MASTAA KUMFANYIA PATI LOWASA
Stori: Mwandishi Wetu SIKU chache baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kutangazwa kuwa anaongoza katika kinyang’anyiro cha urais 2015, mastaa mbalimbali wanaomuunga mkono wameandaa mkakati wa kumfanyia sherehe ya kumpongeza. Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper. Chanzo makini kilichopo ndani ya kamati ya wasanii hao wa Bongo Movies, kitendo cha Taasisi ya Twaweza kutangaza kuwa Lowassa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo10 years ago
Mwananchi11 Jul
Wasanii kumfanyia ‘send-off’ JK
10 years ago
GPLISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Best Records kumfanyia makubwa Kayala
UONGOZI wa Studio ya Best Records iliyopo Salasala jijini Dar es Salaam, imesema itazirekodi kwa ubora wa hali ya juu nyimbo saba za mwimbaji wa injili nchini, George Kayala, ili...
10 years ago
Mwananchi19 Feb
Mambo yasiyofaa kumfanyia mteja
9 years ago
GPLVAN VICKER KUMFANYIA SAPRAIZI WEMA
11 years ago
Uhuru Newspaper27 Jun
Akana kumfanyia unyama yaya wake
SUBIRA SAID NA EVA MBESELE, TSJ MWANAMKE Amina Maige, mkazi wa Dar es Salaam, anayedaiwa kumfanyia ukatili msichana wake wa kazi, kwa kumng'ata meno sehemu mbalimbali na kumsababishia majeraha amekana mahakamani kutenda kitendo hicho. Amina alikana kumfanyia hivyo, Yusta Kashinde, jana katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, mbele ya Hakimu Yohana Yongolo, wakati akisomewa maelezo ya awali. Akimsomea maelezo hayo, Wakili wa Serikali, Tumaini Mfikwa, alidai Amina (42), mkazi wa...
11 years ago
Habarileo10 Aug
Mke kortini kwa kumfanyia fujo mumewe
MKAZI wa eneo la Majengo mjini Singida, Anna Bonaventure (34) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Utemini, akikabiliwa na mashitaka ya kumfanyia fujo mumewe, Abdallah Ally (34) kwenye eneo lake la biashara.
9 years ago
Bongo512 Oct
Katy Pery kumfanyia kampeni Hillary Clinton