWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili katika kijiji cha Chikwale wilayani Ruangwa kuzungumza na wananchi, Juni 22, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Ruangwa, Lindi
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuboresha elimu kwa watoto wa kike nchini kote ikiwemo wilaya ya Ruangwa ambayo imepewa sh. milioni 700 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa shule maalumu ya sekondari ya wasichana.

Amesema Serikali inataka mtoto wa kike asome kuanzia darasa la...

 

9 years ago

Bongo5

‘Hello’ ya Adele yafikisha watazamaji zaidi ya Milioni 700 Youtube

adele-25-cover

Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2015, muimbaji kutoka Uingereza, Adele anaendelea kufanya vizuri kutokana na album yake mpya ‘25’.

adele-25-cover

Ikiwa zimebaki siku nne video ya hit single yake ‘Hello’ ifikishe mwezi mmoja toka ilipowekwa kwenye mtandao wa Youtube, tayari imetazamwa zaidi ya mara milioni 700.

Mpaka sasa video ya wimbo huo unaopatikana kwenye album yake mpya ‘25’ ina views 739,530,188.

2015 umekuwa ni mwaka mzuri kwa Adele ambaye alikaa kimya kwa miaka mitatu toka alpoachia album yake...

 

5 years ago

CCM Blog

ZAIDI YA TSH. MILIONI 700 KUTUMIKA KUJENGA KITUO CHA TIBA YA METHADONE

   Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amezitaka Halmashauri zote nchini kuhakikisha kuwa wanapotenga asilimia 10 ya mapato yao ya ndani kwa ajili ya kuwapatia mikopo vijana,wanawake na watu wenye walemavu wawape fursa hiyo hasa vijana wanaotaka kuondoka kwenye matumizi ya Dawa za kulevya.

Waziri Ummy ameyasema hayo wakati akizindua kituo cha kutoa Tiba ya methadone kwa waratibu wa Dawa za kulevya ambapo Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya wamekijenga katika hospitali ya rufaa ya...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI VISHKWAMBI VYA SH MILIONI 700 KWA SHULE 10 DODOMA


Charles James, Michuzi TV

KATIKA kuhakikisha wanafunzi wa Jiji la Dodoma wanatumia teknolojia katika masomo yao, Mbunge wa Jimbo hilo Anthony Mavunde amekabidhi Vishkwambi 700 kwa shule 10 za jiji hilo.

Vishkwambi hivyo vimegaiwa kwa shule za msingi za serikali na binafsi ambapo kishkwambi kimoja kina gharama ya Sh Milioni Moja hivyo vyote jumla vikiwa na gharama ya Sh Milioni 700.

Akizungumza wakati wa kukabidhi vishkwambi hivyo, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe Patrobas Katambi amempongeza...

 

5 years ago

Michuzi

Airtel Tanzania yachangia sh. 700 milioni kwa wafanyakazi wa sekta ya afya dhidi ya mapambano ya COVID-19

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati) alipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Airtel Tanzania, Gabriel Malata
(kushoto) mfano wa hundi ya shilingi milioni saba (TZS 700,000,000) ukiwa ni mchango wa Airtel Tanzania kuunga mkono serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye mapambano dhidi ya virusi vya covid-19 (corona). Mchango uliotolewa na Airtel utatumika kununua vifaa kinga vitakavyosambazwa nchi nzima ili vitumike na...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali yapokea vifaakinga vya shilingi milioni 700/- kutoka serikali ya China

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea msaada wa vifaa kinga vyenye thamani ya Yuan 2,150,00 sawa na shilingi  700,759,268 kutoka Serikali ya China.

Msaada huo umetoleowa leo katika Bohari ya Dawa (Medical Stores Department) na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. Mabula Mchembe.

Prof. Mchembe amesema kwamba msaada huo umekuja wakati mzuri kwani utawasaidia watumishi wa afya katika mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani