SHETTA,DULLY SYKES KUNOGESHA TAMASHA LA USIKU WA MARAFIKI WA LOWASA JIJINI ARUSHA
Na Pamela Mollel wa jamiiblog.Wasanii wawili wa kizazi kipya nchini Nurdin Billal maarufu kama Shetta na Abdulwaheed Sykes” Dully Sykes” kesho jumamosi wanataraji kunogesha katika onyesho la kundi la marafiki wa waziri mkuu mstaafu,Edward Lowasa lililopewa jina la “ Usiku wa marafiki wa Lowasa” .
Onyesho hilo limeandaliwa na kundi la marafiki hao wa Lowasaa chini ya umoja wao unaojulikana kama “4 U Movement” linataraji kufanyika katika ukumbi wa burudani wa Triple A uliopo jijini Arusha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 May
‘Usiku wa marafiki wa Lowasa’: Shetta, Dully Sykes hapatoshi Triple A usiku wa leo
Wasanii nyota wa kizazi kipya nchini Nurdin Billal ‘Shetta na Abdulwaheed Sykes ‘Dully Sykes’, jioni ya leo wanatarajia kupiga shoo kubwa katika onyesho la kundi la marafiki wa waziri mkuu mstaafu, Edward Lowasa lililopewa jina la “ Usiku wa marafiki wa Lowasa”.
Onyesho hilo limeandaliwa na kundi la marafiki hao wa Lowasaa chini ya umoja wao unaojulikana kama ‘4 U Movement’, linataraji kufanyika katika ukumbi wa burudani wa Triple A uliopo jijini Arusha ambapo mbali na wasanii hao pia...
10 years ago
Dewji Blog19 May
Party ya usiku wa marafiki wa Lowassa yafana jijini Arusha
Kada maarafu kupitia chama cha Mapinduzi CCM, Violet Mfuko akishow love na Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Nurdin Billal maarufu kama Shetta katika usiku wa marafiki wa Lowassa iliyofanyika katika ukumbi wa Triple A jijini Arusha.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nurdin Billal maarufu kama Shetta akicheza sambamba na Mkurugenzi wa kituo cha Radio 5 Robert Francis staili ya shikorobo juzi kwenye party ya usiku wa marafiki wa Lowassa ulifanyika katika ukumbi wa triple A jijini...
10 years ago
Michuzi29 Sep
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8k2*97pl68w04I4TPrbk6LpLatHqwLPNlSvHhaDa5OggxvD0wN2tMhqMy0VDiv--O4Ph*lS*5USks9fuMZlSDwe3eyDDcghH/breakingnews.gif)
TANZIA: BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA
10 years ago
Bongo515 Feb
Baba yake na Dully Sykes, Ebby Sykes afariki dunia
10 years ago
Vijimambo15 Feb
BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA
![](http://api.ning.com/files/8k2*97pl68yhdm8-dGrBnFsIgRGn5nB4WqMGaCVDWM1BQLmLnY9CpcLCrgtE8utF5bW7gp2yNVZjW*v6ujz5*DKV5LTE1yi4/dullynababaake.jpg?width=650)
10 years ago
CloudsFM16 Feb
Hiki ndicho kilichomuua baba yake Dully Sykes,Mzee Ebby Sykes
Marehemu Mzee Abby Sykes ambaye ni Baba mzazi wa mwimbaji wa Bongo Fleva Prince Dullysykes, alifariki saa 8 mchana February 15 2015 akiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Dullysykes ameongea na millardayo.com ikiwa ni pamoja na kuelezea kitu kilichosababisha umauti wa baba yake ambapo ameanza kwa kusema >>’Mzee alikua ana vidonda katika miguu na ndiyo chanzo kikubwa, sumu ikasambaa ikasababisha kifo chake, vidonda vilishindwa kupona kwa ajili ya moshi wa sigara...
10 years ago
CloudsFM17 Feb
10 years ago
MichuziBABA YAKE DULLY SYKES AZIKWA JIONI HII KWENYE MAKABURI YA KISUTU,JIJINI DAR