Party ya usiku wa marafiki wa Lowassa yafana jijini Arusha
Kada maarafu kupitia chama cha Mapinduzi CCM, Violet Mfuko akishow love na Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Nurdin Billal maarufu kama Shetta katika usiku wa marafiki wa Lowassa iliyofanyika katika ukumbi wa Triple A jijini Arusha.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nurdin Billal maarufu kama Shetta akicheza sambamba na Mkurugenzi wa kituo cha Radio 5 Robert Francis staili ya shikorobo juzi kwenye party ya usiku wa marafiki wa Lowassa ulifanyika katika ukumbi wa triple A jijini...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi15 May
SHETTA,DULLY SYKES KUNOGESHA TAMASHA LA USIKU WA MARAFIKI WA LOWASA JIJINI ARUSHA

Onyesho hilo limeandaliwa na kundi la marafiki hao wa Lowasaa chini ya umoja wao unaojulikana kama “4 U Movement” linataraji kufanyika katika ukumbi wa burudani wa Triple A uliopo jijini Arusha...
11 years ago
Michuzi24 Feb
AFTER PARTY YA LADY IN RED YAFANA SANA JIJINI DAR

Mama wa Mitindo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions na wandaaji wa onyesho la Lady in Red, Bi. Asia Idarous Khamsin akizungumza na wadau tasnia ya mitindo waliojumuika kwenye After Party ya kuwashukuru wadau waliotoa michango mbalimbali tangu kuanza kwa onyesho la Lady in Red nchini Tanzania.
Na Andrew Chale HALFA maalumu ya kilele cha Miaka 10 ya onesho la mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’ usiku wa Jumamosi Februari 22, lilikuwa la aina yake kwa kuvutia watu mbali mbali ndani ya...
10 years ago
Dewji Blog16 May
‘Usiku wa marafiki wa Lowasa’: Shetta, Dully Sykes hapatoshi Triple A usiku wa leo
Wasanii nyota wa kizazi kipya nchini Nurdin Billal ‘Shetta na Abdulwaheed Sykes ‘Dully Sykes’, jioni ya leo wanatarajia kupiga shoo kubwa katika onyesho la kundi la marafiki wa waziri mkuu mstaafu, Edward Lowasa lililopewa jina la “ Usiku wa marafiki wa Lowasa”.
Onyesho hilo limeandaliwa na kundi la marafiki hao wa Lowasaa chini ya umoja wao unaojulikana kama ‘4 U Movement’, linataraji kufanyika katika ukumbi wa burudani wa Triple A uliopo jijini Arusha ambapo mbali na wasanii hao pia...
11 years ago
Michuzi
SPORTS XTRA DAY YAFANA JIJINI ARUSHA




9 years ago
Bongo Movies18 Dec
Picha: Zari All White Ciroc Party Jana Usiku jijini Kampala
Zari ambaye ni mpenzi wa Diamond Platinumz ndiye muhusika mkuu wa party hii ambapo watu maarufu wa hapa Afrika mashariki walikuwepo akiwemo mwanadada Vera Sidika.

Zari All White Ciroc Party




10 years ago
GPLUSIKU WA ZARI ALL WHITE PARTY ULIVYOFANA NDANI YA MLIMANI CITY JIJINI DAR
10 years ago
Michuzi
MAFURIKO YA LOWASSA YAHAMIA JIJINI ARUSHA


10 years ago
Vijimambo
LOWASSA AFUNGA KAZI JIJINI ARUSHA LEO




10 years ago
Mtanzania08 Apr
Marafiki wa Lowassa watembelea yatima
NA MARY MWITA, ARUMERU
ZAIDI ya vijana 200 wa 4 U Movement Friends of Lowassa wametembelea watoto yatima katika kituo cha kulelea watoto cha Save Africa kilichoko Wilaya ya Arumeru, Mkoa wa Arusha na kutoa zawadi ya Pasaka kwa watoto hao.
Kabla vijana hao hawajatembelea kituo hicho na kula chakula na watoto hao, walitembea kwa maandamano kutoka eneo la Usa River hadi kituoni hapo.
Wakati wa matembezi hayo, walikuwa wakiimba nyimbo za kumsifu Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuonyesha...