Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


hotuba ya Lowasa, Masha, Wenje, Regina Lowasa na Freeman Mbowe Jijini Mwanza

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MSUMARI WA MWISHO KWENYE JENEZA WA MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE KUHUSU LOWASA KUHAMIA CHADEMA LIVE!!


"Haukuwa uamuzi rahisi.. Kamati Kuu ilifanya utafiti kwa vikao vingi na mashauriano. Tafiti zilituambia kuwa Edward Lowassa akipeperusha bendera ya Chadema/UKAWA,ndoto ya mabadiliko makubwa nchini itatimia. Kwa Kauli moja, Kamati Kuu iliridhia Edward Lowassa awe mgombea kwa Chadema na baadae tukawauliza wenzetu wa UKAWA kama wanakubali ama kukataa. Wajumbe wote akiwemo Katibu Mkuu Dr W Slaa waliridhia... baadae kuna watu labda wakamshauri vingine... " - Freeman Mbowe.. Mwenyekiti Taifa wa...

 

10 years ago

Michuzi

SHETTA,DULLY SYKES KUNOGESHA TAMASHA LA USIKU WA MARAFIKI WA LOWASA JIJINI ARUSHA

pichaaaaaNa Pamela Mollel wa jamiiblog.Wasanii wawili wa kizazi kipya nchini Nurdin Billal maarufu kama Shetta na Abdulwaheed Sykes” Dully Sykes” kesho jumamosi  wanataraji kunogesha katika onyesho la kundi la marafiki wa waziri mkuu mstaafu,Edward Lowasa lililopewa jina la “ Usiku wa marafiki wa Lowasa” .
Onyesho hilo limeandaliwa na kundi la marafiki hao wa Lowasaa chini ya umoja wao unaojulikana kama “4 U Movement” linataraji kufanyika katika ukumbi wa burudani wa Triple A uliopo jijini Arusha...

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA Red Brigade wala kiapo Mwanza mbele ya Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe

 Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, al maarufu kama RED BRIGADE, wakila kiapo cha utii, mbele ya Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jijini Mwanza siku ya Jumamosi Februari 28, 2015. Kiapo hicho kinafuatia kukamilika kwa mafunzo ya kiulinzi na usalama kwa vijana hao. Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Rwakatare (kulia), akisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho 'Red Brigade' huku mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe...

 

10 years ago

Mwananchi

Masha amkimbia Wenje, amvaa Ngeleja, Arfi aibukia CCM

>Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ya nchi, Lawrence Masha amemkwepa hasimu wake kisiasa, Ezekia Wenje katika Jimbo la Nyamagana, Mwanza na kwenda kugombea ubunge Sengerema ambako atavaana na mbunge anayemaliza muda wake, William Ngeleja.

 

9 years ago

Vijimambo

USHUJAA WA LOWASA

USHUJAA WA LOWASA
Kwa miaka miwili tu ya Uwaziri Mkuu, alifanya makubwa sana zaid ya walikoaa miaka 10, pia aliwaonesha na kuwafundisha KWA VITENDO KAMA IFUATAVYO
1.UMUHIMU WA ELIMU AWALI, kwa kuanzia ujenzi wa shule za kata ...lakini tangu alipoondoka ukadolola na kuisha.
2.UMUHIMU WA ELIMU YA JUU..kwa kuhimiza na kusimamia ujenzi UDOM kwa nguvu zote ujenzi ukafanyika..alipoondoka, mpaka leo majengo mengi UDOM hayatumiki (wanafunzi wa UDOM watakuwa mashahidi wa hili), ...waliobaki serikalin...

 

10 years ago

Vijimambo

DOA LA LOWASA HALITOKI



Kilicho mfanya Dr Slaa ashindwe Kumuunga Mkono Lowasa ni kua hakutarajia Nyoka ambae alimtangaza kua ni Adui Mkubwa na Muharibifu kama Atamuingilia Nyumbani kwake na Kumtoa Nje na Nyoka huyo Adui alokua akimtangaza Tanzania Nzima kubakia Nyumbani kwake.Kabakia sasa hana tena Thamani yoyote kwa Chadema wala Ukawa ila Zawadi anayo ipata ni Matusi ,kweli waswahili wamesema Fadhila za Pumnda ni Mateke na Mashuzi.

 

10 years ago

GPL

JALADA LA LOWASA KUWEKWA HADHARANI

Edward Lowassa Na Mwandishi Wetu  DHORUBA ya kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, inazidi kutibua mawimbi kufuatia kunaswa kwa harakati za kuchafuana miongoni mwa wagombea wa nafasi ya urais kupitia chama hicho. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali nchini, imebainika kuwa pamoja na watangaza nia wengine kuwindwa na mkakati huu, mlengwa mkuu ni waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani