Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BABA YAKE DULLY SYKES AZIKWA JIONI HII KWENYE MAKABURI YA KISUTU,JIJINI DAR

Mwili wa baba wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Dully Sykes,Marehemu Ebby Sykes ukiswaliwa nyumbani  kwa kaka wa marehemu maeneo ya Kawe jijini Dar leo mchana.Marehemu Ebby Sykes amezikwa jioni hii kwenye makabiri ya Kisutu. Mwili wa Marehemu Ebby Sykes ukipandishwa kwenye gari kwa safari ya kwenda kwenye mazishi,makaburi ya Kisutu jijini Dar jioni hii. Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dully Sykes akiwa amepanda gari lililobeba mwili wa Marehemu baba yake kwa safari ya kwenda kupumzishwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAMIA WAMZIKA BABA MZAZI WA DULLY SYKES MAKABURI YA KISUTU, DAR

Mwili wa marehemu Ebby Sykes yaliyofanyika jana ukiwa  kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Wakati wa mazishi jana.…

 

10 years ago

Michuzi

Marehemu Shem Ibrahim Kalenga azikwa leo kwenye Makaburi ya Kisutu,jijini Dar

 Jeneza lenye Mwili wa aliewahi kuwa mwanamuziki mkongwe hapa nchini,Marehemu Shem Ibrahim Kalenga ukiwasili kwenye Makaburi ya Kisutu,Jijini Dar es Salaam tayari kwa mazishi.Marehemu Kalenga alifariki Dunia jana katika hospitali ya Amana,Ilala alikokuwa akipatiwa Matibabu.Umati Mkubwa uliojitokeza kwenye mazishi ya Marehemu Shem Ibrahim Kalenga wakijumuika pamoja kubeba Jeneza wakati wa Mazishi yaliyofanyika jioni ya leo kwenye Makaburi ya Kisutu,Jijini Dar es Salaam.
Picha zaidi bofya hapa

 

10 years ago

Michuzi

Brigedia Jenerali (Mstaafu) Hashim Mbita azikwa leo kwenye makaburi ya Kisutu, jijini Dar

Viongozi mbali mbali wa Dini ya Kiislam wakishiriki pamoja na waumini wao kwenye Ibada ya kuuswalia mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita kwenye Msikiti wa Mtoro, Kariakoo na baadae kwenda kuuhifadhi kwenye nyumba yake ya milele, Makaburi ya Kisutu, Jijini Dar es Salaam leo.Picha zote na Hamis Makuka. Maelfu ya waunini wa kiislam wakishiriki kuubeba mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita wakati wakiutoa kwenye Msikiti wa Mtoro, Kariakoo na tayari kwa...

 

10 years ago

Bongo5

Dully Sykes alia na wasanii waliomtenga kwenye msiba wa baba yake

Wanasema rafiki wa dhati utamjua wakati wa dhiki na tayari Dully Sykes amechuja marafiki wa kweli na feki. Dully ambaye wiki hii alimzika baba yake, Mzee Ebby Sykes amesema hatopenda kuendelea kuwatupia lawama wasanii waliomtenga kwenye msiba huo na kwamba hilo anamuachia Mungu. “Hili suala nilishaambiwa nisizungumze tena kuhusiana na msanii ambaye hajafika, kwahiyo namwachia […]

 

10 years ago

Vijimambo

BRIGEDIA JENERALI ( MSTAAFU ) HASHIM MBITA AZIKWA MAKABURI YA KISUTU, JIJINI DAR

Viongozi mbali mbali wa Dini ya Kiislam wakishiriki pamoja na waumini wao kwenye Ibada ya kuuswalia mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita kwenye Msikiti wa Mtoro, Kariakoo na baadae kwenda kuuhifadhi kwenye nyumba yake ya milele, Makaburi ya Kisutu, Jijini Dar es Salaam. Picha zote na Hamis Makuka.Maelfu ya waunini wa kiislam wakishiriki kuubeba mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita wakati wakiutoa kwenye Msikiti wa Mtoro, Kariakoo na tayari kwa kwenda...

 

10 years ago

Bongo5

Baba yake na Dully Sykes, Ebby Sykes afariki dunia

Baba mzazi wa Dully Sykes, Mzee Ebby Sykes amefariki dunian akiwa na umri wa miaka 62. Angetimiza miaka 63 February 24. Mtoto wake wa kike aitwaye Raya Sykes amethibitisha taarifa hizo kwenye mtandao wa Instagram. “Mungu akulaze mahali pema peponi baba angu mm nilikupenda lakin mungu alikupenda zaid nasikitika nipo mbali sitaweza kukuzika!ulikua ni mtu […]

 

10 years ago

CloudsFM

Hiki ndicho kilichomuua baba yake Dully Sykes,Mzee Ebby Sykes

Marehemu Mzee Abby Sykes ambaye ni Baba mzazi wa mwimbaji wa Bongo Fleva Prince Dullysykes, alifariki saa 8 mchana February 15 2015 akiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Dullysykes ameongea na millardayo.com ikiwa ni pamoja na kuelezea kitu kilichosababisha umauti wa baba yake ambapo ameanza kwa kusema >>’Mzee alikua ana vidonda katika miguu na ndiyo chanzo kikubwa, sumu ikasambaa ikasababisha kifo chake, vidonda vilishindwa kupona kwa ajili ya moshi wa sigara...

 

10 years ago

GPL

SHEM KARENGA AZIKWA MAKABURI YA KISUTU, DAR

Wananchi wakiusitiri mwili wa marehemu Shem Karenga katika makaburi ya Kisutu, Dar jioni hii. HATIMAYE mwanamuziki nguli nchini aliyekuwa na umahiri wa kuimba na kucharaza gitaa la solo, Shem Ibrahim Karenga azikwa katika makaburi ya Kisutu, Dar jioni hii. Marehemu Karenga alifariki dunia jana katika Hospitali ya Amana, Dar alipokuwa akipatiwa matibabu. Mwenyezi Mungu Ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani